Wakuu habari
Kuna binti wa miaka 23 anasumbuliwa na tatzo la magoti kuvimba na visigino vya chini je hili linaweza kuwa tatzo gani?? Na achukue hatua gani kukabiliana na hili tatzo
I am writing this with so much worry in my heart. I am going through changes that I cannot explain. And I need help.
I am liking sex too much. I am becoming wild and being the Leo that I am being...
Hello Wadau wa Jamii Forum,
Natumai mko poa, ningependa kufahamu kwa yeyote anayefahamu ni sehemu ambayo naweza shiriki YOGA.
So far nimepata moja amabayo iko Haile Selassie. Nahitaji machaguo...
Nimekuwa nikiteseka na Tatizo la kukosa choo wiki mbili Hadi tatu mfululizo na ndiyo maana mchana Huwa napiga pasi ndefu na watu wengi Huwa wananishangaa kwanini sili mchana naishia kuwadanganya...
Hello,
Miwani hii pichani, niliichukuwa Ili niivae kama fashion, maana ililetwa na donors Kwa NGO niliyokuwa nafanya kazi
Sasa one day nilizijalibisha, aisee kama huna shida ya macho huwezi...
Wajuzi wa mawani za macho mnisaidie nisije kupofuka.
Kipindi cha nyuma nilikuwa nina UONI hafifu sana. Nilikuwa siwezi kuona mbali.
Baada ya muda nikapima nikapatiwa miwani yenye 1.5 lens...
Tayari nina vipimo vya daktari vya macho yangu. Hivi kwanini miwani ya macho inauzwa bei ghali? Nimetembelea maduka kadhaa ya miwani bei sio chini ya 600,000.
Wapi wanauza bei iliyopoa?
Malaria, Typhoid na UTI ni magonjwa ambayo yanaongoza kwa kuwa ‘diagnosed’ kwa maana nyepesi ni magonjwa ambayo utaambiwa unayo mara nyingi kama si mara zote unapokwenda kupima katika hospitali au...
Down Syndrome ni tatizo la kijenetiki linalotokana na uwepo wa kromosomu za ziada katika vinasaba vya urithi (DNA) vya Binadamu.
Tatizo hili husababisha mwonekano tofauti wa uso, ulemavu wa...
Bawasiri ni moja ya Matatizo sugu yanayowasumbua wagonjwa wengi hapa tanzania na kwengineko.
Ugonjwa huu umeshika kasi kubwa sana kutokana na sababu za mitindo ya vyakula bila utaratibu. Na...
Wadau wa JF, eti feni sio nzuri kwa mtoto mchanga? Nazungumzia zile (pangaboi) za juu and not stand fans! Pls naomba mnisaidie kutambua kama zina madhara,n its side effects!
Jamani hata kama...
Duniani sasa hasa nchi za Ulaya na Marekani kuna mjadala mkubwa unaendelea ila unazimwa na matukio mbalimbali kama siasa, moto, Gaza etc.
Baada ya watu kuanza kutumia dawa aina ya Ivermectin...
Kuwa mzazi ni jambo jema, ila kulea mtoto si kitu rahisi, haswa akiwa ndio mtoto wa kwanza. Wengi wetu tunalea watoto kutokana na maelekezo ya watu wenye uzoefu na malezi kwa muda mrefu. Tatizo...
Habari, nimeona nireje MAELEZO niliyowahi kuyatoa kwenye Moja ya Uzi niliyowahi kuchangia bàada yakupata PM na calls kutokana kwa wanaJF wengi wakihitaji ufafanuzi na msaada wakimatibabu juu ya...
Poleni na majukumu wana JF, naombeni ushauri nifanye nini, imetokea kwa mtoto wangu wa miezi 8 na kidogo ukimsimamisha hakazi miguu na ukimlazimisha hulia sana.
Inavyoonekana mama yake alikua...
Habari wana Jamvi,,, naomba kujua mkono kutetemeka na kuna wakati kushindwa hata kushindwa kuandika ni dalili za ugonjwa gani au ni ugonjwa gani? Na tiba yake ni nini?? Naomba msaada wenu wataalam.
Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba...
Wanajf ninaomba anayekifahamu kipimo hiki anieleweshe!Ni kipimo nimeambiwa unalipia sh.30000,wewe ni kukaa na kusubiria majibu ndani ya dakika chache!Utaambiwa shida zako zote!Kwa kuwa ni suala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.