JamiiForums doctors mkuje mtujuze hii changamoto mbona UTI imepamba moto kwa miaka ya hivi karibuni na kibaya zaidi inazidi kuwa na nguvu zaidi ni kama bacteria wafenyafanya kuji-update tofauti na...
Wakuu habari za asubuhi. Nina sumbuliwa na tatizo kwenye mguu lilianza baada ya kuanza mazoezi ya kukimbia mwanzo nilianza vizur baada ya kumaliza wiki kadhaa ndio mguu wa kushoto kwenye goti...
Humu jukwaani Kuna madaktari,manesi,wakunga, wataalamu wa tiba mbadala,na wabobezi wa masuala ya afya,hivyo
Uzi huu ni maalumu kwa wale wote wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali
Una ndugu yako...
Wapendwa Wana JF, Habari za Leo,
Naomba msaada kutoka kwa wale wataalamu wa kutibu ugonjwa wa magoti. Nina tatizo hili, na hata kuchuchuma nahisi maumivu makali.
Je, ni dawa gani ningeweza...
Hello Wana JF, great thinker.
Ndugu zanguni naomba tu serikali ya Namhuri ya Muungano wa Tanzania wautambue huu ugonjwa wa Acid reflux kama janga la kitaifa kwani huu ugonjwa ukikushika huwezi...
Wadau na wataalamu, naombeni msaada nimeenda hospitali kupima seminal analysis nikaambiwa sperm count =0 wakanipa dawa za kutumia kwa mwezi then nikapime tena.
Je naweza pona, nisaidieni please...
Habari Wakuu
Ninaomba msaada wa kupata daktari wa Jadi ambaye anaweza kumsaidia ndg yangu ambaye kwasasa ni kama amekata tamaa kabisa kutokana na kuhangaika pasina kufanikiwa. Historia yake fupi...
Habari zenu ndugu zangu naomba kwa anayejua anisaidie.
Mwezi uliopita nilipata ajali na kwa bahati mbaya nilivunjika mvupa wa mkono karibu na viungio katika bega sasa nina mwezi bado mfupa...
Nauliza kwamba h. pylori inampataje mtu ambaye anajilinda sana kwenye chakula n.k.? Mtu anayekula kwa wakati kwa mfano usiku anakula kabla ya saa mbili, hatumii sukari (anatumia sukari mbadala...
Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra).
Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na...
Mtu ambae anajua dawa ya kumaliza tatizo la kunuka mdomo nisaidieni!
Napiga mswaki mara tatu kwa siku, nimetumia mouth wash mpaka nimechoka, nimetolewa tonsils lakini wapi!😔😔
Nisaidie jamani...
Unapaswa kujua kwamba Viagra haiongezei libido au kushughulikia sababu za kisaikolojia zinazokusababishia uwezo mdogo wa kudinda.
Viagra (sildenafil) haikufanyi "udumu zaidi" moja kwa moja kwa...
Habari za humu ndugu zangu.
Poleni kwa majukumu.
Changamoto inayonirudisha nyuma sana:
Ninachangamoto ya usikivu mdogo(Hard hearing, Hearing loss), kushindwa kuelewa kinachozungumzwa kwa kiasi...
Habarini wapendwa, bila kupoteza muda, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka jana mwezi wa 2, nilienda hospitali ya Regency sababu nilikuwa nina sumbuliwa sana na tumbo. Niliishiwa nguvu...
Habari wadau,
Mambo ya kifo wakati mwingine huwa yanafanyika haraka haraka sana hadi huwa najiuliza, ili mtu athibitike kuwa kafariki dunia, ni sehemu gani ya mwili hupimwa? Maana huko mochwari...
Nina Mwezi tangu mwili wangu uanze kuwasha yaani nawashwa mwili mzima hali inayopelekea kujikuna sana aswa kwenye joto ndo miwasho inazidi najikuna Hadi kujichubua ngozi yaani nawashwa balaa na...
Salam ndugu zangu wana jamvi.
Naombeni maarifa ya kuepukana na changamoto ya ugonjwa wa ngozi "MELASMA". Nimekuwa mtumiaji kwa zaidi ya miaka mitano (5) wa hii bidhaa ya MAGIC POWDER, ku-shave...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.