Kupitia chaneli ya Taifa, Rais Jair Bolsonaro (65) ametangaza kupata maambukizi ya #CoronaVirus baada ya kufanyiwa vipimo kwa mara ya nne siku ya Jumatatu kufuatia kuonesha dalili za ugonjwa huo...
Uchunguzi wa BBC umebaini kuwa aina mbili za dawa ambazo zilitumika kutibu wagonjwa wa corona nchini India - remdesivir na tocilizumab - zimekuwa zikiuzwa katika soko la magendo kwa bei ya juu...
Supremacists hope for boost from Obama win
Anticipate election of a black president would jar whites into action
updated 12:44 p.m. ET, Fri., Aug. 8, 2008
PEARL, Miss. - They're not exactly...
Katika kile kinachoitwa kuishughulikia China kiuchumi, na kiteknolojia serikali ya Marekani inataka kufuata njia ya India kufungia mitandao yote ya kijamii kutoka China kama Tik Tok, likee na...
Maelfu ya waandamanaji wamepambana na polisi kwenye mji mkuu wa Serbia, Belgrade baada ya kuzuka maandamano ya kupinga vizuizi vipya vilivyowekwa na Rais Aleksandar Vucic, kuzuia kuenea kwa virusi...
Daktari mmoja amekamatwa baada ya kuandika makala juu ya mfumo mbovu wa wafya nchini Misri.
Na mfamasia mmoja alikamatwa kutoka ofisini kwake baada ya kuposti kuwepo kwa upungufu wa vifaa vya...
Mike Pompeo amesema Marekani inaangalia kuzuia matumizi ya Apps za wachina. Alisema wanachukulia swala hilo kwa uzito sana
Wataalamu wa kidiplomasia wa nchi Marekani wamesema, watu wajue kuwa...
Maadui wa Israel kama vile Iran wako taabani maana wanazidi kuanikwa na vyombo vinavyotupwa angani, hii ni satellite ya kipekee yenye uwezo mkubwa.
======
Israel on Monday launched a new spy...
1. Malema SA
2. Ndlozi. SA
3. Shivambu SA
4.Kyagulanyi Uganda
5. ------------ Tanzania
Hapa kwenye video kuna scenario moja ya dakika 5,
Mbunge Ndlozi anaambiwa atoke nje ya bunge kwa kukataa...
Remember when he said "IF You Sit On Gold, Oil, And Your People Don’t Have Food To Eat, You Are Not Humans" – Trump
Look at the way Africa countries are suffering it's actually the fault of the...
The marula (emaganu) season is over in the Kingdom of eSwatini. EmaSwati had a chance to enjoy the traditional brew without any COVID-19 drama and as the year draws nearer to a close, the tranquil...
After the WHO have recently rattled off the manners by which Coronavirus can be transmitted, the WHO have now come out to state something different that coronavirus isn't infectious and cannot be...
Tuwache dharau na kuibeza corona, bali tuchukue tahadhali na kuwashauri wananchi wetu waiogope corona.
Equatorial Guinea's Deputy Minister of Health, Mitoha Ondo'o arrived in Madagascar to take...
1000 Armed Blacks March on Stone Mountain
A heavily-armed black militia group marched through Georgia's Stone Mountain state park on Saturday, demanding the removal of one of the country's...
Rais Mteule wa Malawi, Lazarus Chakwera angeweza kuahirisha sherehe za kuapishwa kutokana na kuongezeka kwa maambukizi ya COVID-19
Awali Rais Chakwera alipanga kuapa katika uwanja wa mpira uliopo...
Mwezi zaidi ya mmoja umepita tangu maandamano ya kupinga kifo cha mmarekani mwenye asili ya Afrika George Floyd mikononi mwa polisi kuibuka nchini Marekani na kusambaa katika Ulaya, Australia na...
Kazakhstan imeweka zuio la pili la watu kutoka nje ili kupambana na ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona lililoonekana hivi karibuni.
Nchi hii iliondoa zuio mwishoni mwa Mei ikiwa na visa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.