Wanaharakati wa mapenzi ya jinsia moja nchini Costa Rica wamekuwa wakipigani sheria ya kutambulikwa kwa ndoa za jinsia moja kisheria na kufanya kuwa mdahalo mkubwa kipindi cha uchaguzi wa mwaka...
Mara baada ya utumwa kukoma nchini Marekani, watu weusi kwa kiasi kikubwa waliendelea kukumbana na ubaguzi wa rangi hali iliyowaibua wanaharakati weusi kupinga ubaguzi huo na kutetea haki za watu...
Taifa la Marekani limetoa taarifa ifuatayo, kumbuka kaimu balozi wa Marekani aliitwa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa kimataifa kuhojiwa, one does not have to be a genius to understand this.
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amebadilisha msimamo wake kuhusu dawa ya nchi yake anayodai kuwa na uwezo wa kutibu Corona.
Mwezi uliopita bwana Rajoelina alizindua rasmi dawa ya mitishamba...
Nesi mmoja raia wa urusi mwenye umri wa miaka 23 amejikuta matatani baada ya kile kilichoonekana kama ukosefu wa maadili kufiatia kuwahudumia wagonjwa wa Corona huku akiwa amevalia vazi...
Idara ya Haki ya Marekani imesema imeupa kipaumbele cha kwanza uchunguzi wa Polisi kuhusika na kifo cha George Floyd huku maandamano ya vurugu yakiingia siku ya 2
Idara hiyo imesema Waendesha...
Kanisa Katoliki nchini Burundi limesema hitilafu kadhaa wakati wa uchaguzi wa rais uliofanyika wiki iliyopita nchini humo zinasababisha mashaka juu ya matokeo yaliyokipa ushindi chama tawala...
Hawa Iran washenzi sana aisee!
Waliwekewa vikwazo na Marekani ktk uuzaji wa mafuta, na wametakiwa wasimuuzie mafuta Venezuela.
Haitoshi wakapigwa mkwara na Trump, lakini kwa kuwa walishamjulia...
It is no doubt Tanzania is strongly coming up as a real competitor and perhaps an emerging producer of the East African community. It is also true that the ease and cost of doing business in...
The kind of things happening around the world is one that tends to keep you wondering over and over again given the way humans are acting nowadays.
A Colombian transgender model, Danna Sultana...
Watu 102,093 wameripotiwa kufariki kutokana na homa kali ya mapafu inayosababishwa na #COVID19. #Marekani ni nchi inayoongoza kwa maambukizi
Jumla ya watu 1,939,077 wameripotiwa kuwa na...
Shirika la ndege la viwango nafuu, London nchini Uingereza imepanga kupunguza wafanyakazi 4,500 na kupunguza huduma zake ili kufiti kwenye soko dogo lililopo kutokana na CoronaVirus. Kampuni hiyo...
Mahakama kuu ya Switzerland imewataka waajiri kuwachangia kodi ya pango waaajiriwa wanaofanya kazi kutoka nyumbani
Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya muajiriwa mmoja wa kampuni moja ya uhasibu...
Mmiliki wa Facebook (Instagram, WhatsApp na Facebook yenyewe) bwana Mark Zuckerberg amepingana na Twitter kuhariri tweets za watu na kusema wao hawahariri tweets za wanasiasa.
Mark amesema...
Mwaka 2018 Marekani kwa kushirikiana na Canada walimkamata mkurugenzi wa fedha wa Huawei alipokua anabadilisha ndege kwenda nchi moja wapo ya Marekani ya kusini.
Tokea kipindi hicho mkurugenzi...
Hussein Albelbagi, makamu wa tano wa Rais wa Sudan Kusini amekutwa na #CoronaVirus. Pia ni kiongozi wa tano kutangaza kuwa ana #COVIDI19
Sudan Kusini ilipata maambukizi ya kwanza ya #CoronaVirus...
Marekani imesema Urusi imepeleka ndege za kivita Libya kuwasaidia mamluki wake wanaopigana upande wa kamanda Khalifa Haftar mashariki mwa Libya. Wakati huo huo, Urusi imesema inaunga mkono...
Waziri wa Afya Zambia Chitalu Chilufya amebainika kuwa na #CoronaVirus, na amejitenga ili kuzuia maambukizi zaidi
Msemaji wa wizara amesema mawaziri wote waliochangamana na Waziri wa Afya...
GENEVA (AP) — An auction house in Switzerland is set to sell 25 luxury cars including Ferraris, Rolls-Royces and Lamborghinis that Geneva authorities seized from the son of Equatorial Guinea's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.