International Forum

News and Stories from rest of the World
Mmarekani mweusi amekandamizwa shingoni kwa dakika nane na kupoteza maisha.Maandamano na ghasia vikaibuka Marekani na nchi zingine.Africa hatukubaki nyuma kulikemea jambo hili.Huu ni unafiki...
2 Reactions
1 Replies
705 Views
Niliwahi Kumsikia mahala Mtaalam Mmoja akisema kuwa kama pakiwa pametokea tatizo / janga fulani ndani ya nchi husika hata kama juhudi zinafanyika za kukabiliana nalo na zimeanza kuzaa Matunda ila...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Uamuzi huo ulifikiwa kufuatia mkutano uliyofanywa siku ya Alhamisi chini ya uongozi wa Makamu wa Rais wa kwanza Gaston Sindimwo. Kufikia sasa bado haijabainika ni lini kiongozi mpya ataapishwa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuanzia Jumatatu 15/06/2020 kila abiria anaetumia usafiri wa umma nchini Uingereza anapaswa kuvaa barakoa. Kushindwa kufanya hivyo kutapelekea abiria kutozwa faini ya £100 hii ni takriban TSH...
0 Reactions
2 Replies
518 Views
Rais wa Sudan Kusini Omar Al-Bashir alikuwa akipokea mshahara wa kila mwezi wa dola milioni 20 sawa na shillingi bilioni 46 za kitanzania kutoka kwa vyanzo visivyojulikana, hii imebainishwa na...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Shirika la Fedha la Kimatifa (IMF), limeipa serikali ya Rwanda dola milioni 11.06 sawa na Tsh billioni 257 ili kuongeza nguvu katika kupambana na COVID19 Uchumi wa Rwanda uliathirika na baadaya...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Mahakama moja nchini Burundi imewahukumu majenerali wa jeshi walioongoza mapinduzi dhidi ya rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kifungo cha maisha. Mahakama hiyo pia imewahukumu watu wengine tisa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
AUSTRALIA has hit back at threats from China to punish Australia for daring to question the origin of the coronavirus, after Beijing vowed to wipe £20billion off the Australian economy...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mtandao wa Twitter umesema umezifuta akaunti 170,000 zilizokuwa zinahamasisha maandamano Hong Kong, kutoa mtazamo wa uongo kuhusu COVID19 na kuhusu maandamano ya Marekani ya George Floyd Twitter...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
The Long March 3B rocket carrying the Chang'e-3 lunar probe is seen docked at the launch pad at the Xichang Satellite Launch Center in Liangshan, Sichuan province December 1, 2013. Part of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwalimu kutoka Ghana alivuma mtandaoni baada ya kuweka picha akichora programu ya Microsoft Word kwenye ubao wakati wa darasa la tarakilishi. Baada ya picha yake Owura Kwadwo kusambazwa sana...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Pichani spika wa jamhuri ya Burundi kwa jina anaitwa Paschal Nyabenda. Kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya Burundi huyu ndie atakuwa raisi wa muda mpaka mwisho wa mwezi wa name mpaka atapoapishwa...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Sanamu ya Kapten John Fane Charles Hamilton, imeondolewa katika mji wa Hamilton, New Zealand, mji uliopewa jina lake kwa heshima aliyopewa Wanaopinga ubaguzi wa rangi na Maori waliomba sanamu...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza katika historia, nusu ya viongozi wakuu wa Baraza la Usalama la Kitaifa (national security council) nchini Marekani ni wanawake. Idara 12 kati ya 24 zinaongozwa na wanawake...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Rais Donald Trump amemteua General Charles Q. Brown kuiongoza US Air Force (chief of staff to the Us Air Force). General Brown anakuwa mmarekani mweusi wa kwanza katika historia ya Marekani...
23 Reactions
285 Replies
18K Views
WHO imeonya kuhusu kasi ya maambukizi ya COVID19 barani Afrika. Hii ni kutokana na maambukizi kuchukua siku 18 tu kufikia mara 2 ya awali yaani visa 100,000 hadi 200,000. Hadi sasa Afrika ina...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Pamoja na Hitler kusaidia kampuni za German na kuja na dawa kama Aspirin na Magari ya Volkswagen watu wanamkumbuka kwa mauaji tu. Lakini ni mtu huko German alikuwa anapedwa sana na kushabikiwa...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Chanjo ya #CoronaVirus iliyogunduliwa na kampuni ya teknolojia ya kibailojia ya nchini Marekani, Mederna, itafanyiwa majaribio ya tatu na ya mwisho mwezi Julai Majaribio hayo yanatarajiwa kuwa na...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari! Katika kipindi kifupi kijacho, rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kulihutubia taifa la Marekani kulingana na vyanzo kutoka Ikulu ya White House huku ajenda kuu ikiwa ni masuala ya...
5 Reactions
66 Replies
5K Views
The African Union Commission headquarters building in Addis Ababa, Ethiopia. (Photo: Ecdpm) The Africa CDC headquarters row has also pulled in the US and has become a regional sideshow to the...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom