Maelfu ya waandamanaji jijini Berlin wameingia barabarani kuandamana kupinga hatua ya serikali kuwafungia ndani
Waaandamanaji hao walikuwa na mabango yalisomeka we want our life back stop...
Serikali ya Marekani imeilaumu ile ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (Korea Kaskazini) kwa kushindwa kufikia mwafaka wa kuondoa Uzalishaji wa Makombora ya Kinyuklia katika Rasi ya Korea...
Heri sisi Rais Magufuli alisema tujifukize, Trump huko kwake amesema watu wanywe bleach yale marangi ya nywele.Trump ameongea hayo kwenye TV, amesema kuwa bleach inaweza kuwaua virus ndani ya...
Harriet Hardy kutoka Marekani ambaye amekuwa akijishughulisha na masuala ya nywele kwa miaka 33 amesema ana wasiwasi kuhusu namna ya kuwalinda wateja wake ili wasipate maambukizi
Amesema siku...
Wakati wananchi wa Afrika kusini wakiwa kwenye kipindi cha kujifungia ndani kukabiliana na corona baadhi wa waislamu waliamua kukiuka agizo la serikali la kukusanyika wakaamua kwenda ibadani...
Utawala bandia wa Kizayuni wapatwa na hasira kali kufuatia kurushwa angani kwa mafanikio satalaiti ya Iran
Apr 23, 2020 08:19 UTC
Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala Haramu wa Israel imetoa taarifa...
Guys!, for the past few weeks, my team and I have been doing some little research treatment and control of COVID-19. We have been fumbling around searching for relevant resources about the...
Footage has emerged on social media in recent weeks showing racist attacks on Africans in China. African migrant communities have become the target of discrimination and harassment as China...
After this is over, we need to have a very serious discussion about preventing the next pandemic. First thing first, The world health organization (WHO) should be disbanded. WHO is becoming...
Baadhi ya majimbo yameanza kulegeza masharti ili kufungua uchumi katika maeneo yao licha ya vifo na maambukizi kuendelea kuongezeka nchini humo
Magavana mbalimbali wakiwemo wa Oklahoma, Alaska...
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetangaza msaada wa dharura wa Dola Milioni 309 kwa Mozambique ili kusaidia nchi hiyo kupambana na Coronavirus
Taarifa iliyotolewa na Shirika hilo imesema...
Watafiti kutoka nchini Uingereza wanafikiria kufanyia majaribio chanjo ya virusi vya corona nchini Kenya ambapo kulingana na wao mlipuko wa ugonjwa huo unaongezeka.
Hatua hiyo inajiri wiki moja...
Raia wa Zambia, George Bester amelazimika kuomba msamaha kwa mtoto wake wa miaka 19 baada ya video ya kumpiga mtoto huyo kusambaa mtandaoni.
Wakati akielezea vitendo vyake, Bester alidai kwamba...
Lawrence Brooks is now America’s oldest living WWII veteran as he celebrates his 110th birthday! Brooks was born on September 12th, 1909. He was also recently honored at the National World War II...
Hapo vip!!
Ni ukweli ulio wazi ya kwamba china na urusi ni marafiki tena wa kushibana wa muda mrefu sana...ila nina wasiwasi urafiki huu ukachafuliwa na dowa la CORONA-COV19.
Ishara hii imeanza...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyata, leo ijumaa April 24 ametangaza kuwa Wakenya waliopo nchini China watatumiwa ndege itakayowarudisha nchini humo mnamo May 1 mwaka huu.
Akitangaza uamuzi huo, Rais...
Kama heading inavyosomeka, Katikati ya jiji la Dubai shangwe na furaha ya kuondolewa lockdown ya Corona jijini hapo.
Wenye ndugu, jamaa na marafiki huko, tulipowasiliana nao, baadhi yao wakasema...
US President Donald Trump has been lambasted by the medical community after suggesting research into whether coronavirus might be treated by injecting disinfectant into the body.
He also appeared...
Mtandao wa TMZ wa nchini Marekani umeripoti kwamba kiongozi dikteta wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amefariki dunia au yuko kwenye hali mbaya ambayo ni ngumu sana kupona baada ya operesheni yake ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.