Habarini za wakati huu memberz wenzangu.
Nimekuja humu kuomba ushauri/ tiba ya ugonjwa unaonisumbua.
Ni takriban mwezi wa 6 huu nagusa mfano wa kipele/kinundu kirefu kinachouma ndani ya uke...
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.
Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo...
Usijishughulishe kumtafuta Asiekutafuta
Punguza ama acha kabisa kuomba! Kufa Kijerumani.
Zungumza kilicho muhimu tu ili kujiepusha na yanaoepukika!
Atakethubutu kukuonyesha dharau, confront...
Rosela ni ni maua yanayo julikana kabisa pia huoteshwa au kupandwa mazingira ya kawaida haswa nyumbani, maua haya yanapatikana kirahisi katika nyumba za ndugu, jamaa na marafiki na sehemu...
Napal cactus ni mmea wenye asili ya jangwani hasa unapatikana maeneo ya Afrika, Amerika na Asia. Kutokana faida zake na muingiliano wa watu imefanya kusamba maeneo mbalimbali duniani kote. Nopal...
Mpox ni nini na hueneaje?
Aina mpya ya virusi vya mpox inaenea kwa haraka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na wataalamu wanasema ni aina hatari zaidi waliyoishuhudia.
Mpox, ambayo zamani...
FAIDA ZA MMEA WA MSEGESEGE
KUMTIBU MTU ALIYEROGWA UCHAWI USIOTIBIKA KIRAHISI
1. Kama unahitaji kumtibia mtu aliyerogwa uchawi
usiotibika kirahisi au amezunguka sana kutafuta
matibabu mbalimbali...
Jaman wana forum naomben msaada nina tatizo la kutokwa na uchafu mweupe kwenye uume kwa muda mrefu tatizo hilo huambatana na maumivu makal chin ya kibofu nilienda hospital wakanipima docter...
Habari wakuu .
Mimi nimekuwa nikusumbuliwa na matatizo ya kuumwa na kichwa aina ya kipanda uso.
Nimetumia Dawa za kutuliza maumivu Kwa muda mrefu Sana , Ila nimekuja kupona Kwa kutumia tiba moja...
Habari zenu wadau! Mungu amenijaalia kupata mtoto wa kike hiv karibu,kwa sasa ana miezi mitatu,imefika wiki sasa tangu aanze kunyonya kidole gumba,yaani amekazana sana hadi kero!!
Kuna watoto...
#NGUVUzaKIUME
#TUELIMISHANE
UNAIFAHAMU MBEGU YA KIUME ILIYO BORA NA YENYE UWEZO WA KUTUNGISHA MIMBA? twende pamoja
Kama kila ukifanya tendo la ndoa, mwanamke anatoka shahawa/mbegu dakika...
🚨𝗖𝗛𝗔𝗡𝗝𝗢 𝗬𝗔 𝗦𝗔𝗥𝗔𝗧𝗔𝗡𝗜: 𝗨𝗥𝗨𝗦𝗜 𝗜𝗠𝗘𝗧𝗨𝗣𝗜𝗚𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗟𝗔 𝗠𝗔𝗖𝗛𝗢?🤔😳
Na,Fred Ma ✍️
Baruapepe: fredmaofficial@gmail.com
Instagram: instagram .com/fredmaofficial
Ingawa maendeleo ya chanjo ya saratani ya mRNA...
Habari wandugu?
Mimi ni mtanzania. Daktari bingwa, niliyefanya super specialization katika magonjwa ya Moyo. Nimebahatika kusoma na kuishi India. Nitakuwa tayari kumpa mwongozo mtanzania yeyote...
Habari zenu,
Kuna siku nilipost humu natoka harufu mbaya hadi mke wangu anasema ya kizee. Baada ya uchunguzi wa kina nimegundua ni sehemu za siri yaani kuanzia kwenye korodani na pembeni yake...
Habar wakuu naombeni msaada wenu nna mtoto wangu wa miez kumi na moja na nusu...
Ikifika nyakati za usiku akiwa amelala anakohoa mno Hadi asubuh,anaweza kuwa anasumbuliwa na shida gani
Habari za wakati huu ndugu zangu wana jamii, naomba kuuliza ni nini kitatokea endapo mtu atakunywa maziwa ambayo ndani yake yametiliwa sumu, ukizingatia maziwa huwa tunayatumia kumpa mtu aliye...
Wazee wenzangu na wajukuu zangu salaam.
Naomba tujuzane namna sahihi ya kumeza dawa maarufu kama kutwa mara tatu.
1. Je, nigawe masaa 24/3=8 ambapo ninywe dawa kila baada ya masaa nane, yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.