Rais wa Marekani Donald Trump amewaonya wamarekani kujitayarisha kwa idadi ya kutisha ya vifo vinavyotokana na virusi vya corona katika siku zijazo wakati idadi jumla ya vifo duniani...
Wanajamvi, nimeipata hii pahala halafu inafikirisha sana! After all is said and done, China wataibuka namba moja?
Tukumbuke marekani illibuka mara baaada ya vita ya pili ya dunia kwa kuyakopesha...
Kwa tathmini ya Taifa kubwa LA Marekani lililoelemewa na CORONA Sisi mataifa machanga tunahitaji maombi ya mwenyezi Mung u
Nawapa pole Sana Binadamu wenzangu Wamarekani nawaombeni sasa binadamu...
There have so far been only a handful of confirmed cases of COVID-19 in Gaza
The head of the Gaza-based terrorist organization Hamas warned Israel on Thursday evening that if respirators for...
Brigedia Jenerali Baqeri: Hatua yoyote dhidi ya Iran itajibiwa vikali zaidi
Kamanda wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amezungumzia harakati za kijeshi za Marekani nchini Iraq na katika eneo la Ghuba...
China leo imefanya maombolezo ya nchi nzima kuwakumbuka maelfu ya watu waliopoteza maisha kutokana na virusi vya corona. Bendera za taifa zimepepea nusu mlingoti nchi nzima pamoja na kusitisha...
A man who worked for the UK's National Health Service (NHS) for 20 years was "neglected" after he contracted Covid-19 and died, alleges his daughter Tamira Harvey.
Although Thomas Harvey never...
Trump ameamua kujaribu kuhamisha mjadala wa vifo vya wamarekani 5,112 waliokufa na Corona kwa kuitishia Iran.
Trump, kwenye akaunti ya tweeter amedai kuwa Iran na mawakala wake wanapanga...
EUGENICIST AND POPULATION CONTROL ADVOCATE BILL GATES SAYS UNITED STATES MUST SHUT DOWN FOR A MINIMUM OF 10 WEEKS RIGHT NOW TO BEAT CORONAVIRUS
Bill Gates laid out a 3-step process the U.S...
Trump akariri tena ombi lake la kufanya mazungumzo na Iran
Rais Donald Trump wa Marekani amedai kwamba, 'Marekani haitaki uadui na Iran na kwamba italazimika kufanya nayo mazungumzo.'
Ameyasema...
I meripotiwa leo katika gazeti la Tanzania daima .nchi ya China wamepiga marufuku watu kula nyama ya Paka na mbwa.
My take: Hawa jamaa siajabu wameleta Corona kwa kula wanyama ambao hawafai kuliwa.
Pink says she's recovered from virus, will donate $1 million
Singer Pink, who said Friday that she is recovering from COVID-19, announced via Twitter that she is donating $1 million to help...
Rais Putin wa Urusi ameamuru Watu wa Nchi hiyo kutokwenda kazini na kubaki majumbani hadi mwishoni mwa mwezi huu(April) kama sehemu ya kuzuia kusambaa kwa corona, amesema wafanyakazi wote...
Afisa wa polisi wa Ujerumani akiwa amevalia barakoa wakati akimkaribia dereva wa gari katika mpaka wa Ujerumani na Uswizi baada ya nchi hiyo kutangaza udhibiti wa mipaka kufuatia ugonjwa wa...
Kanda ya Kusini ya Italia inatafuta kushawishi vijana au wanandoa walio na watoto wadogo, kwa matarajio ya kupunguza kupungua kwa idadi ya watu, lakini wapo wazi kwa mtu yeyote anayetaka...
Yani China nchi ya ajabu sana, Corona ilivyoanza hawakufunga mipaka kukataza watu wasitoke wala kuingia, walifungulia wananchi wao waisambaze nchi zingine duniani, na sisi tulipokea wananchi wao...
ndege ya kwanza aina ya antonov An-124 yaondoka Nchini Urusi ikielekea kwenye Nchi ya Marekani kwa ajili ya msaada wa vifaa vya kupambana na ugojwa wa corona.
Msaada huu unakuja baada ya...
Wizara ya ulinzi nchini Urusi imesema leo kuwa nchi hiyo itatuma ndege 11 za kijeshi zilizobeba vifaa vya tiba nchini Serbia kusaidia kukabiliana na mripuko wa virusi vya corona. Mikhail...
Ilikuwa jana 2/4/2020 ambapo zilizuka taarifa za maambukizi ya Covid19 kwenye meli vita ya kubeba ndege ya jeshi la Marekani USS Theodore Roosevelt iliyoko Pacific.
Taarifa hizi zilitolewa na...
Dunia yapita kwenye majaribio makubwa, majaribio mazito-janga la corona.
Kupitia janga hili tumeshuhudia na twaendelea kushuhudia maelfu ya watu, wakiwemo matajiri, watu wenye mamlaka za juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.