Jifunze kuhusu ugonjwa wa ngiri,aina,na matibabu yake.
•kuna magonjwa ya hernia ya aina nyingi kama zile ziitwazo kitaalamu inguinal, umbilical, femoral, epigastric, incisional, inguinal hernia na...
Habari, natumaini mkoa poa, kuna yeyeto anaejua tiba ya Genital herpes au aliwai kupata na anakapoma ili aweze nisaidia na mie maana niko navyo sasa ni miaka mwili sijafanikiwa kupona.
Mirija ya uzazi kujaa maji ni hali ambapo mirija ya uzazi hujaa majimaji na kuvimba, jambo ambalo linaweza kuzuia mimba kutungwa na kusababisha ugumba kwa mwanamke. Tatizo la mirija ya uzazi kujaa...
Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi...
FAIDA ZA MCHAICHAI (LEMONGRASS)
Huu Mmea ni Mmea Mkubwa sana ktk sekta ya Afya.
Watu wengi wenye hekima wamelima mashamba makubwa ya mchaichai kwa ajili ya tiba.
Huu Mmea kuna Magonjwa...
Huu ni mwaka pili sasa tunahangaika na wife kuongeza mtoto wa tatu na wa mwisho, nimeobserve wife hapati ule ute wa mimba, ana 33 years, na mimi tukipiga show round ya kwanza namwaga sperms nyingi...
Wanajamvi Jana nilileta mada hapa kwamba nasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwezi Sasa yapata licha ya kumeza dawa za hospital.
Kuna mdau amenishauri kwamba maji ya moto ni dawa ambayo watu wengi...
Fangasi kwenye korodani (scrotal fungal infection) ni maambukizi yanayosababishwa na vimelea vya fangasi, hasa kundi la dermatophytes au candida.
Maambukizi haya mara nyingi hujitokeza kwenye...
Leo nimekutana na hii njia ya asili ya uzazi wa mpango ambayo watumiaji wake wakubwa wako nchi zilizoendelea.
Njia hii inaitwa Marquette Method kwa sababu ilianzishwa na wataalamu waliopo chuo...
Dkt. Omary Ubuguyu (Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa Yasiyoambukiza, Afya ya Akili na Ajali - Wizara ya Afya): Mazoezi husaidia kupunguza Kemikali ambazo zinachoma sehemu za Mwili
Mazoezi pia huupa...
Wakuu mambo vipi....Binafsi sio mkufunzi(gym trainer) ila napenda sana mazoezi na ninayajua mazoezi kuliko hata hawa wanaojiita ma-trainer,nimeanza kupenda mzoezi ya gym nikiwa form 3 (2013) so...
Kukimbia au kutembea ni njia salama na nzuri inayosaidia kuujenga na kuuimarisha moyo uwe na afya nzuri na usio katika hatari ya kushambuliwa na maradhi.Mazoezi au tabia ya kufanya mazoezi inayo...
Habarini
Nauliza kama ni kweli kiambata(ingredient) sodium benzoate kilichomo kwenye vipodozi,vyakula na vinywaji hasa soda na energy drinks, kinasababisha saratani ya damu?
===============...
Poleni na majukumu mbalimbali ndugu zangu,
Bila kuwapotezea muda,napenda kutoa ushuhuda juu ya umuhimu wa maji ya kunywa kama tiba katika kutibu tatizo la Vidonda vya tumbo na Bawasiri...
Ugonjwa wa Utumbo hasira au "Irritable Bowel Syndrome"(IBS)
IBS ni nini?
Ugonjwa wa utumbo unaofahamika kitaalamu kama ‘Irritable Bowel Syndrome’ (IBS), ni tatizo la kawaida la mfumo wa...
Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.