Haya yaliyotokea jana kwenye miji ya majimbo mbalimbali si maandamano.
Hayakuwa maandamano ya kudai haki.
Zile zilikuwa ni vurugu.
Sasa kinachobamba kwenye habari si kifo cha George Floyd. Ni...
Camera iliyokuwa kwenye mwili wa polisi wa jinsia kike imeonyesha video ya polisi akimpiga risasi mmarekani mweusi.
Raia huyo aliyekuwa na bunduki, polisi alimuamrisha kuweka chini chini siraha...
Rais wa Marekani Bwana Donald Trump leo ametangaza nchi yake kujitoa rasmi shirika la afya Duniani.
Marekani huchangia 15% ya bajeti ya WHO na ndie mchangiaji mkubwa anayetegemewa.
Je, WHO...
Mwakilishi wa Shirika la Afya (WHO) nchini humo, Triphonie Nkurunziza anatuhumiwa kwa kudanganya idadi ya visa vya CoronaVirus na kutakiwa kuondoka
Waziri Mkuu Pascual Obama Asue amesema hawana...
Wengi walikuwa na malengo yao makubwa, nchi ziliweka mipango kazi, dunia iliweka mikakati, lakini mara ghafla akaingia mdudu corona akasitisha baadhi na kutishia kuvuruga kila kitu
Tarehe 28 June...
Hii ndiyo USA. Polisi kwa kutokuwa makini na kwa kukanyaga sheria zinazowaongoza kufanya kazi zao wakaua RAIA MMOJA TU asiye na hatia na asiye silaha kabisa huku wakiwa wameshamkata.
Hali iko...
Atlantic Records iliyoko nchini Marekani imeonyesha sapot kwa kuanzisha kitu walichokiita Blackout Tuesday
Mkurugenzi mkuu, Jamila Thomas na aliyekuwa kurugenzi wa masoko Brianna Agyemang wameipa...
MWANAMUME kutoka Ukraine alimbaka mamake mzazi, kusherehekea baada ya kuachiliwa kutoka jela, alikokuwa amefungwa kwa makosa ya mauaji.
Vitaliy, 42, alimvamia mamake alipokuwa amelala na...
Wadau wa mitandao mnafahamu mfumo huu ambao kuna watu wasiojulikana a.k.a (Anonymous) na wanaingia kwenye mtandao kwa kujificha ili kutimiza lengo husika kwa makusudi yao.
Toka mwaka 2017...
Mamlaka zimethibitisha kifo cha John Luk Jok (68) aliyekuwa Waziri wa Uhusiano wa Afrika Mashariki nchini Sudan Kusini
Makamu wa nne wa Rais, Rebecca Nyandeng De Mabior amesema Waziri Jok...
Well, we know many of you world like to know the most powerful military in Africa right? And if you don’t know some countries are powerful than the others in Africa now you know. Below you will...
Ubaguzi unaendelea pamoja na maandamano kuendelea kurindima pande tofauti tofauti za dunia. Police wa USA wamejikuta kwenye sintofaham baada ya kumkamata FBI bila kujua.
Tazama video hapa chini...
Fedha ya Kichina ya uhuru, ambayo inaweza kutolewa kwa umma mwaka ujao, inakadiriwa kuchukua nafasi ya pesa za karatasi. Wachambuzi wanasema inaweza kuhama usawa wa ulimwengu wa nguvu za kiuchumi...
UN: Vijiji vinachomwa na watu wanakatwa vichwa na kutekwa nyara kwa halaiki kaskazini mwa Msumbiji
Feb 08, 2020 12:57 UTC
Umoja wa Mataifa umesema, watu wanayakimbia makazi yao ili kujinusuru na...
The Southern African countries must come together and help Mozambique fend off an escalating jihadist insurgency in a remote northern region of the country.
This is a very huge threat to the...
Nimeikuta hii video katika pitapita zangu ambapo inadaiwa kuwa ni utekelezaji wa shambulio la kigaidi huko nchini msumbiji ambapo inadaiwa wanamgambo wa Al-shabab wameshambulio maeneo mbalimbali...
Thousands of people in New Zealand marched in solidarity Monday with those in the United States protesting the death in police custody of African American George Floyd.
Protesters in Auckland...
Hii ni taarifa nimejaribu kuitafuta lakini sijafanikiwa kuiona.
Nilichofanikiwa kuona ni kwamba, hawa wawili yaani marehemu George na Derek waliwahi kufanya kazi pamoja club moja ya usiku. Kwa...
George Floyd, raia mweusi wa Marekani ambaye kifo chake kimesababisha maandamano makubwa Marekani, alikufa kutokana na ukosefu wa hewa safi ya (oksijeni), kwa mujibu wa uchunguzi binafsi wa maiti...
Wizara ya Elimu nchini Senegal imesema shule zitaendelea kufungwa mpaka pale taarifa zaidi zitakapotolewa kufuatia baadhi ya walimu kupata maambukizi ya COVID-19
Taarifa iliyotolewa na Wizara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.