International Forum

News and Stories from rest of the World
Trump spoke of the leadership style in Africa and in Nigeria particularly. In his address, the president told Nigerians and entire Africa the bitter truth about Africa style of leadership...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Msemaji Wizara ya Mambo ya Nje wa China Zhao Lijian amesema China ipo tayari kuisaidia Marekani ili kupunguza maambukizi ya corona ambayo yanaonekana kushika kasi USA wakati huu ambapo China...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Watoto wachanga 10 wamethibitika kuwa na maambukizi ya Virusi vya Corona. Vipimo vimeonesha kuwa wazazi wa watoto wote hawana Virusi hivyo na kwa mujibu wa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, kuna uwezekano...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hali ya corona yawa mbaya zaidi nchini Marekani. Visa vya maambukizo vilivyothibitishwa vyazidi 180,000. Watu zaidi ya 4,000 wamefariki kwa corona, huku jana (31 March) ikiripotiwa idadi kubwa...
2 Reactions
57 Replies
7K Views
The UK Prime Minister, Mr Boris Johnson has been hospitalized under intensive care unit (ICU) . The news detailed by BBC claimed that, the Premier has not been equipped by oxygen apparatus,he...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Kama ilivyo kawaida yetu kupokea misaada na pia kuomba omba, na zaidi bado tunasubiri mzungu agundue dawa. japo mara moja moja huwa tunawatukana hawa wanaotupea misaada kwa kuwaita mabeberu na...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya watu wanasema china anapika data kuhusu takwimu za corona lakini tweet ya leo trump ameomba ushauri wa kupambana na corona tena kwa lugha ya upole bila kuweka mbwembwe za kuita...
17 Reactions
207 Replies
18K Views
Rwanda imesema Baraza zima la Mawaziri, Makatibu Wakuu, Viongozi wa Idara za Umma na viongozi wengine ndani ya Serikali hawatapokea mishahara yao ya mwezi Aprili ili fedha hizo zitumike katika...
4 Reactions
33 Replies
6K Views
I am a great friend and admirer of the Queen & the United Kingdom. It was reported that Harry and Meghan, who left the Kingdom, would reside permanently in Canada. Now they have left Canada for...
3 Reactions
99 Replies
13K Views
Corona yaendelea kuwatoa utu mabeberu. Kampuni ya utengenezaji wa vifaa tiba ya Uswizi, imelalamika kuwa Ufaransa imewachezea rafu mbaya mno Italy na Spain baada ya kuhodhi mzigo wa mamilioni ya...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
RAIS ametangaza kuwalipia wananchi ankara za maji kwa miezi mitatu (Aprili, Mei na Juni), kutokana na watu kutoruhusiwa kutoka nje. Aidha, watumishi wa afya hawatolipa kodi katika miezi hiyo, na...
7 Reactions
30 Replies
5K Views
I heard some people ati Wana claim eti US ndo wanaongoza Kwa cases za coronavirus infections, the sad truth is US ana test watu wengi per day than any country. Other countries Wana subiri mpaka...
9 Reactions
41 Replies
4K Views
Wadau niaje? Naona namba za USA kwenye maambukizi ya Corona inazid kuwa kubwa kupitia maelezo soon atampiku Italy na kuanza kumsaka mchina japo Inaonekana mchina anashuka Kama Kinyonga na marekan...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Baada ya wimbi la maambukizi ya corona kuukumba utawala wa Kizayuni wa Israel, viongozi wa utawala huo ghasibu wamekuwa wakihaha kutafuta msaada kila sehemu ikiwemo Ujerumani ambako Kansela wa...
5 Reactions
126 Replies
13K Views
Waafrika tukae mkao wa kusubiri, akili kubwa wazungu wameanza kupiga hatua na hivi karibuni hiki kitu kitaiaga dunia. Tiba inayotumia plasma ya damu (kiswahihili chake??) ya waliopona imeanza...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Dkt. Charles Lieber amekamatwa na Serikali ya Marekani kwa tuhuma za kutengeneza virusi vya #Covid19 na kuvisambaza nchini China Pamoja naye, wamekamatwa watumishi wengine 60 wa Chuo hicho kutoka...
8 Reactions
93 Replies
12K Views
The pandemic, which has killed more than 70,000 people worldwide, has been accompanied by what the World Health Organization (WHO) has called an “infodemic” of misinformation, prompting...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari Wana jamiforums poleni na majukum ya kazi, Hiv wewe umesikia nadharia ngapi sasa hivi kuhusu ugonjwa wa Corona. Natumaini zipo nyingi Ila mim nitataja chache na wewe Kama utakua nazo jaza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gazeti la Evening Standard linaripoti kuwa wazir mkuu Boris Johnson amehamishiwa ICU baada ya hali yake kiafya kuzorota. Prime Minister Boris Johnson has been moved to intensive care after his...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Bodies are in effect left to spoil out and about as authorities battle to adapt to coronavirus passings in an Ecuadorian city. At any rate 150 bodies were left in the city or kept in the homes of...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom