Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu jana baada ya kurudi home nilivyotoka uwanjani taifa nilimkuta mzee wangu hawezi kutembea yaani upande wa kushoto haufanyi kazi nilipata maumivu mara mbili yaani nilifungwa kwenye timu na...
22 Reactions
150 Replies
3K Views
[emoji112] Hello. Habari zenu wanajukwaa poleni na majukumu. Naombeni msaada wenu je kama umekutana kimwili na msichana alafu baada ya muda ukawa unamashaka na afya yako juu ya maambukizi ya...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwa kupiga tizi gym naweza tumia muda gani kama ntakuwa na consistency
9 Reactions
103 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu wakuu naomba ni share hali yangu japo nipate hata faraja maana naona naweza kupata ugonjwa wa moyo siku siyo nyingi mimi ni binti wa miaka 25 Mwaka 2017 nikiwa kidato cha nne...
18 Reactions
84 Replies
2K Views
Bado niko mbeya Juzi jumapili nikawa mgahawa mmoja maarufu hapo mtaa wa Soweto. Nikasema ngoja nifanye simple research kuhusu ulaji wa watu wa huku. Imagine mtu anakunywa supu na Chips, kweli...
1 Reactions
5 Replies
236 Views
Majeraha yanaweza kupelekea hali isiyo ya kawaida ya Mfupa kujiunda kwenye tishu (Myositis Ossificans) ni hali isiyo ya kawaida ambayo mara nyingi hutokea kwa wanariadha wanaopata jeraha ambalo...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Shinikizo la kawaida la damu kwa watu wazima ni 120 kwa 80. Kipimo cha presha hupimwa kwa milimita za zebaki (mercury) (mmHg). Hivyo husomeka kama 120/80 mmHg. Shinikizo la damu hupimwa kwa...
1 Reactions
0 Replies
132 Views
inasababisha saratani? Mara nyingi mifuko laini na miepesi ya nailoni au Rambo kama inavyojulikana na wengi Tanzania imekuwa ikitumiwa na baadhi ya wananchi katika kufungashia chakula na hasa...
1 Reactions
5 Replies
539 Views
Ndugu wa Jf poleni sana Kwa mihangaiko yetu ya siku, natumaini tunaendelea vizuri kulingana na mapenzi ya muumba wetu. Nirudi kwenye maada, Mimi nasumbuliwa na homa ya Scabbies, kiukweli hii homa...
0 Reactions
16 Replies
343 Views
Wengi wamekuwa wakiuliza juu ya ugonjwa huu; mjadala huu tunajadili kwa undani juu ya maradhi haya: ========= UFAFANUZI WA KINA WA UGONJWA HUU Ugonjwa kwa kitaalamu vinaitwa human papillom virus...
5 Reactions
173 Replies
194K Views
Wakuu habari.. Mtoto wangu alikuwa na changamoto ya kuchelewa kulia tangu alipozaliwa 2022 July, baada ya hapo akawa anapata degedege tukawa tumepeleka kwenye vipimo hospital ya Benjamin Dodoma...
8 Reactions
73 Replies
1K Views
Hello wanafamilia, Nimebainika kuwa na tatizo tajwa hapo juu. Hii ni baada ya kuteseka kwa muda mrefu kwa ukavu wa choo, constipation. Katika medicine, tatizo linapokuwa sugu na hatarishi,dawa...
0 Reactions
5 Replies
208 Views
Wajawazito wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata ugonjwa wa Malaria katika Jamii. Dawa ya SP hutolewa kukinga madhara ya Malaria kwa kuua vimelea vinavyojificha kwenye kondo la nyuma. TIBA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi, Ningependa kufahamu ni vyakula vipi vinasaidia kuongeza damu mwilini kwa haraka, Mbarikiwe.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari ya usiku wapendwa, nmeng'atwa na tandu usiku huu ila nmefanikiwa kumuua, Huduma ipi ya kwanza niipate kabla ya asubuhi? Kuna storu nyingi kuhusu tandu zinszoogopesha. Msaada tafadhali
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wadau, naombeni msaada kwa yeyote anaefahamu dawa za kuongeza maumbile ya kiume naomba anisaidie lakini ziwe dawa za asili. Au kama ulisha wahi kutumia dawa hizo na zikakupatia matokeo...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari wana Jf, miaka miwili iliyopita nilianza kujigundua kuwa na shida ya usikivu nilipoenda hospitali nikaambiwa shida yangu ilisababishwa na earphones hivyo usikivu wangu umeshuka na hakuna...
1 Reactions
12 Replies
377 Views
Habari za usiku Baada ya kupata magonjwa siku za karibuni ikanibi niende hospital ya Benjamin hapa Dodoma. Nikacheki vipimo vyote ila nilipofika kwenye kipimo cha damu daktari alikuwa ananipa...
5 Reactions
85 Replies
10K Views
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume, Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
29 Reactions
178 Replies
8K Views
STDs: Aina za magonjwa ya zinaa, dalili zake na ni hatari kiasi gani? Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), zaidi ya watu milioni moja duniani kote wanaambukizwa magonjwa ya zinaa kila...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom