Niulize chochote kuhusu homa ya ini. Kiufupi homa ya ini ni ugonjwa unaosabishwa na virusi aina ya 'Hepatitis A, B, C, D & E). Maswali yanaweza kujikita kwenye B na C kutokana kupelekea...
Habari wakuu Wa JF, niende kwenye mada....
Katika vitu najivunia sana tangu nimeanza kuujua ulimwengu wa smartphone ni kuijua jamii forums..
Nimejiunga jamii forums ni kama miaka 5 nyuma huko...
Hiii ni dawa nzuri ya Vidonda
Wengi mna sikia hadithi tu
Kua kuna mti.huo wa nyoka
Yani nyoka wakipigana mmoja ikatokea kamjeruhi mwenzake au kuzimia
Huenda kwenye mti flani uchuma jani na...
Wakuu salama?
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekuwa nikikutana na mada baadhi ya wazazi na walezi wakiulizia tatizo na tiba ya watoto kutosimamisha uume, hivyo nimeamua kuja na maswali kwa...
Ni ugonjwa ambào mtu anakuwa na hisia za Ubinafsi ndani yake, Aina hii ya ugonjwa mtu anakuwa na uhitaji mkubwa wa kusifiwa na kupongezwa katika kile anachokifanya..
Mtu mwenye ugonjwa huu huwa...
Nina mtoto mdogo Mwenye umri wa miezi mitatu.
Tatizo la huyu mtoto ni kujisaidia kinyesi ambacho kama ameharisha. Wakati mwingine kina kuwa Kama kina majimaji tu au Kama vikambakamba...
JamiiForums iliwasiliana na Dkt. Hellen Makwani, Daktari Bingwa wa Saratani na Tiba Shufaa, ili kufafanua kwa undani madhara yanayoweza kusababishwa na CT scan, baada ya mtumiaji wa jukwaa kuuliza...
Habarini wana jf
Ni hivi karibuni baada ya jamaa yangu kunitumia video moja, nimeisikiliza sana hiyo video, nikabaki na mshangao mkubwa, ikabidi nijiulize hivi wasomi wetu wa kiafrika wanalijua...
Ilianza na kasehemu kadogo kuwasha then kuanza vipele vidogo, now vimekua kama kidonda ingawa ni kasehem kadogo ka uume, haviumi sana. Kuna dokta jiran nilimuonyesha nikamwambia last j'mosi...
Salaam,
Wakati mamsapu alipokuwa mjamzito, nilikuwa nikienda nae kliniki mara kwa mara. Sasa siku moja, katika mazungumzo, nikamsikia dada mmoja aliyekuwa ana mtoto mchanga hapo kliniki, akisema...
Kiharusi (stroke) ni ugonjwa wa kupooza sehemu au upande mmoja wa mwili kutokana na hitilafu/uharibifu kwenye ubongo, hasa ubongo kukosa damu au damu kuvilia ndani ya ubongo.
Kiharusi husababisha...
Wakuu nakuja kwenu msaada wenu mdogo wangu kanipigia sm Yuko dar kwamba majuzi kichwa kilimuuma sana akashindwa fanya chochote akalazimika kwenda hospital kupima ..alienda hospital mbili tofaut...
habari humu jukwaani,juzi niimenda kituo frani cha afya kuomba nipewe dawa ya PEp kutokana na mazingira hatarishi ya afya nilliowaeleza ,nikapimwa afya nikapewa dawa imeandikwa F67 je hii ndio PEp...
Wapo watu ambao wanasumbuliwa na tatizo sugu la chunusi, madoa doa na kuharibika kwa ngozi. Ingawa chunusi hizi mara nyingi hutikea usoni, wakati mwingine hutokea pia katika maeneo tofauti ya...
Njia ya uzazi wa mpango ya kumwaga nje shahawa inayojuliakana pia kwa kitaalamu kama withdrawal method/pulling out method ni ni mbinu ya uzazi wa mpango inayotegemea mwanaume kutoa uume wake...
Nawasalimu wanaJF.
Nina mtoto wa kiume ana umri wa mwaka na nusu.Leo ameamka akiwa na uvimbe kwenye uume wake.Sasa leo jioni uume umeanza kutoa usaha na uvimbe umeongezeka kidogo.
Naomba wenye...
DAWA YA NGUVU YA KIUME aka Viagra Ya Asili Tafadhali kama wewe ni chini ya Umri wa Miaka 20 kaa Mbali dawa hii.
Mwanume yeyote ambaye hutoa hudumu ya dakika 2 tu katika mashindano ya Kitandani...
Kiharusi ni hali inayotokea pale mishipa inayosambaza damu kwenye ubongo inapopatwa na misukosuko kiasi cha kushindwa kupeleka damu kwenye ubongo na hivyo kuathiri ufanyaji kazi wa ubongo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.