Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula...
Wajameni tunaulizia kwa wataalamu wa JF dawa gani za kuongeza mbegu za kiume yaani idadi zake na kuongeza nguvu za kiume ukiacha viagra.
Tuwe serious kutoa msaada.
Ufafanuzi wa jumla wa tatizo...
Mada hili inahusu matatizo ya Miguu kuwaka moto na namna ya kukabiliana nayo.
Maswali...
Nimekuwa na tatizo la miguu yote miwili kuwaka moto sana, hata kutembea nashindwa kukanyaga...
Salaam Wakuu,
Natumai nyote mpo salama. Nimeleta uzi huu kama sehemu ya kujihamasisha mimi na kuwahamasisha wengine kufanya mazoezi Soma: Umuhimu wa kufanya mazoezi
Natambau wengi wetu...
MASWALI YALIYOULIZWA NA BAADHI YA WADAU KUHUSU TATIZO HILI
Mambo vipi? Nina Tatizo la Kutoa shahawa mapema Sana ndani ya dakika 1 tuu then bao la pili napiga dakika 10 -- 15. Nimejaribu kutumia...
Wakuu nimekutana na makala hii nikaona nianzishe mada hapa ili tuweze kujadiliana na wataalam wetu na watufahamishe ukweli wake na uwongo wake au kutupa ushauri zaidi ya huu niuonao katika mada...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU
Naomba kujua mtoto mchanga inabidi aanze kuongea akiwa na umri gani,kwa kuzingia wale wanaowahji na wanaochelewa.Na je kuna namna unavyoweza kutambua...
Wakuu,
Tunaomba ushauri wenu, kwa wale ambao specialists wa magonjwa haya ya ngozi. Tunauliza hivi kwa niaba ya watu wengi ambao wamekuwa wanahangaika kupata suluhu ya matatizo haya ya Mba...
Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri...
Habari wana JF,
Hii thread imekusanya topic zote zilizokuwa sticky's zikiwa awali zimewekwa kwa urahisi wa kuwafikia/kuipata watumiaji mbali mbali ambao wanahitaji kuelewa baadhi ya mambo katika...
Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi...
Habarini za mchana,
Wakuu mimi huwa situmii pombe, ni juice na soda tu na soda yangu pendwa ni Pepsi.
Kila siku huwa nakunywa Pepsi tena napenda ikiwa baridi sana. Nilianza kunywa moja kwa siku...
Habari Wana JF,
Naomba msaada Mwanangu anatokwa na vipele vingi sana na vinazidi kuenea mwili mzima (vidogo vidogo) mpaka anakuwa mwekundu kwa kujikuna mara kwa mara.
Nilienda pharmacy walinipa...
Habarini ndugu zangu naombeni msaada kwa tatizo langu la kuchelewa kufika kileleni.
Huwa nachelewa sana nikianza kufanya mapenzi na mwanamke hali inayonipelekea wanawake kunikimbia naombeni...
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe amesema watu 281 wakiwemo watumishi wa afya 64 waliokuwa wametangamana na wagonjwa wa Marburg mkoani Kagera, wametoka karantini wakiwa salama.
Amesema...
Wakuu,
Kuna madhara yoyote ya kiafya mtu anaweza kupata anapotumia hii Microwave ya kupashia chakula na Mambo mengine, naomba kujuzwa hili.
Natanguliza shukrani🙏
Eti Dawa ya UTI unauwita ni ugonjwa katika karne kama hii ukiwa kwenye bara la watu weusi hususani Tanzania, wapo watu wanavituko kwelikweli wanakwambia wanaumwa UTI kila mara, UTI sio ugonjwa...
Bawasiri ni ugonjwa unaotokea pale ambapo mishipa ya damu kwenye eneo la haja kubwa huvimba na kusababisha maumivu, muwasho, au kutokwa na damu hasa wakati wa kujisaidia haja kubwa. Bawasiri...
Mwezi January hedhi ilikua tarehe 10 mwezi February breed ilikua tarehe 11 lakini February nilikutana kimwili na mwezangu tarehe 22/2/2025 jana sijaona hedhi Wala juzi nimepima jana mstari ni...
Wakuu habari moja kwa moja kwenye mada. Nasumbuliwa sana anaphylaxis shock nkiumwa na wadudu kama nyuki na majigu na shughuli zangu mara nyingi nazifanya maporini kukutana na wadudu tajwa ni pie...
Habari wakuu.
Nilikuwa na shida ya UTI kwa muda ilinisumbua nikaja nikatumia dawa hasa za mitishamba ikaisha maana za dukani zilidunda zote.
Shida ni kwamba bado mkojo unakuwa unachoma ila...
Wadau wengi wamekuwa wakiumizwa na maradhi haya; hebu tuyaangalie kwa mapana yake:
Asilimia kubwa ya Watanzania hawaujui vizuri ugonjwa wa UTI. Kumekwepo na maelezo kutoka kwa watu mbali mbali...
Uti wamgongo unatokana na namna ya kubeba vitu...au kazi unazo fanya...kitanda unacho lalia na mambo mengi tu.
Sidhani kama sex inahusika na uti wa mgongo...kukujibu swali lako, yeap unaweza...
Habari zenu wakuuu hope mko poa sana.
Leo nimeamua kuja na mda tajwa hapo juu naandika ukweli wa asilimia mia moja kuhusu hawa dada zenu na ugonjwa wao wa UTI unavyo tutesa.
Nianze moja kwa moja...
wiki ilopita niliumwa U.T.I,
Nikandikiwa dawa inaitwa AZUMA nimemaliza dozi juzi lakin bado sijapona,dhakari bado inauma wakat wa kujojoa,afu kinachonikera zaidi kuna vimaji maji vyuepe vinatoka...
Diclofenac is a nonsteroidal anti-inflammatory drug (NSAID) used to relieve pain and inflammation. While effective, it comes with potential risks, especially with long-term or high-dose use. Some...
Naomba kuuliza:-
1. Hivi mwanamke akifanya sex na mwanaume 1 leo na akameza p2 then kesho kutwa ake akafanya tena sex na mwanaume wa 2 Ikatokea akawa na mimba je iyo mimba inakuwa ya mara ya 1...
Habari wakuu wa afya,
Nimezunguka kwenye hizi General hospital kubwa kubwa ila baada ya miezi 3-6 naenda tena kuziba jino kwenye fizi.
je ni Hospital gani Dental clinic kwa ajili ya Meno tuu hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.