International Forum

News and Stories from rest of the World
According to statistics, 80% of South Africans are black, while only around 8% are white. Yet white families earn an average of $35 739 (R608 079) per year, five times more than black families who...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
The World Health Organization has reported a record increase in global coronavirus cases with 212,326 being recorded in just 24 hours, amid a surge in the United States, Brazil and India. The...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
U.S. counter-terror officials ask Toyota how terror group ISIS got so many of its Hilux pickup trucks and SUVs. Thousands of Hilux pickups and Land Cruisers have become fixtures in the terror...
3 Reactions
49 Replies
6K Views
BEIJING, (BM) – According to various military sources in India, as well as according to the Chinese publication Sohu, there is a high probability that India will abandon the acquisition of the...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Serikali ya Uingereza inategemea kuiondoa Huawei kwenye mfumo wa 5G kabla ya mwaka huu kuisha. Mwezi January mwaka huu serikali ya Bw. Boris Johnson iliipa huawei kandarasi ya kutengeneza mfumo...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari! Kumekuwa na sintofahamu hivi sasa nisemapo maneno haya hasa katika ukanda wa rasi ya Korea ambapo Korea Kaskazini imeendeleza wimbi la vitisho kwa jirani zake na hivi karibuni imetishia...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika miaka ya hivi karibuni serikali za nchi za Afrika Mashariki zimepata mafanikio makubwa katika vita dhidi ya mihadarati na kupongezwa na jumuiya ya kimataifa. Kwa sasa upatikanaji wa dawa za...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mlipuko wa virusi vya Corona unaoshuhudiwaduniani kote umeleta athari kubwa katikauchumi na maisha ya watu, kwani biasharazimefungwa, shule zimefungwa, na waajiriwawengi wanafanya kazi majumbani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Polisi 3 huko Colorado wamefukuzwa kazi baada ya kutuma picha ambayo wameonekana wakikejeli namna Mmarekani mweusi Elijah McClain alivyofariki mikononi mwa Polisi Jason Rosenblatt, Erica Marrero...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Burundi's new President Evariste Ndayishimiye has got good political instincts, after all. He has declared that Covid-19 is the country’s “biggest enemy’’. It was a huge change from his...
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Trump aliwahi kusema thanks for social media we can fight back fake news. Nawaza kipindi ambacho hizi mainstream media ndio chanzo kikuu cha habari si wamezushia watu wengi sana? Juzi New York...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Rwanda, in east-central Africa, is surrounded by the Democratic Republic of the Congo, Uganda, Tanzania, and Burundi. It is slightly smaller than Maryland. Steep mountains and deep valleys cover...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Corona ilikuwa imemharibia Trump kiasi kwamba alikuwa Hana Cha kujitetea tena akaeleweka kwa wananchi Lakini then haya maandamano ya Black Lives Matter naona kama yanampa umaarufu dhidi ya Biden...
9 Reactions
82 Replies
5K Views
Tetemeko la ardhi latikisa Kumamoto Japan Tetemeko kubwa la ardhi limetikisa maeneo ya kumamoto Kusini mwa Japan na kusababisha uharibifu mkubwa. Msemaji wa serikali ameiambia BBC kuwa tetemeko...
2 Reactions
97 Replies
15K Views
Waziri Mkuu wa Ufaransa, Edouard Philippe ameongoza Serikali yake kuwasilisha barua za kujiuzulu nafasi zao, na imeelezwa kuwa, barua hizo zimepokelewa na Rais Emmanuel Taarifa fupi iliyotolewa...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Asilimia 71 ya Warusi waliopiga kura wameunga mkono marekebisho yaliyopendekezwa kubadili katiba ihuku zaidi ya asilimia 28 wakipinga. Mabadiliko hayo yatamruhusu Rais Putin kusalia madarakani...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Phoenix news wametoa taarifa ya kushangaza kuwa Puttin ni Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na mali zenye thamani za Us dolar bilion 200. Hi ikijumuisha pesa taslim na mali nyinginezo. Trump...
6 Reactions
47 Replies
6K Views
This article doesn't mean to spoil any country or nation put to prove the existence of witch craft in African. According to research,Their are 55 countries in Africa but not all could be found...
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), watumishi wa afya zaidi ya 6,000 kutoka nchi 38 Afrika wamepata maambukizi ya Virusi vya Corona tangu kuanza kwa mlipuko huo WHO imesema Afrika ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndege ya kijeshi iliyoanguka huko kaskazini magharibi mwa Ufaransa, ilisababisha rubani mmoja kuruka na kuangukia katika nyaya za umeme. Rubani wote waliruka katika ndege hiyo katika eneo la...
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom