International Forum

News and Stories from rest of the World
Are you a tourist or you simply want to satisfy your curiosity in the world of Africa's hospitality? You definitely need to be abreast of all the big names in the industry in terms of extravagance...
6 Reactions
42 Replies
9K Views
Rais wa Zimbabwe Mh. Emmerson Zambudzo Mnanganwa kupitia ukurasa wake wa Facebook ametangaza tarehe 15/06/2020 kuwa siku ya maombi kwa nchi yake ili Mungu aiepushe zimbabwe dhidi ya janga hili la...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Waandamanaji wanaopinga ubaguzi wa rangi wameiondoa sanamu ya Mfalme Leopald II iliyosimikwa mjini Antwerp. Sanamu hiyo ililalamikiwa na wanaharakati kwa muda mrefu Mfalme Leopald anajulikana kwa...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Brazil imeondoa takwimu za COVID19 kwenye tovuti ya Serikali. Wizara ya Afya imesema kuanzia sasa itakuwa inatoa takwimu za saa 24 na idadi ya jumla itaacha kutolewa Uamuzi wa kuondoa takwimu za...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Just for curiosity, wewe unaonaje kungelikuwa na scenario kama hiyo! 87% ni Weusi na 13% wazungu, je weusi wangeliwabagua wazungu au Racism is not determined by majority numbers?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii ni kutokana na serikali kuifunga website iliyokuwa ina report trend ya maambukizi ya coronavirus/covid-19. Mahakama imetoa hukumu kuwa kupata habari ni takwa la kikatiba na Rais asitumie...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Rais wa zamani wa Malawi Joyce Banda amesema nchi hiyo haina virusi vya Korona na kuituhumu serikali kwa ‘kugushi’ takwimu. Vyombo vya habari vya Malawi vimeripoti kuwa Bi Banda alinena hayo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kifo cha George Floyd, Mmarekani mweusi aliyefariki dunia mikononi mwa polisi kimekuwa ishara tosha ya vita dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Marekani na kwingineko ulimwenguni. George Floyd...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
"Endapo Marekani ikaingiza pua yake kwenye masuala ya wenzake badala ya kuangalia masuala yake ya ndani katika kipindi ambacho wapo kwenye hali mbaya ya kisiasa basi wanaweza kukutana na kitu...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Wapiganaji wenye silaha wanaoshirikiana kwa karibu na wanajihadi, wamewauwa watu 59 katika jimbo la Borno Kaskazini Mashariki mwa Nigeria. Ripoti zinasema kuwa watu hao wenye silaha kutoka kundi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Video ikionyesha waandamaji wakiangusha sanamu ambayo imedumu toka karne ya 18. Sanamu ya Edward Colston katika sehemu ambayo inajulika The centre, Bristol. Wakiwa wanaitupa Bristol harbour...
24 Reactions
86 Replies
10K Views
| Mexico / Estados Unidos Mexicanos / United Mexican States Ni taifa linalopatikana bara Amerika Kaskazini na kwa kiasi Amerika ya Kati, likiwa na mipaka baina ya Marekani upande wa Kaskazini...
12 Reactions
67 Replies
6K Views
The Observatory did not identify the aircraft responsible, but suggested Israel was likely responsible Updated 07 June 2020 AFP June 07, 2020 06:44 BEIRUT: At least 12 pro-Iranian fighters...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Mnamo mwaka 2014 wanafunzi wanne wa kike kutoka Nigeria wote wakiwa na miaka 14 wakisaidiwa na walimu wao walifanikiwa kutengeneza genereta lenye uwezo wa kuzalisha umeme kutoka kwenye mkojo. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi vyombo vya habari vya kimataifa viko bize na update za korona wakati huo huo Mataifa mengi yakiwa bize na maandamano na mikusanyiko ya kuwasapoti wamarekani weusi wanaodai haki ya...
7 Reactions
67 Replies
4K Views
Colin Powell ni mwana-Republican aliyekuwa katibu mkuu, enzi za utawala wa George W. Bush. Amesema Donald Trump ni muongo hivyo atampigia kura mgombea wa Democrat, Joe Biden Amefikia uamuzi huo...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Madaktari nchini China wamaenza kuijaribu dawa ya #COVID19 iliyogunduliwa na Eli Lilly na kampuni ya kichina ya ‘Bioscience’ Dawa hiyo iliyopewa jina la JS016,, itaanza kujaribiwa kama haina...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Burundi yatangaza siku saba za kuomboleza kifo cha Rais Nkurunziza Serikali ya Burundi imetangaza maombolezo ya kitaifa ya siku 7 kufuatia kifo cha rais wake Pierre Nkurunziza, aliyeaga dunia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Polisi mwingine muuwaji huko New Mexico, Marekani huyo hapo. ==== Body camera footage obtained Sunday shows a New Mexico police officer telling a man he’s going to “choke you out” before...
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Back
Top Bottom