International Forum

News and Stories from rest of the World
Ijapokuwa tume ya uchaguzi ya Malawi MEC bado haujatangaza matokeo ya uchaguzi wa urais uliorudiwa , ishara za mapema zinaonesha kwamba rais Peter Mutharika yuko nyuma ya mpinzani wake mkuu...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakati wa mechi kati ya Burnley na Manchester City, iliyochezwa Jumatatu, Juni 22 katika uwanja wa Etihad, kuna ujumbe uliosema “White Lives Matter” ulipitishwa uwanjani hapo kwa ndege Ligi ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
In this article I will be using mostly the first family of Rwanda, the Paul Kagame's as pictorial examples. We are well conversant with the Dutch men and the Latvian women being the world's...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kikundi kipya cha waasi kimetangaza kuhusika na mashambulio ya hivi karibuni nchini humo na kuweka wazi nia yao ya kumpindua Rais Paul Kagame. Kundi hilo linalojiita National Liberation...
12 Reactions
188 Replies
29K Views
Hiyo ndiyo habari toka Malawi! "CCM" ya malawi maji ya shingo wanalalamika kuwa wanafanyiwa fujo na wafuasi wa MCP. Hii ni baada ya kura kuonyeha kuwa MCP-chama cha upinzani kinaongoza ingawa...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Makala: Nimeitafsiri kwa ufupi sana kutoka gazeti la THE GLOBE na THE MAIL "Tatizo sio gharama" alizungumza mwanaume mmoja kwenye simu, "Tutafurahi kama mambo yatafanyika vizuri, watalipwa...
8 Reactions
28 Replies
7K Views
Habari! Kutokana na kushamiri ama kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona nchini Brazil, Mahakama nchini humo imemuamuru Rais wa nchi hiyo Jair Bolsonaro kuvaa barakoa ya kinga la sivyo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais Xi Jinping wa China leo amesema, ni lazima kudumisha nia ya kusimamia mfumo wa pande nyingi. Na katika janga hili la COVID-19, mshikamano na ushirikiano ni silaha yenye nguvu zaidi...
1 Reactions
5 Replies
864 Views
My Take: Nothing is set to slow down the speed of economic growth of the "Factory of the world". Most of the big economies are of the world are ailing. But not to the SINO, the emerging world...
0 Reactions
2 Replies
981 Views
George Floyd Mauaji ya Mmarekani mwenye asili ya Afrika GeorgeFloyd yamesababisha wimbi kubwa la maandamanondani nan je ya Marekani, watu wa rangi tofautiwakiungaika pamoja kupigania haki zao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mataifa ya magharibi na yale ya kiarabu yameahidi mchango wa dola bilioni 1.8 kuisaidia Sudan inayoandamwa na hali mbaya uchumi, tangu vuguvugu la demokrasia lilipoung´oa utawala wa muda mrefu wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
According to "informative" they believed that blacks are the only human with 100% human DNA. They wrote "For years, Black people have been seen and treated as less humans and in some cases were...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwili wa aliyekuwa Rais wa Burundi hayati Pierre Nkurunziza unazikwa leo kwenye makaburi ya mji wa Gitega ,mji mkuu wa kisiasa ulioko katikati mwa Burundi Hafla ya mazishi zinatarajiwa kuongozwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TEL AVIV: Israeli air strikes against targets in Syria may be one of the main reasons for the growing crisis between Russia and Turkey since they’re highlighting the Russian-made S-400 air defense...
4 Reactions
102 Replies
7K Views
Iran yafanyia majaribio makombora mapya ya cruise Jeshi la Baharini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limefanyia majaribio kwa mafanikio makombora yake mapya ya cruise katika luteka ya kijeshi...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Takwimu rasmi zilizotolewa hivi karibuni zinaonesha kuwa watu milioni 90.41 nchini China wamefanyiwa vipimo vya nucleic acid vya virusi vya Corona, jambo ambalo limefuatiliwa na jamii ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku ya Jumanne ya terehe 23/06/2020 Wananchi nchini Malawi, walipiga kura katika uchaguzi wa marudio, baada ya yale ya awali yaliyompa ushindi Rais aliyeko madarakani, Peter Mutharika...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais Xi Jinping wa China leo ametoa mwito wa kuendelea kwa juhudi za kupambana na dawa za kulevya. Kwenye ujumbe aliotoa mapema kabla ya maadhimisho ya siku ya kupambana na dawa za kulevya (26...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari! Ikiwa ni takribani wiki mbili zimepita baada ya tukio la kuuawa kwa Mmarekani mweusi George Perry Floyd Jr. ama George Floyd jijini Minneapolis, Minnesota nchini Marekani yakifuatiwa na...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Serikali ya Afrika Kusini 'Imesarenda' Kumiliki Shirika la Ndege. Sasa Kutoa Kiwango Kikubwa cha Hisa kwa Sekta Binafsi Serikali ya Afrika Kusini imeamua kubaki na umiliki mdogo wa shirika la...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom