International Forum

News and Stories from rest of the World
Shirika la Afya Duniani linasema kilele cha hali ngumu zaidi kuhusiana na Ugonjwa wa Covid-19, bado hatujakifikia; na hivyo kuyataka mataifa kuwa makini katika kuondosha lockdowns.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Watesi wa Kim wamejibiwa na South Korea (sio North Korea) kuwa komredi Kim Jong-Un sio mgonjwa kama walivyozusha na kuanza kufurahika. Uzushi huo ulianzishwa na vyombo vya habari vya CNN na Daily...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika juhudi za kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 Rwanda imezindua mashine ya kwanza iliyotengenezwa nchini ambayo inawasaidia wagonjwa kupumua maarufu kama ventilator. Ni mashine...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais Donald Trump ametangaza kusaini amri ya kusimamisha kwa muda shughuli zote za uhamiaji nchini Marekani ili kukabiliana na mlipuko wa Virusi vya Corona na vilevile kulinda ajira za Wamarekani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii ni baada ya unyanyasaji wa watu weusi unaoendelea huko China. Hivyo serikali hii imeamua kuwakamata wachina wote waliopo nchini humo. Na wamedai ni mpaka RAIA wa Guinea watakaporudi salama...
47 Reactions
136 Replies
16K Views
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametangaza mpango wa uokozi wa dola bilioni 26 kuupiga jeki uchumi na kusaidia jamii masikini zilizoathirika na janga la virusi vya corona. Akilihutubia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Papa Francis leo ameutolea mwito Umoja wa Ulaya kubaki na mshikamano katika kukabiliana na athari za janga la virusi vya Corona. Kiongozi huyo wa kanisa Katoliki duniani ametowa mwito huo siku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huwa nashangaa sana mtu akibisha kwamba watu hawauzwi au wanaosafirishwa kufanya kazi hawaendi kuteswa na kunyanyaswa mkabala na kunyang'anywa passport Uarabuni. Hii hapa ni mojawapo ya nchi...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
The Israeli NGO Shurat HaDin plans to file a class action lawsuit against China in the coming days over its alleged negligence in treating and containing the coronavirus, N12 reported on Sunday...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
© Adam Dean for The New York Times A view of Scarborough Shoal, now effectively controlled by China. The Chinese government has made vast claims to the South China Sea that conflict with...
0 Reactions
2 Replies
775 Views
His administration reportedly funded the lab in 2015. For once a reporter asked a pertinent question at a White House daily virus briefing. On Friday one reporter asked President Trump if he...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
The COVID-19 pandemic will likely kill at least 300,000 Africans and risks pushing 29 million into extreme poverty, the U.N. Economic Commission for Africa (UNECA) said on Friday, calling for a...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Hali bado Ni mbaya Tarafa ya Uvira, huko Congo baada ya miili kutapakaa mitaani.Maji ya mafuriko kuanza kupungua miili zaidi ya 30 imeopolewa, wakiwemo watoto wachanga. Wakazi wa Tarafa Uvira...
1 Reactions
51 Replies
7K Views
Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo ameondosha marufuku ya watu kutoka nje ama 'lockdown' katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo ambayo yalikuwa yamefungwa ili kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona...
5 Reactions
37 Replies
6K Views
Mlinzi wa Rais wa Sierra Leone Julius Maada Bio ameambukizwa virusi vya corona. Rais wa nchi hiyo alitangaza siku ya Jumatatu usiku kuwa ana afya njema ingawa mfanya kazi wake ana maambukizi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Dear Fellow South African, Many countries around the world have imposed coronavirus lockdowns with a view to saving the lives of their citizens. We have done the same in our country, but our...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amefikia makubaliano ya kihistoria ya kuunda serikali ya pamoja ya dharura na hasimu wake mkuu Benny Gantz, hatua inayomaliza mkwamo mbaya kabisa wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Uingereza inaanza majaribio ya kutumia damu ya waliopona virusi vya corona kuwatibu wagonjwa walio na maambukizi hayo ambao wapo hospitali. Taasisi ya damu na upandikizaji ya Uingereza inawataka...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Waandamanaji nchini Marekani wameingia mitaani katika majimbo kadhaa wakishinikiza magavana kufungua uchumi wa majimbo yao kwa kuondosha amri ya kutokutoka nje ama 'lockdown'. Marufuku hiyo ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Rais Joko Widodo amesema utamaduni wa kusafiri nje ya miji mwisho wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan umepigwa marufuku ili kudhibiti maambukizi ya COVID19 Wataalamu wa Afya nchini humo wameonya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom