Habarini wanajamvi hivi karibuni tumbo langu limekua likijaa gesi na kuunguruma kila siku inayopelekea mpaka nimeanza kuvurunda katika tendo la ndoa yoyote anaejua dawa ya tatizo hili naomba...
Ndugu zangu salaam sana..
Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito.
Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale...
Wiki 2 na siku 5 zilizopita nimetoka kuuza mechi( yani kupiga kavu) na demu ambae tunajuana kwa muda mrefu.. balaa likaja baada ya kupita wiki 1 na siku kazaa nilipata mafua makali lakini yakakata...
Lipo kundi dogo la watu duniani ambalo hawawezi kupata VVU hata waongezewe Damu yenye VVU. Watu Hawa niwachache Sana pia hapa Tanzania wapo. Group la Damu halihusiani Ila kinachohusika Ni...
Habari wakuu! Niende Moja Kwa moja katika story niliyopitia mwaka 2009 nilibatika kuanza kazi mkoa fulani Kwa kweli sikuwa mtu wa maneno mengi ni kazi tu Basi akatokea Binti mmoja. Tukapendana...
Thread hii haipo kwaajili ya kupotosha au kuhamasisha imanipotofu dhidi ya H.I.V. UKIMWI upo na unaua!
Wapo baadhi ya watu ambao walishawahi kupata H.I.V Lakini Baadae wakaja kupona. Wengine...
Dar es Salaam. Tanzania’s healthcare sector is undergoing a transformation, addressing a long-standing challenge of limited access to skilled healthcare professionals.
For a long time the...
Ni Tiba Kwa Matatizo ya Tumbo: Kunywa mchanganyiko wa jeli ya aloe vera na maji nusu kikombe mara mbili kwa siku kwa siku tatu hadi wiki moja. Hii hutibu vidonda vya tumbo, kiungulia, na husafisha...
Salaam wana JF
Kwa wale wasafiri wa kanda ya ziwa hasa kutokana Mwanza kwenda mikoa mingine mtakua mashahidi kwa hili.
Kuna watu wanapanda kwenye basi kuanzia pale Shinyanga na kushukia Tinde...
HABARI NDUGU ZANGU WANA JAMII FORUMs
Nimekua nikisikia kua ulaji wa NDIZI kupita kiasi yaani ikiwa ndizi ndio chakula kikuu kwa wanawake hufanya uke kua na maji mengi
kimekua na tetesi kua...
Habari zenu ndugu?
Kama kichwa cha habari kinavyo eleza mimi nina ndugu yangu anakama wiki sasa anasumbuliwa na tatizo la kuvimba miguu pindi anapokuwa amekaa au kutembea kwa mda mrefu lakn...
Habari wanajukwaa?
Mtoto wangu ana miezi mitatu na siku kadhaa, shingo yake bado haijakaza, ukimkalisha anainamisha shingo kwa mbele, yaani anaangalia chini.
Hii hali inanitia wasiwasi, naombeni...
Wanajamvi vidonda vya tumbo vinatesa sana aisee yaani mpaka mbavu na kifua vinabana naombeni anejua sawa anisaidie nikipona nampatia zawadi kubwa sana wadau nateseka sana yaani Sina aman Sasa...
Masheikh wetu wanaongoza kwa magonjwa yanayosababishwa na kula (,metabolic deases); shinikizo la damu, uzito mkubwa na kisukari.
Magonjwa haya ya chakula yanawaandama masheikh wetu sana kiasi...
Habari zenu,
Nina mtoto wa mwaka na miezi mitatu alichelewa kukaza shingo kwa sasa ndio anatambaa ila kwa makalio. Ila napatwa na wasiwasi ninapomsimamisha shingo yake anaitupa kwa nyuma. Nifanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.