Hapa kuna maelezo mazuri toka DW yakieleza theories mbalimbali juu ya "kwa nini ugonjwa wa Coronavirus haujaripotiwa Afrika".
Moja ya sababu zilizotaja ni uwezo mdogo wa maabara za nchi nyingi za...
Kundi la wanamgambo linalojiita Dola la Kiislamu, IS limemshambulia Waziri Mkuu mpya wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi, kwa kumuita "kibaraka wa Marekani". Aidha IS imekosoa hatua ya kufungwa kwa eneo...
Tangu mwanzoni mwa mwaka huu watu wengi wamekuwa wakiongelea janga la virusi vya corona ambalo limetikisa dunia nzima. Watu wote wameguswa na ugonjwa huu wa COVID-19 kwa namna moja ama nyingine...
Umoja wa Afrika (AU) umesema mlipuko wa CoronaVirus unaleta athari kubwa kwenye sekta ya utalii barani Afrika
Kwa mujibu wa AU, Afrika imepoteza mapato ya Dola za Kimarekani Bilioni 50 ndani ya...
Ndege ya kijeshi F-16 imeanguka na kuripuka ikiwa katika mazoezi, hii ni ndege ya 5 ya kijeshi kuanguaka katika week 6 zilizopita
F-16 fighter jet crashes while flying ‘routine training mission’...
Mwezi wa 6 Serikali ya Marekani imeongeza Ajira milion 4.8 kinyume na matarajio ya wataalamu. Wataalamu walitabiri kua ajira milion 5 zitapotea ila imekua kinyume chake, ajira milion 4.8...
Iran imetoa kibali na kuitaka Interpol kusaidia kumtia nguvuni Rais wa Marekani, Donald Trump na wengine kadhaa ambao nchi hiyo inaamini walitekeleza shambulio la drone ambao lilimuua jenerali...
A quarter of Kenyans believe in witchcraft even though they are deeply religious, a survey shows. They also believe that the world will end in the next 39 years.
According to the survey conducted...
Maporomoko ya ardhi yaliyotokea eneo la mgodi lililopo Hpakant jimbo la Kachin Kaskazini mwa nchi ya Myanmar yamesababisha vifo vya watu 113
Maafisa wamesema miili ya wachimba madini hao...
Donald Trump have reinstated his anger toward china and this anger may not end anytime soon unless Coronavirus is over. The United States president have just Tweeted that as the global pandemic...
Here comes Fauci setting the stage for a new pandemic that has ‘characteristics of the 2009 H1N1 virus and 1918 flu’
Dr. Anthony Fauci says new virus in China has traits of 2009 swine flu and 1918...
Hundreds of elephants found dead in Botswana
Credit: Mystery as hundreds of elephants found dead
Mystery surrounds the "completely unprecedented" deaths of hundreds of elephants in Botswana...
Serikali ya India imepiga marufuku 'app' maarufu ya TikTok pamoja na nyingine 59 ikiwemo WeChat kutokea China ikidai ni tishio kwa nchi hiyo. Taarifa waliyotoa imesema 'app' hizo ni hatari kwa...
When you are destined to lead a particular people, your race and background can never be a hindrance to what fate has programmed. Here is a brief article about the white man that defied all odds...
Rais Donald Trump, ambaye siku zote amekuwa akipinga muongozo wa uvaaji barakoa uliotolewa na maafisa wa afya, amesema atavaa barakoa kama atakuwa ''katika mazingira ya watu yatakayomlazimu...
This Could be a reason why Tanzanians don't catch it as much, fake results must be the reason why other countries have so much positive cases. UK Gov't confirms Covid19 harmless to VAST MAJORITY...
Milipuko hiyo inasemekana ilisababishwa na kufuja kwa gesi....
At least 19 die as huge explosion tears through buildings in Iranian capital Tehran
The explosion occurred at the Sina At'har...
The extermination carried out during the coronavirus plandemic has clearly become a global health policy and part of the UN’s Sustainable Development Goal, mentioned by Dr. Coleman. Infact it...
Haya maendeleo ya Ubungo fly over na SGR wapinzani kama Chadema wanalalamika eti wao wanataka maendeleo ya watu siyo vitu.
Rwanda imepitisha mpango wa ujenzi wa kinu cha nguvu za Nyuklia ili...
Mfalme Philippe wa Ubelgiji ameeleza majuto yake kutokana na unyanyasaji uliofanywa na nchi yake wakati wa ukoloni
Katika maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa DR Congo, Mfalme Philippe amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.