International Forum

News and Stories from rest of the World
Hapo Jana raisi wa wa Brazili bwana Jair Bolsonaro aliungana na waandamaji takiribani Mia sita walioandamana Hadi makao makuu ya jeshi kupinga zuio la kutoka nje kwenye baadhi miji Kama...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Maandiko yanasema, hakuna lililo jipya chini ya jua. Nimegundua moja ya jambo linalofanya tushindwe kung'amua, kuyaelewa na hatimaye kuyapatia ufumbuzi matatizo yetu mengi ni kuwa tunadhani...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Imetimia miaka 40 leo (18.04.2020) tangu bendera ya Uingereza iliposhushwa nchini Zimbabwe, na ya taifa jipya huru ikapandishwa kuashiria uhuru wa nchi hiyo, miongoni mwa chache zilizokuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
On the 18th of April, Saturday evening, A lot happened on twitter between Chinese and south Africans after a screenshot emerged of a secret social media group of racist Chinese People. A...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
World Health Organization (WHO) ✔ @WHO Preliminary investigations conducted by the Chinese authorities have found no clear evidence of human-to-human...
4 Reactions
157 Replies
14K Views
Hata obama huyuhuyu ambae kaanza kusingizia uongo kwamba trump anatembelea trend ya uchumi aliouacha ni muongo sana, kiukweli obama alisema "haiwezekani" uchumi wa marekani kurudi upya uwe imara...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Video: Chadian Fighter Jet Mistakenly Fires Missile While On The Ground Killing 5 In a bizarre and tragic accident, a Chadian Air Force Su-25 parked at the Adji Kossei airbase fired a missile...
1 Reactions
1 Replies
743 Views
Jumanne ya wiki hii (April 14) ilikuwa ni siku ya majonzi zaidi nchini Marekani baada ya Corona kuua watu 6185 ndani ya masaa 24 huko Marekani. Jamani tuchukue hatua za kujikinga na gonjwa hili...
4 Reactions
85 Replies
9K Views
Shirika la UNHCR ambalo linashughulika na wakimbizi limesema kutokana na janga la COVID19, Wanawake na Wasichana wapo katika hatari kubwa ya kunyanyaswa kijinsia UNHCR imesema kufuatia nchi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni Ukweli usiopingika kuwa Ethiopia chini ya uongozi wa Waziri mkuu abiy Ahmed Ali imekuwa ikifanya juhudi za dhati na za hali ya juu katika kupambana na Virusi vya corona Juhudi hizi zinaonekana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesitisha mchango wa kifedha ambao Marekani imekuwa ikiutoa kwa Shirika la Afya Duniani WHO kufuatia namna walivyolichukulia suala la COVID-19. Pia WHO...
5 Reactions
217 Replies
17K Views
Huko Saudia polisi imewakamata jumla ya watu 34 waliovunja sheria ya kutozagaa nje ili kuepusha maambukizi ya corona. Miongoni mwa watu hao wapo walioamua kuendesha magari ktk viunga vya mji huku...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Mambo yamebadilika kwa Kapteni Brett Crozier aliyetumbuliwa baada ya kuomba msaada wa kupambana na corona aliyohisi inawashambulia timu yake kwenye meli ya USS Theodore Roosvelt (CVN 71). Sasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Juzi kati Trump alipokuwa akihutubia kuhusu mwenendo wa Corona nchini Marekani, alisema kuwa amepokea hivi karibuni barua nzuuuri toka kwa Kim Jong-Un, na kwamba tunaendelea vizuri ktk mahusiano...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Afrika yetu hii japo tunaomba sana lakini mengine yakujitakia tu, inafahamika kirusi cha Ebola kinavyoambukiza, ile tu kumkaribia muathirika hapo unacho, na chenyewe kinaua kwa masaa, sasa huyu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kumamoto has had: (M1.5 or greater) 7 earthquakes today 22 earthquakes in the past 7 days 22 earthquakes in the past month 40 earthquakes in the past year The largest earthquake in Kumamoto...
2 Reactions
111 Replies
13K Views
Watu 16 wameuawa kwa shambulio la risasi lilifanyika mjini Nova Scotia nchini Canada. Mmoja kati ya watu walioawa ni konstebo mstaafu Heidi Stevenson Gabriel Wortman(51) amedaiwa kuwa ndiye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, Majanga yameendelea kulivamia taifa la Uchina. Katika hali ya kawaida kule Uchina sasa hivi ni kipindi cha Spring ni muda ambao kikawaida kunakuwa na hali nzuri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa virusi vya corona, Shirika la Afya duniani WHO limeonya. Kumekuwa na ongezeko kubwa la visa vya ugonjwa huo wiki iliopita. Kumekuwa na zaidi ya...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
“Niliwaambia China wanapika takwimu sasa kiko wapi!?, tumetangaza kuanza uchunguzi tu na wao wameongeza idadi ya zaidi ya vifo 1000 vya corona, na nawaambia idadi ni kubwa zaidi ya waliyoongeza...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom