Tatizo la Presha kuwa juu
Ugonjwa wa presha kuwa juu ni miongoni mwa magonjwa yanayowakumba watu wengi kwa sasa katika jamii.
Kutokuwa na elimu sahihi ya ugonnjwa huu pamoja na kuwa na imani...
Kuna kiungo Cha kupikia ni kama chumvi au ndimu, hiki kiungo ni kemikali hutumika majumbani na kwenye mapishi ya biashara kwenye bar na migahawa.
Kinajulikana kwa jina la Ajinamoto, ndugu...
?
1) X-rays hutumia mionzi ya umeme kutoa picha za mifupa na miundo mikavu ndani ya mwili. Kawaida hutumiwa kugundua mavunjo, maambukizo, vimbe, na matatizo mengine. X-rays ni za haraka, bei...
DOKTA: "Kabla ya kukupatia majibu ya vipimo vyako vya VVU, naomba kwanza nikupe ushauri nasaha".
MGONJWA (Kimoyo moyo): "Lo! Neema ushaniambukiza ugonjwa wako. Kama sio Neema ni Halima".
DOKTA...
Habari zenu wanajamvi,
Naomba kueleweshwa kitu, mwanangu ana miezi minne toka kuzaliwa lakini mpaka sasa shingo yake haijakaza je ni kawaida au? Lakini ni mchangamfu sana yuko vizuri ni hilo la...
Habari wakuu,
Nilikuwa nauliza Kwa mtu mwenye bawasiri na hataki kufanya oparesheni ya kukata maana nasikia wanafanyaga hivo wengine.
Dawa asili au zozote za kumeza au kupaka ili kupona huu...
No wonder this grass went viral all over the social media. With its endless health benefits, it is truly God’s gift to mankind. We can find this weed almost everywhere throughout the Philippines...
Hatua ya kwanza: Miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito
1. Panga kuonana na mkunga wako
Mara baada ya kujua una ujauzito, mjuliswhe daktari wako ili uweze kupanga kuonana naye. Kwenda na wakati ni...
Ikiwa umejaaliwa uume mrefu na mnene, Je ni kweli ukikutana na msichana unaweza sogeza kizazi chake na kupelekea kutozaa kabisa?
Tafadhali majibu yenu ni muhimu kwa wenye taaluma.
Je kuna mabadiliko yoyote hasi baada ya Trump kutangaza kuondoa pesa ya msaada.
Inajulikana madhara ya haraka ni wenzetu wengi kusitishiwa ajira zao.
Je kwa upande wa utoaji huduma hali ikoje...
Habari wadau nina tatizo unaenda mwaka sasa linanisumbua huu upande wa kulia kuna mabadaliko yani tatizo huwa linanianza ikifika mida ya jioni naanza kusikia maumivu upande kiuno kukaza mpaka...
Yaani sijajua ni sumu fulani kwenye ile sindani au ni aina yake kutokana na dawa ile au maana ukichomwa ile sindano lazima jeraha litaota usaha kidogo na muwasho alafu baadae linakuwa kovu...
Habari wanaJF, mimi ni kijana niliyekuwa ninajichunga na kuijali sana afya yangu kiasi cha kuwa na mabox ya vipimo vya H.I.V rapid test ghetto, ikiwa kama nimejichanganya basi nawahi dawa za PrEP...
Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins.
Ulimi unauma kama umekatwa...
PEP (Post - Exposure Prophylaxis) ni matibabu anayopewa mtu after been exposed to HIV ili kukukinga kuwa HIV positive.
Matibabu haya yanatakiwa kutolewa as soon as possible baada ya mtu kuwa...
Chunusi na majipu ni matokeo ya maambukizi ya ndani, usawa wa homoni, au sumu ya ndani, ambayo husababisha kuvimba kwa follicles ya nywele na, kwa acne, tezi za sebaceous. Wanapaswa kutibiwa juu...
Hello!!! Habari za jioni madactari na nurses,mwezi wa kwanza nilipata hedhi yangu tarehe 10(10/1/2025) mwezi wa pili huu nimeanza kupata hedhi yangu jana saa 11 Asubuhi ,je? Nina mzunguko wa siku...
Aseee Kuna hii kitu imetokea kwenye Tupu yangu, inaweza ikawa ni tatizo gani
Kumradhi, nimeambatanisha na picha
=====
Kuna vitu mtu hatakiwi kuvifanyia masihara wewe nenda hospitali ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.