Iran yajibu bwabwaja mpya za Trump, yasema tutajibu vikali uchokozi wowote Ghuba ya Uajemi
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, usalama na amani katika...
Baada ya kufanya ubaguzi wa kutisha dhidi ya watu weusi, China kama kawaida yake imekataa katakata kuwa hakuna ubaguzi wowote uliofanywa, licha ya video za wazi watu wakikataliwa kuingia sehemu za...
Wamepitisha bajeti ya dharura kwa sababu ya COVID19 yenye thamani ya dola bilioni 26. Toka nchi imeingia kwenye lockdown wiki 5 zilizopita wameunda kikosi kazi cha watu elfu kumi kwa ajili ya...
Ameamua kuianika kama ilivyo licha ya uhusiano wa karibu baina ya China na Urusi, aeleza kuna aina ya virusi vingine vingi tu ambavyo China huwa wanavyo na hucheza cheza navyo kwenye maabara, hii...
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametoa hotuba kwa njia ya televisheni akisema kuanzia tarehe 1 Mei, Afrika Kusini itapunguza hatua za zuio dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona kuwa ngazi...
Amefanyiwa upasuaji wa moyo ambao haukuenda kama ilivyokusudiwa, na tayari kuna ushindani baina ya wanaokusudiwa kumrithi.
======
BREAKING NEWS: Kim Jong Un 'in grave danger after heart...
Baada ya failure za kupeleka satellites kadhaa hatimae Iran Leo hii imefanikiwa kurusha satellite ya kijeshi yenye matumizi ya kijeshi angani....Tutegemee US,Israel na NATO kulaumu maana apo awali...
Misri imetuma nchini Marekani ndege iliyosheheni vifaa na zana za kitiba za kukabiliana na virusi vya Corona, wakati huu ambapo nchi hiyo inayotajwa kuwa dola kubwa na lenye uwezo zaidi duniani...
Poleni wanadamu wenzangu,
Kwa janga hili la Corona Ni Kama Dunia imevamiwa,maana kila nchi Ni vilio.
Kama ningekua na uwezo wa kuzishauri nchi kubwa kivita zinazo shindana kutengeneza silaha za...
Mkuu wa Taasisi inayotengeneza chanjo ya #COVID19 Dkt. Rick Bright amesema ametolewa katika nafasi hiyo baada ya kupinga tiba ya Chloroquine ambayo imepewa kipaumbele na Trump
Dkt. Bright amesema...
Afrika ina uwezo wakuhudumia Asia, Ulaya, Marekani, Australia lakini hawawezi kwa sababu wana tatizo moja tuu.
Viongozi wao ndio tatizo
#Vladimir_Putin
Hakika haya maneno yana ukweli ndani...
Mkurugenzi wa CDC amesema kuna uwezekano mlipuko wa pili wa COVID19 ukatokea msimu wa baridi (Winter) wakati wa kipindi cha mafua
Kauli yake inakuja baada ya Magavana kadhaa kulegeza masharti...
Bill Gates has open up saying that Africans should allow the vaccine to be tested on them since they cannot produce the vaccine. This is what he said;
I was initially angry about the move to...
Missouri limekuwa jimbo la kwanza nchini Marekani kuishitaki serikali ya Uchina kwa namna ambayo imeshughulikia janga la virusi vya corona.
Mashtaka hayo yanakuja wakati ambao kuna ongezeko la...
Shirika la kutetea Haki za Binadamu, Human Rights Watch linataka uchunguzi ufanywe kubaini chanzo cha kifo cha mwanamuziki maarufu wa nyimbo za injili nchini Rwanda, Kizito Mihigo.
Mkurugenzi wa...
“THE PRICE OF OIL WILL DROP DRASTICALLY!” - PROPHET TB JOSHUA
Starting twelve years ago, Prophet TB Joshua gave a series of prophecies concerning the current economic crisis, specifically...
Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP Bw. David Beasley jana jumanne alionya dhidi ya kutokea kwa baa kubwa la njaa kote duniani, sambamba na janga la COVID-19.
Bw...
MELINDA GATES, mke wa bilionea Bill Gates wa Marekani, ameonya kwamba iwapo dunia na hususani Afrika haitachukua hatua za haraka za kukabiliana na janga la virusi vya Corona vinavyosababisha...
Personal body guard wa rais wa Nigeria ndugu Mohamadou Buhari afariki dunia jana. Ofisi ya rais imetaarifu Lawal Mato alifariki kwa kisukari ambayo imemsumbua kwa muda wa miaka mitatu.
Ila...
Mataifa 193 wanachama wa Umoja wa Mataifa yamepitisha azimio linalohimiza kuwepo usawa kwa kila nchi duniani kupata chanjo ya virusi vya corona itakayopatikana katika juhudi zinazoendelea.
Azimio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.