Habari Ndugu,
Mara nyingi nimekuwa nasumbuliwa na muwasho kwenye kichwa cha Uume , Nikipima mkojo naambiwa fangasi nyingi kwenye mkojo. Je, Dawa yake nini?
Jamii inatakiwa kuendelea kupewa elimu juu ya ugonjwa wa Selimundu(Sickle Cell) kwa kuwa unatibika.
Ripoti ya Tanzania Sickle Cell Disease Alliance (TANSCDA) iliyotolewa Desemba 2021 ulionesha...
White coat hypertension ni nini?
White coat hypertension ni hali ambapo shinikizo la damu la mtu linapopimwa katika mazingira ya kliniki (kwa mfano, hospitalini au kwenye daktari) linakuwa juu...
Habari great thinkers.
Nimekuwa msomaji kwa muda mrefu sana humu, ila imenilazimu nijiunge ili nitoe nilichonacho maana ninahisi kuzidiwa moyoni sipati kulala usiku. Nahitaji ushauri.
Mimi ni...
Wakuu poleni nyote na majukumu ya leo, msaada naombeni Kuna ndugu yangu anamafua ya muda mrefu yapata Kama mwaka, alienda hospital akapatiwa dawa za allergy au mzio lakini Bado ,yani pua zinamziba...
Wadau naomba msaada kwa mara nyingine tena kwa habari ya bawasiri
Nimetumia dawa za kienyeji za kunywa na kupaka nimetumia za tiba mbadala lkn wapi ndipo nikaamua kwenda kwa mtaala mmoja...
Habar wakuu nimeoa ndoa ya miaka 12
Nina kuja kwenu tatizo kadri miaka inasogea linakua kubwa zaid nguvu zangu zakiume zimepungua kama sikuisha Sina msisimko kabisa uume hausimami sometime...
A NEW CHINESE VIRUS LOOM. HUMAN METAPNEUMOVIRU OR HMPV OUTBREAK. HMPV HAS NO VACCINE SA OF NOW
BAADA YA MIAKA 5 YA KORANA VIRU KUTOKEA NCHINI CHINA SASA KUMEREPUKA VIRUS MPYA INAYOITWA KWA JINA...
Kijana wangu ana changamoto kwenye shingo yake kama inavyoonekana kwenye picha.
Mshipa wa upande mmoja umevimba tofauti na wa upande wa pili. Umri wake ni mid 30s, hanywi pombe wala kuvuta...
Hello all,
Ninapenda kushare nanyi nilivyotibika tatizo la uso kupooza. Ninafanya hivi kumsaidia mtu yeyote ikitokea amekutana na changamoto kama hii.
Niligundua wakati naswaki usiku najaribu...
I dream to see the revolutionized mental healthcare in Tanzania and transformed Mental Healthcare System -with it's structured leadership, governance & accountability,adequate resources...
Naombeni kuuliza wataalamu huku kwa mtoto wenye mwaka hadi mitatu. Maziwa yapi bora kwake, ya formula mfano lactogen, sma, infacare, s26 etc au ya ng'ombe?
Yapi yana nguvu?
Habari ndugu zangu.
Kwa wale ambao mmekuwa mkisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu na hamjafanikiwa kupata tiba , Leo naomba niwashirikishe dawa hii ambayo imekuwa msaada Sana kwangu...
Wataalamu naomba kufahamishwa namna ya kutibu maumivu ya nyonga, ni tatizo linalonikumba kila mara nikiwa katika mazoezi ya mpira wa miguu au hata hizi mechi zetu za mchangani maumivu yananinyima...
Nahitaji wataalamu anaweza kunisaidia jinsi ya kutibu nguvu za kiume zijirudi kama awali anisaidie maana nimekuwa natumia mkongo mwanzo mwisho.au pia niendelea kutumia?
Soma Pia: Mazoezi ya...
Kama mzazi, moja ya wajibu wako mkubwa ni kuhakikisha afya na ustawi wa mtoto wako. Ngozi ya watoto ni nyororo na nyeti, ikihitaji utunzaji wa kipekee ili kuepusha matatizo ya ngozi kama vile...
Muhimu: Uzi huu hauhusishi matatizo ya nguvu za kiume, tayari kuna uzi wake maalum jukwaa la mapenzi
Huu ni uzi spesho wa mirejesho yetu tuliowahi kutumia tiba asili na zikatusaidia, yaani sisi...
Ni kwa Mwamposa hapa jamani. Yuko live. Dada anatoa ushuhuda anasema alitolewa kizazi Ila baada ya kuchukua mafuta ya upako kwa Mwamposa akapata Mimba.
Eee Mungu nisaidie Imani na Mimi!?🤔🤔🙄🙄🙄🙄...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.