Utafiti ulioongozwa Chuo Kikuu cha Oxford umebaini dawa ya Malaria ya ‘Hydroxychloroquine’ haifanyi kazi dhidi ya Virusi vya Corona
Profesa wa Madawa, Martin Landray amesema utafiti huo...
Leo (Juni 7, 2020) asubuhi, ofisi ya habari ya baraza la mawaziri la China imetoa waraka kuhusu mapambano dhidi ya virusi vya Corona wenye jina “Mapambano dhidi ya COVID-19: Juhudi za China”...
Waziri wa elimu nchini Madagascar amefukuzwa kazi kwa sababu ya mipango yake ya kuagiza peremende au pipi zenye thamani ya zaidi ya dola milioni 2 sawa na (£1.6m) kwa watoto wa shule.
Rijasoa...
China imetoa wito kwa raia wake kutosafiri nchini kuelekea nchini Australia ikisema kuna ubaguzi na vurugu dhidi ya raia wa Asia
Wizara ya Utamaduni na Utalii imesema Australia imekuwa na...
Mwishoni mwa Januari wakati Wachina wanajiandaa na siku kuu ya mwaka mpya wa jadi wa China, wengi wao walitarajia kuwa watasherehekea mwaka mpya kwa furaha nashamrashamra zote. Lakini kile ambacho...
Mark Zuckerberg says Facebook will review its policies concerning the state use of force, voter suppression and content moderation, as the company faces a backlash from many of its own workers...
The 44th President of the United States had been backlashed after he claimed invading Libya and killing Gadafi who was the president of Libya was the right thing to do during his tenure as...
Rais Jair Bolsonaro ametishia kuitoa nchi hiyo kwenye uanachama wa Shirika la Afya (WHO) baada ya Shirika hilo kuionya kuhusu kulegeza masharti kabla ya kudhibiti maambukizi ya #CoronaVirus
Kauli...
📷: Demonstrators protest Saturday, June 6, near the White House in Washington, over the death of George Floyd, a black man who died in police custody in Minneapolis after being restrained by...
If you look at the killing process of George Floyd in America you shall see that the policeman who knelt on the neck on the victim knew what he was doing.
Anatomically they are big vessels from...
Shirika la Reporters Without Borders (RSF) limesema Samuel Wazizi ambaye alikamatwa Agosti 02,2020 kwa madai ya kukosoa Mamlaka za Serikali amefariki dunia
Taarifa ya RSF imesema siku tano baada...
Mmiliki wa shirika la ndege la Uingereza la British Airways anatafakari kuifungulia mashtaka serikali ya Uingereza kuhusiana na mpango wake wa karantini.
Afisa mkuu mtendaji wa shirika hilo...
Mwaka 2011 NASA,shirika la anga la anga la marekani lilisitisha matumizi ya roketi zake baada ya kukabiliwa na accidents kadhaa na masuala ya gharama kubwa za uendeshaji wa program zake za space...
Haya maandamano hayana tena nia ya kutafuta haki, bali kutunisha mifuko ya majangiri, kinachoendelea huko kwa sasa hakihusiani na marehemu na kimegeuza protests kuwa riots.
Vifo vya wamarekani...
Mkutano wa tatu wa Bunge la 13 la Umma la China hivi karibuni umepitisha Muswada wa Kujenga na Kukamilisha Mfumo wa Sheria wa Kulinda Usalama wa Taifa Katika Mkoa wenye Utawala Maalumu wa Hong...
George Floyd, ambaye kifo chake huko Minneapolis wiki iliyopita kilisababisha maandamano makubwa juu ya udhalilishwaji wa watu weusi unaofanywa na polisi, alipatikana na virusi vya Corona wiki...
MAANDAMANO HAYA YANAWEZA KUCHANGE DIRECTION NA KUWA SABABU YA KUMTOA TRUMP MADARAKANI
Maelfu ya watu wamejitokeza kote New York kwa maandamano yaliyoendelea usiku kucha juu ya kifo cha George...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.