International Forum

News and Stories from rest of the World
Ujerumani imekasirishwa na uamuzi wa rais wa Marekani Donald Trump wa kukata mahusiano na shirika la afya ulimwenguni WHO ikiielezea hatua hiyo kuwa na muvunja moyo na inayorudisha nyuma afya ya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Serikali ya Burkina Faso imesema mtu mmoja asiyejulikana ameshambulia na kuua takriban watu 15 katika jimbo la Loroum Waziri wa Mawasiliano Remis Fulgance Dandjinou amesema idadi ya...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Waziri wa Ulinzi wa China aitahadharisha Marekani Waziri wa Ulinzi wa China amesema kuwa ushindani wa nchi hiyo na Marekani umeingia katika nukta nyeti na hatari na kwamba China ni lazima...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Marekani yaitaka tena Korea Kaskazini ifumbie macho silaha za nyuklia Kwa mara nyingine Robert O'Brien, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani ameitaka Korea Kaskazini ifumbie macho silaha za...
0 Reactions
3 Replies
938 Views
The front of CNN Center in Atlanta was the scene of violent protests on Friday evening that resulted in damage to the front of the building and inside. The protesters broke the glass outside the...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu! Kwanza kabisa, baada ya Marekani kupitia rais Donald Trump kutangaza kusitisha rasmi mahusiano na Shirika la Afya Duniani WHO, kunaweza kuwa pigo kubwa kwa shirika hilo maana...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuanza kidogo kidogo,kisha kwa pamoja na mara moja. Mwaka1956 ni wachache waliozani kuwa kitendo cha uvamizi Wa uingereza kwenye mzozo wa mfereji wa Suerz kingelipelekea kuporomoka moja kwa moja...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tukio limetokea Marekani, wanaoumia na kuteseka ni wabongo kisa mtu mweusi kuuawa. Hao wanaoandamana na kuvunja maduka na kuiba bidhaa zilizomo walikuwa wapi hawakuandamana kipindi Marekani...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni mauaji yanayofanyika na mwanafamili kwa mwanafamilia anaeyeonekana kuleta aibu au ‘laana’ katika familia au ukoo Wanaharakati wanasema sababu za mauaji haya ni pamoja na kukataa kuolewa na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
LIVE TV TOP STORIES GERMANY Advertisement By Ben Knight | 1m ago Sad looking woman with bottle of pills (Imago-Images/Panthermedia/A. Guillem) Early figures suggest that warnings, Germany's...
1 Reactions
1 Replies
625 Views
.... imeandikwa kuwa the Black Death ambayo iliua karibu 60% ya watu duniani ilianzia China. The Black Death: What Bubonic Plague Reveals About COVID-19 Coronavirus Pandemic The so-called Black...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ubaguzi waendelea Marekani, mwanahabari wa CNN akamatwa akiripoti mubashara May 30, 2020 03:46 UTC [https://media] Polisi nchini Marekani wameendeleza vitendo vya kuwabagua Wamarekani wenye...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Serikali ya China imekanusha kuwa hakuna ubaguzi uliofanyika China dhidi ya waafrika, lakini kama mnavyojua serikali ya China ni mabingwa wa propaganda na uwongo. Video za kunyanyapaa waafrika...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Walimu zaidi ya 20000 jimbo la kaduna Nigeria wako hatarini kupoteza nafasi zao ikiwa watafeli mitihani ambayo ilikusudiwa kufanywa na wanafunzi wao. Hii ni mikakati ya Gavana wa jimbo hilo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
"Minneapolis Is Burning" - Buildings Torched, Stores Looted, Protests Over George Floyd Intensify by Tyler Durden Thu, 05/28/2020 - 12:44 TwitterFacebookRedditEmailPrint Update (10:21 ET):On...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donald Trump ambaye anakabiliwa na uchaguzi mkuu mwaka huu ambaye amekosolewa jinsi anavyotatua ugonjwa huo nchini Marekani , amelaumu China kwa kujaribu kuziba mlipuko huo na...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Like so many of you, I’m pained by these recent tragedies. And I’m exhausted by a heartbreak that never seems to stop. Right now it’s George, Breonna, and Ahmaud. Before that it was Eric, Sandra...
2 Reactions
4 Replies
947 Views
Donald Trump anatarajia leo Alhamisi kutia saini kwenye agizo linalolenga mitandao ya kijamii, maafisa wa Ikulu ya White House wamesema, saa chahe baada ya rais huyo kutishia kudhibiti au kufunga...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Gavana wa Washington, Jay Inslee amesema zuio la kubaki ndani litaisha Jumapili Jimbo la Washngton lilishambuliwa zaidi na #CoronaVirus lakini Gavana amesema kuna maendeleo mazuri juu ya janga...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wizara ya Mambo ya kigeni ya Ujerumani leo imemwita balozi wa Urusi kujadili uwezekano wa kuiwekea Moscow vikwazo kufuatia madai ya udukuzi ya mwaka 2015 dhidi ya bunge la Ujerumani, Bundestag...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom