Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, nimekuwa na tatizo la kuto kufika kileleni. Yan kufika kileleni mpaka niamue nianze kuvuta hisia. Si kma zaman nlkuwa nafika kwa kulazimishwa na utamu wa...
0 Reactions
177 Replies
33K Views
Mssaada wenu wakuu nimerud kwenu baada yakuwa napata maumivu makali ya mgongoni nkiinamisha kichwa au kuinua.
2 Reactions
21 Replies
586 Views
Acne Keloidalis Nuchae ni nini? Licha ya jina, acne keloidalis nuchae sio aina ya chunusi. Ni aina ya folliculitis, na dalili ambazo zinafanana na chunusi. Kwa kawaida huwa kama upele karibu...
0 Reactions
5 Replies
256 Views
Kuna wakati kulikuwa na kelele nyingi sana na matangazo kila kona kuhusu tatizo la nguvu za kiume na tiba mbalimbali za kuongeza nguvu za kiume. Sasa hivi ni kama harakati za kutafuta nguvu za...
6 Reactions
47 Replies
1K Views
Habari wanajf, Nimekuwa na maumivu ya mgongo kwa siku tano sasa, hasa katikati ya mgongo upande wa kushoto. Maumivu huongezeka ninapokaa, kusimama, au nikiinamisha kichwa chini au kuangalia juu...
4 Reactions
11 Replies
305 Views
Wakuu Habarini/asalaam/Shalom Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+ Nikienda...
12 Reactions
82 Replies
3K Views
Rais Samia akitoa taarifa kwa Mkurugenzi mkuu wa WHO jijini Dodoma amesema kuwa mmonjwa mmoja amekutwa na ugonjwa huo kutoka mkoa wa Kagera na wengine 25 waliopimwa baada ya kushukiwa hawakukutwa...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Polen na majukumu naomba ushauri nasumbuliwa na mbaa matangotango ni dawa gan nzuri kat ya sindano na vidonge nipate matokeo ya haraka
0 Reactions
1 Replies
95 Views
Polen na majukumu na week end ya jpili nilikuwa nauliza ni dawa gan nzuri kati ya sindano na vidonge nasumbuliwa na mbaa matangotango. Plz naomba ushauri wenu ndg zangu nipote ili tatzo n muda...
2 Reactions
3 Replies
169 Views
Jamani wadau nisaidieni mwenye kujua haya mambo, ni umri upi unaoshauriwa kitaalamu kumtahiri mtoto wa kiume, na je kuna njia ngapi za kufanya hiyo kitu. Maana kuna maneno yanasema eti ukimfanyia...
0 Reactions
504 Replies
123K Views
Habari zenu wana JF Nimekula nasumbuliwa na harufu ambao mke wangu amekuwa akisema ni harufu ya kizee, nimejaribu kuitumia sabuni tofauti na perfume lakini wapi. Kazi nikiingia kuoga nikitoka...
14 Reactions
80 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada, nilipiga show ya ovyo na mshangazi mmoja bila dhana matokeo yake ni hayo nikienda haja ndogo napata maumivu. Na pia uume wangu unatoa usaha rangi ya njano kila muda...
19 Reactions
153 Replies
7K Views
Habari ndugu zangu wanajamii, Mimi nina shida ya kuona vizuri tangu mwaka 2018, Nimeenda hospitali kama muhimili na Dr Agarwal nilipewa dawa ya vitamini wakidai ni shida ya neva za kuona. Leo hii...
1 Reactions
12 Replies
316 Views
Habarini Madaktari na wafamasia wa humu Jukwaa la Afya. Nina changamoto moja imejitokeza ni kama miezi 4 au 5 imepita. Kwanza nilipata muwasho mkali sana huku ukeni, kisha nikaja ona vipele...
18 Reactions
168 Replies
3K Views
Nawasalimu waungana wote Kuna Jambo nilikuwa nataka tujadili kidogo, nimeshalishuhudia zaidi ya mara 5 katika maeneo na mikoa tofauti. Unakuta Vijana mtaani wote wanajua kuwa demu Fulani na...
2 Reactions
18 Replies
531 Views
Habari waungwana? Hivi Kwa Tanzania na ukanda huu wa Afrika mashariki, ni wapi hasa(hospital au sehemu yoyote) wanakubali kidney donation?
1 Reactions
7 Replies
347 Views
Nina mgonjwa ambaye amepata OK ya kwenda India kubadili figo kakini hajampata mtu wa kumsaidia. Damu yake B. Wakuu naomba msaada wenu.
3 Reactions
19 Replies
6K Views
Nimeweka huu Uzi ili watu wanaoishi na ugonjwa kisukari kuelezana na kusaidia mawazo na uzoefu na changamoto za ugonjwa na kuelezana namna kukabiliana nazo karibuni
4 Reactions
5 Replies
213 Views
MAUMIVU YA MGONGO SUGU WA JUU, MABEGANI NA MISULI SHINGO KUKAZA HOMA YA UTI WA MGONGO ( PNEUMONICAL MENINGITIS) Ndugu zangu wana jamii forum kwanza nikili kwamba huu ugonjwa ninao na ni...
4 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, naanza na salamu kwanza kwa sababu ni jadi yetu Watanzania kusalimiana, Wanajukwaa naomba msaada kwa yeyote aliye na softcopy ya hiki kitabu anisaidie "Tanzania Pharmaceutical...
0 Reactions
7 Replies
13K Views
Back
Top Bottom