Wakivamia kanisa, wanaanza kwa kuwasomea maandiko yanayowapa uwezo wa kuzuia mikusanyiko...haswa kifungo kinachoamuru Mkristo kutii utawala.
Police officers in Nigeria have resorted to a...
Spain na Uholanzi wamerudisha China vifaa vya kupambana na Corona virus Kama vile testing equipment , face mask na magauni ya kujikinga , Vifaa hivi vimerudishwa sababu viko chini ya viwango vya...
Kiongozi wa National health institute ISS (Italy) amebainisha kuwa namba ya vifo inayoripotiwa ina uwezekano mkubwa wa kutokuwa inahakisi hali halisi ya kile kinachotekea Italy. Vifo...
Inaelezwa kuwa Mfalme wa Thailand amechukua hoteli ya kifahari nchini Ujerumani ili kujitenga ikiwa ni hatua za kujikinga na virusi vya Corona, huku akiwa na wanawake 20.
Mfalme huyo, Maha...
Kirusi kinazidi kutamba, na hawa milioni moja ni wale wamepimwa na kupatikana nacho, ila walio mtaani wanaambukiza bila hata kujua wanacho ni wengi mno.
Coronavirus cases hit ONE MILLION...
Shenzhen yawa mji wa kwanza kupiga marufuku kula paka na mbwa
Haki miliki ya picha: GETTY IMAGES
Shenzhen umekuwa mji wa kwanza wa Uchina kupiga marufuku ulaji wa kitoweo cha nyama za mbwa na...
Whether it's a matter of faulty detection, climatic factors or simple fluke, the remarkably low rate of coronavirus infection in African countries, with their fragile health systems, continues to...
Rais Kagame ameongeza wiki mbili nyingine za kujifungia ndani kama hatua za kukabiliana na Corona. Hatua hii inakuja baada ya lockdown ya mwanzo kushindwa kuonesha matunda yaliyotarajiwa.
Kuhusu...
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetenga yuro bilioni 21.3 zitakazotumika kuzisaidia familia na biashara zilizoathirika na mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona hapa...
Kama Sweden dunia ya kwannza hawajaweka lock down, na shule hawajafunga, sisi shule tumefunga, Africa haitakuwa na vifo kama ilivyo Ulaya na Marekani, tupo aseee mtakuja niambia
Sent using Jamii...
Urusi imepeleka meli za kivita 17 huko syria baada ya kugundua maandalizi ya kivita yanayofanywa na jeshi la Marekani.
Marekani imepeleka manowari yake katika bahari ya mediteranian yenye cruise...
Miongo miwili ulingoni, Putin na mkakati wa kubakia madarakani.
NA MOHAMMED ABDULRAHMAN
Jina la Vladimir Putin ni maarufu sana miongoni mwa viongozi wa dunia kama lilivyo la Donald Trump...
A six-week-old baby has died from the coronavirus in Connecticut, the state governor confirmed.
Governor Ned Lamont said the newborn died from complications that came from the novel virus, making...
Belarus bado wanaendelea na shughuli zao za kiuchumi kama kawaida ,Rais wao Alexander Lukashenko akihojiwa alisema kazi ziendelee huko mashambani kwani kazi ni kinga dhidi ya corona.
Pia watu...
The number of coronavirus deaths in the UK has risen to 1,808 in the biggest day-on-day increase so far.
It’s a jump of 393 from Monday’s death toll of 1,415. The previous highest increase was...
The economy of the world and the way money is valued, is one of the biggest scams of the universe. Money and wealth are naturally backed by mineral resources, land, and basically physical...
Serikali ya Mauritius imeongeze muda wa kubaki ndani ili kujiepusha na janga la #Covid19, raia watabaki ndani hadi Aprili 15
Kuanzia Aprili 2, maduka na ‘supermarkets’ zitafunguliwa kuanzia saa...
Wakuu, ni ukweli sasa Marekani imenyoosha mikono juu kufatilia kuongoza kuwa na cases nyingii za wagonjwa wa COVID-19 kuliko nchi yeyote duniani!
Hii imepelekea mpaka Trump kumgeukia mhasimu wake...
ndege ya kwanza kutoka Urusi yawasili nchini Italia ikiwa na vifaa,madawa na wataramu wa kupambana na ugojwa wa corona.hii ni ndege ya kwanza kati ya ndege 9 zilizotoka Urusi kwenda Italia kwa...
Habari,
Tukiwa bado tunapambana na gonjwa hili hatari la CORONA linalozidi kuua maelfu ya watu kote duniani ni vyema serikali yetu ikatumia utaratibu huu kupambana nalo.
Jana nchini Burundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.