Huu ugonjwa ulitutokea wate mimi na mke na watoto Ila nimetumia dawa mbalimbali lakini huu mwezi wa tatu naona tunaendelea kujikuna
Hasa kwa watoto wangu hasa pia usiku wanajikuna Sana tulienda...
Habarini wanajukwaa hili,
Kama mada inavyojieleza ni kwamba mwanangu wa kiume umri mwaka 1 na nusu kwa mwezi sasa anasumbuliwa na mgolo kutoka nje, kila anapojisaidia haja kubwa.
Nilimpeleka...
Magonjwa ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula gastritis yamekua gumzo kwenye maisha ya kileo,katika watu kumi Saba wanatatizo la mmeng'enyo was chakula,kuwepo kwa matangazo ya dawa za kutibu...
Ukichukua watu kumi wa mjini ni nadra sana kukuta kati yao hakuna mmoja ambaye hasumbuliwi na vidonda vya tumbo.
Mara ya kwanza nasikia kuna ugonjwa unaitwa UTI ilikuwa 2008 kwa mdau wangu mmoja...
Kuna hili tatizo la mdomo kusogea pembeni ambalo humpata mtu akiwa na umri mkubwa kubisa.
Kuna watu wawili ambao nawafahamu vizuri tu wamewahi kukutwa na hiya hali, kimtaa hakuna jibu nimeweza...
Video inayoonyesha mtiririko wa damu unaobeba oksijeni na kusambaza katika tishu mbalimbali za mwili, kazi kubwa ya damu ni kusambaza hewa ya oksejeni mwilini. Hewa ya oksejeni huingia mwilini kwa...
Wakuu kwema aisee nina tatizo tatizo kubwa mimi nimeanza punyeto 2014 nilifundishwa na ndugu yangu aisee kuanzia pale nikawa nafurahia huu mchezo mpaka leo
Sasa kuna tatizo limenikuta aisee...
Katika dunia ya leo, matumizi ya vipodozi ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Hata hivyo, wazazi wengi hawafahamu hatari zinazoweza kusababishwa na viambato sumu vilivyomo kwenye vipodozi hivi...
Hello ,happy new year.
Ukiwa unaumwa jino , unashauriwa kwenda hospital Kwa ajili ya matibabu zaidi .
Ila pia ikiwa upo mbali na hospatli Ila maumivu yamekuzidia Sana .
Chukua maji ya moto...
Health
Je, wewe ni mganga wa jadi? Mfamasia? Au labda mtafiti unayetafuta tiba kubwa inayofuata kwa ugonjwa wa kisukari, unene uliopitiliza, au magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanayohusiana na...
Habari naomba kwa yoyote aliyewahi kufanyiwa upasuaji kwenye korodani anipe uzoefu wake kama kuna madhara yoyote maana kuna wanaosema kuwa ukifanya ni lazima utafanya tena. Ni kuondoa vivimbe...
Jamani nina maumivu makali sana tena sana kwenye uti wa mgongo na leo ndio siku y 6 tu tangu nianze dozi za TB
Naombeni ushauri hii ndio TB tu au kuna tatizo jingne maana Daktari amenijibu...
Habarini wakuu!
Natumaini pasaka ilikuwa vyema kabisa kwetu sote,tujikite kwenye topic
Binafsi kwa miaka ya karibuni nimeanza kuona matokeo ya stress zisizokwisha,binafsi huniwia ugumu mno...
Wakuu,
Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake.
Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa
Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka...
Je, ni Afya Kula Manii?
Ndio, kula manii ni afya kabisa kwani ni maji ya mwili. Kwa vile shahawa ni sehemu ya mwili, hukua katika mfumo wa uzazi wa mwanaume. Kama vile chakula cha kawaida...
Salaam Wa JF Wote
Nmekutana Na Mtu Mmoja Akiwa Anasumbuliwa Na Ugonjwa Wa UTI, Malaria, Kukosa Hamu Ya Chakula,Kwenye Maongezi Yetu Baada Ya Kumjulia Hali
Akaniambia Ana Miaka 10 Hajawahi Kuugua...
MPANGO WA KUNYWA MAJI YA KUTOSHA MWAKA 2025
Heri ya Mwaka Mpya 2025 Wana Jf!
Tukianza mwaka mpya wa 2025, kipaumbele nambari moja, kipindi chote cha mwaka kiwe afya zetu. Tufanye hivyo kwa...
Habari Wadau,
Wazo tu lilinijia majuzi kuanzisha hii thread. Unajua Waafrika hatuongelei hii issue sana kuhusu Afya ya Akili yaani Mental health issues. Na ikitokea kwenye familia basi...
Tangu 2019 mpaka sasa nasumbuka na msongo mkali wa mawazo, uoga ulipitiliza, panic attack, yaani nimekuwa kama mfu anaetembea, nilienda hospitali ya Mount Meru Arusha wakaniambia ni psychosis...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.