Wakuu nauliza kwenu tena hivi Temeke hospital kuna kipimo cha MRI?
NIna mgonjwa wangu anaumwa kichwa sanaa hawezi kuongea Wala kutembea vizurI.
Alianza kuumwa kifua anakohoa sana mpaka damu...
Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu.
Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu...
Shalom wakuu…
Unatumia mswaki brand gani nzuri? Maana miswaki yetu hii ya whitedent ya jero jero ukiswakia mara chache tayari haifai.
Brand ipi nzuri wakuu?
Jamani naumwa asidi tumboni nimebadilisha mfumo mzima wa maisha dawa nimetumia lakini wapi
Naumwa kifua, mabega maumivu yanasambaa mpaka kwenye maziwa yaani sina raha, ninapata stress hamu ya...
Habari wana jamvi leo nataka munisaidie kitu mwenzenu huwa najiskia vibaya sana baadhi ya muda na ninapokuwa najiskia hivyo sehemu ya kichwa ndio inahusikia asilimia 100% kama nahisi kichwan kuna...
Ningependa kufahamu madhara ya soda kwenye mwili wa Binadamu.
===========
Afya za mamilioni ya Watanzania wanaotumia vinywaji vya aina ya soda ipo hatarini, baada ya kugunduliwa uwepo wa...
Natumain ni wazima wa afya kwa mtu yeyote anaweza nisaidia jina la dawa na sehemu ya kuipata kuondoa michubuko sehemu ya haja kubwa pembeni ule utandu utandu wote uondoke
Hivi, Kazi ya chupi ni nini?
Ukivaa haijulikani, usipovaa haijulikani. Ikionekana unaambiwa umekaa uchi, ukiwa uchi utasikia hajavaa chupi. Sasa Chupi ni ya nini?
Habarini wanajukwaa!
Rejea kichwa cha habari hapo juu mm nikijana mpambanaji lakini hilisuala la matatizo ya tumbo linaninyima raha sana, nirudi kwenye maada mimi ninashida ya hao h pylori...
Tendo La Ndoa:
Tendo la ndoa ni sehemu muhimu ya maisha ya mwanamke, siyo tu kwa ajili ya mahusiano, bali pia kwa afya ya mwili, hisia, na akili.
Mwanamke anaweza kufurahia tendo la ndoa ikiwa...
1. Stay Hydrated
• Drink 2-3 liters of water daily to flush out toxins and prevent kidney stones.
• Avoid excessive caffeine, alcohol, and sugary drinks.
2. Eat a Kidney-Friendly Diet
• Reduce...
Bado naendelea na usafi wa nyumbani kwangu kama kawaida,muda huu ndio nimemaliza kusafisha bathroom yangu na sasa natumia astra badala ya dettol.Leo naongelea dawa ya meno,je wewe mwenzangu...
Habari zenu,
Natafuta tiba ya ugonjwa wa oral thrush (ramani kwenye ulimi) ambao umekaa muda mrefu bila tiba.
Ugonjwa huu ni kama kwenye picha hii niliyoambatanisha:
Ni neema kwa Tanzania: kile kikombe cha Babu kutoka Loliondo kimethibitishwa na Taasisi ya tiba Asili-Muhimbili kuwa kinatibu magonjwa yote yaliyosemwa na Babu wa Loliondo ikiwa ni pamoja na...
Habari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es Salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka...
wakuu,
Mimi nimeugua kuanzia 2021 hadi leo miaka minne. Nipo nahangaika.
Naumwa ugonjwa wenye tiba lakini wenye usugu wa dawa. Yaani kwa kifupi ni sikio la kufa.
Nadhan wapo wengine ambao...
📌 Kukosa Ute Katika Kizazi cha Mwanamke
Kukosa ute wa kutosha kwenye kizazi kunaweza kuathiri afya ya uzazi na maisha ya ndoa. Hii inaweza kuwa ishara ya mabadiliko ya homoni au matatizo ya...
Najua watu wote tunatumia dawa ya meno kila siku wakati tunapiga mswaki sio ? Lakini umeshawahi kuchunguza rangi zilizopo kwenye dawa ya meno zina maana gani ?.
Wengi wetu hatujui zina maana gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.