𝗨𝗻𝗮𝗷𝘂𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝗶𝗻𝗶 𝘂𝘀𝗶𝗽𝗲𝗻𝗱𝗲 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗔𝗶𝗿𝗽𝗼𝗱𝘀
Matumizi ya Airpods za wireless na Earphones || headphones za waya nchini Tanzania yamekua makubwa sana kwa watumiaji wengi.
ukiwa unatembea njiani...
Ukiachalia mbali wanawake, tatizo la harufu mbaya sehemu za siri ni changamoto inayowasumbua wanaume wengi pia duniani. Harufu mbaya kwenye sehemu za siri kwa mwanaume inaweza kusababishwa na...
Kutoa Harufu Mbaya Ukeni:
Uke kutoa harufu mbaya ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi duniani, hususani wakati wa tendo la ndoa. Uke kutoa harufu mbaya kwa kiasi kikubwa husababishwa na fangasi...
The #1 Brain Doctor Reveals the Shocking Parenting Mistake Ruining Kids' Brains & How Alcohol Decimates Yours
Are your everyday habits shrinking your brain? In 2024, "brain rot" wasn't just...
Fangasi miguuni (nyungunyungu) au athlete's foot kwa jina la kitaalamu, ni tatizo linalowasumbua baadhi ya watu.
Watu wenye tatizo hili mara nyingi hujikuta wakitumia tiba mbalimbali za kisasa...
“Wale watu wanaokula mara nyingi, wanaokula mara kwa mara wanakuwa hawana muda wa kuunguza mafuta. Wanaofunga muda mrefu wanakuwa na muda mrefu pia wa kuunguza mafuta ya Mwili. Kuna magonjwa mengi...
“Mara ya mwisho mimi kunywa Juisi au Soda ni Mwaka 2000. Iko hivi, kuna tofauti kubwa ya kula chungwa na kunywa juisi ya Chungwa. Nikinywa Juisi nakunywa Sukari moja kwa moja hata kama haijawekewa...
Maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke hujulikana kitaalamu kama dyspareunia.
Hili ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa nyakati tofauti. Maumivu haya yanaweza kuwa ya muda mfupi au...
Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja...
Mwanamke mwenye kundi lolote la damu ambalo ni negative (A-, B-, AB- na O-) akipata ujauzito kutoka kwa mwanamme mwenye kundi la damu ambalo ni positive (A+, B+, AB+ au O+) mwili wake unaweza...
Poleni na majukumu wadau wa afya. Nina changamoto moja ambayo inamsumbua mke wangu kwa kipindi cha miezi mitatu sasa.
Ana dalili zote za mimba ambayo haikui na tukipima hospitali vipimo...
Jamani habari za humu ndani,
Nina mtu anadate na mdogo wangu, ila tangu walipoanza kudate huyo mwanaume hajawahi kupizi hata siku moja, na mzee anapachimba kwa mda wa lisaa au dakika 55 bad luck...
Hizi dawa za mitishamba ni hatari balaa , hazina vipimo zinaua FIGO zetu, kuweni makini sana , Leo ndio Nimetoka hospital baada ya kunywa dawa mitishamba na kuanza kuarisha kwa siku 1 ,kama sio...
Habari zenu wakuu,
Kwa yeyote mwenye mgonjwa au yeye anahitaji figo kwa ajili ya matibabu kuna jamaa yangu yupo tayari kujitolea yeye ni blood group O. Njoo pm
Wakuu habarini za weekend nisipteze muda sasa ni wiki ya tatu sasa napata kiungulia kikali, kizungu zungu yaani kuna muda nikisimama kama naona naanguka hivi, lips zinauma mara nyingine...
Kuna kitu nimeki-observe kwa wagonjwa wengi wa kisukari.
Wengi wao huishia kukatwa m/miguu na si mikono au kiungo kingine chochote.
Je hii inasababishwa na nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.