Rastafarian ateuliwa na Raisi mpya Mchungaji Chikwera kuwa mwanashria mkuu wa serikali ya Malawi aapishwa kwa Biblia watu wamshangaa huyo Rasta akiapa kwa Biblia.
Maneno mengine kwenye kiapo...
Shirika la Afya (WHO) limesema mlipuko wa Ebola unaendelea kusambaa na visa 48 vimethibitishwa nchini humo tangu Mamlaka zilipotangaza kuibuka upya kwa ugonjwa huo mwezi Juni
Mkurugenzi wa...
Utangulizi: Nchi kumi na tano, Italy, Portugal, France, India, the US, Canada, Sweden, Spain, South Africa, Mexico, United Arab Emirates and the Netherlands zimekubali kuingia rasmi kwenye mfumo...
Mzuka wanajamvi!
Wezi na majambazi wetu Tanzania wanajitahidi sana kiwa na Staha. South Africa muna tisha kwa ujambazi tena bila aibu. Ni nchi gani mihalifu haijionei aibuwala kuogopa licha ya...
Vizazi vitatu vya familia maarufu inayoshiriki katika filamu za Bollywood vimekutwa na virusi vya corona kulingana na maafisa katika jimbo la Maharashatra nchini India.
Matokeo siku ya Jumapili...
Mchungaji mmoja nchini Uganda amejikuta akizamishiwa msumari kwa nyundo mpaka kutoboka mdomo baada ya kupita mitaani huku akihubiri injili na kuimba wimbo wa mapambio unaomsifia Rais Museveni wa...
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imeeleza kuwa faini hiyo itakuwa kiasi cha Shilingi za Kitanzania 6,179,510 kwa watakaokiuka au kuingia bila ya kibali
Agizo hili limetolewa wakati wa...
The UK government has said it will no longer publish data on the daily number of individual people being tested for coronavirus, after five weeks of failing to release such statistics
Downing...
Iran imesema chanzo cha kudunguliwa kwa ndege ya Ukraine Januari mwaka huu na kupelekea abiria wote 176 kupoteza maisha ni kosa la kibinadamu
Ripoti iliyotolewa na Shirika la Usafiri wa Anga...
So how did Malawians fight for electoral reforms
They organized and protested. They were shot at by the police, so they organized some more & protested in bigger numbers.
When the president...
Madagascar imeuweka Mji wake Mkuu, Antananarivo kwenye ‘lockdown’ mpya kufuatia ongezeko jipya la maambukizi ya CoronaVirus ikiwa ni miezi miwili tangu masharti ya ‘lockdown’ hiyo yalipolegezwa...
An expert on Iran’s military nuclear program says the mysterious explosion last week that hit the top-secret Natanz nuclear facility destroyed nearly three-quarters of Iran’s main centrifuge...
Watu watano wameuawa baada ya washambuliaji kuvamia kanisa moja Afrika Kusini wakati malumbano yanaendelea juu ya uongozi wa kanisa hilo.
Polisi Afrika Kusini imesema kwamba wamenusuru wanaume...
Katika kipindi chote tangu mwezi Januarimwaka huu, baadhi ya viongozi wa Marekani wamekuwa wakiendesha kampeni yenye malengo la kisiasa kunyooshea vidole nchi nyingine, wakitumia mbinu hiyo kama...
Julai, 11 ya miaka 15 iliyopita ilikuwa ni siku ya kuadhimisha miaka 600 tangu mwanabahari maarufu wa China Zheng He aanze safari yake baharini kwa kuongoza kikosi kikubwa cha marikebu katika Enzi...
Mwanasheria wa Malawi, Mordecai Msiska amekataa uteuzi wa kuwa waziri wa Sheria na haki kwenye baraza la Rais Lazarus Chakwera.
_
Anasema itaonekana kama fadhila au thawabu baada ya kumsaidia Rais...
Juzi waziri wa mambo ya nje wa Marekani bwana Pompeo alisema upepo umeanza kuwabadilikia Huawei.
Pompeo anasema kutokana na kampeni ya Marekani sasa watu wengi ulimwenguni wameanza kuona hatari...
The Chinese Superbus also known as Transit Elevated Bus or TEB-1 is the solution to the traffic problems in our cities. In fact, it is the future of city transit. As population growth explodes in...
Today we have proved that Donald Trumb do not lie and he is a person of action !!..No wonder he has been most successful in his business as businessMan you must be straight and focust like bullet...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.