Hili liwe fundisho kwa viongozi wengine wa Kiafrika, kwamba watu wengi wanaweza kuwa wanakuchekea kwa vile uko madarakani tu, na hasa kwa vile unawajazia matumbo yao, lakini ukitoka ndio utaijua...
Yule bilionea wa Kimarekani aliyekuwa anatuhumiwa na makosa lukuki ya kufanya ngono na wasichana wadogo walio chini ya umri, kajiua akiwa lupango.
R. Kelly akituhumiwa kwa makosa hayo hayo...
Mgombea wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Malawi (MCP) Dr. Lazarus Chakwera anaongoza kura kwa zaidi ya 60% dhidi ya Prof. Peter Mutharika anayetakiwa kuondoka Ikulu ya Malawi wakati wowote...
Habari za jioni wana JF, kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa nikijiuliza sana kwamba pamoja na China kuwa ni taifa ambalo limenyanyasa sana waislamu ambao wengi wao wanatokea jimbo la...
Wananchi huko Urusi wameanza kupiga kura ya maoni ili kuruhusu Rais Putin kubakia madarakani kwa miaka 16 zaidi. Upigaji kura huyo utakamilika Julai mosi.
Urusi inafanya kura ya maoni ya...
Maelezo ya picha
Mwanga wa siasa ya Lazarus Chakwera ulifufuliwa baada ya mahakama kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka jana
Kiongozi wa upinzani nchini Malawi Lazarus Chakwera ameshinda...
China imeweka agizo la kutotoka ndani kwa wananchi takriban 400,000 katika Kaunti ya Anxin iliyopo Hebei, karibu na Mji Mkuu wa Beijing
Watumishi wa sekta muhimu pekee ndio wanaruhusiwa kutoka...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) amepinga kitendo cha kukamatwa kwa waziri wa sheria, akisema serikali ya mseto inaweza kuvunjika juu ya suala hilo na kumtaka rais...
Ndio maana mimi sio muumini wa hizi zinaitwa projections au utabiri kutoka kwa wataalamu au wachambuzi wa utabiri sijui analysts projects this, projects that. Mimi hua nasema hizi ni sawa na usoma...
Kawaida ya dunia baada ya kama miongo kadhaa lazima iingie kwenye reset mode, pale ambapo kunakua na maafa makubwa na maangamizi kila mahali, hii huwa haikwepeki, corona imeanza kwa kubip ila...
Baada ya Marekani kwa miaka mingi kuwa bingwa wa demokrasia na masuala ya haki za binadamu kwasasa hayo masuala yamepotea kabisa chini ya utawala wa Rais Donald Trump kutoka chama cha Republican...
Kampuni ya Unilever imeacha kutumia hela zake kutangaza bidhaa zake Faceboo na Instagram. Kampuni hiyo ambayo ilitumia takriban Dola bilioni 8.2 sawa na Tsh Trilioni 18. 9 kwa matangazo ili kukuza...
Mutharika kaaanguka.
Haki imetamalaki Wananchi wameamua kumtoa kuhani madarakani. Sio mapolisi wala wana wa usalama walioingilia mchakato. Hatukusikia IGP wa huko wakiingilia mchakato na kuviita...
Wamalawi walipiga Kura May 2019 ambapo Rais aliyepo Madarakani Peter Mutharika alitangazwa mshindi. Ilipodhibitika pasi na shaka yoyote ile kuwa uchaguzi ule haukuwa HURU na HAKI, wananchi...
Wakati matokeo ya Uchaguzi wa Rais Nchini Malawi yakiwa hayajatangazwa na Tume ya Uchaguzi, Jeshi la Nchi hiyo limechukua hatamu ya Ulinzi wa Kiongozi wa Upinzani Chikwera.
Hatua hiyo inafuatia...
Pierre Nkurunziza aliyekuwa rais wa Burundi amezikwa Gitega
Denise NKurunziza yavuze ko umuhisi Nkurunziza yarangije neza kandi yapfuye mu mahoroCHANZO CHA PICHA, AFP
Maelezo ya picha,
Denise...
Ni dhahiri kabisa mzee huyu hatamweza Trump, yupo serikalini kwa zaidi ya miaka 50 lakini hana idea kabisa na current events, sio mara ya kwanza na ni wazi kabisa ana ugonjwa wa kumbukumbu...
Kwa kifupi sana napenda nitoe Elimu ndogo tu kwa baadhi ya wenye upeo mdogo wa mambo ya international politics, kuhusu matokeo ya uchaguzi nchini Malawi ni kwamba kile chama kilichowahi kuwa...
Watu watatu wamefariki, watatu wengine wana hali mbaya na mmoja awa kipofu baada ya kunywa sumu ya methanol. Madaktari wamesema walikunywa vitakasa mikono vyenye sumu hiyo
Matukio hayo yaliwahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.