Habari ndugu zangu nawasalimu sana.
Bawasiri ni tatizo linalowasumbua watu wengi na wengi wetu tunauchukulia kama ugonjwa wa aibu kutokana na eneo lenyewe linalo athirika.
1. Bawasiri ni matokeo...
Habari wakuu naomba msaada tafadhari nina kama mwezi mmoja sasa nakosa hamu ya tendo pia jogoo hawiki kabisaa naomba mtu mwenye kujua dawa ya uhakika anisaidie tafadhari hali yangu sio nzuri naona...
Habari Wakuu,
Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.
Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.
Katika kipindi hicho...
Jamani ivi maumivu ninayopata nyie na nyie yanawafikia ivo? Mimi nina vidonda vya tumbo lakini kifua kinakuwa kinawaka sana moto na mgongo vipi kuhusu shingo inaingilianaje na vidonda vya tumbo...
Kunywa maziwa mara tu baada ya kumeza sumu kunafunika tumbo na kuzuia madhara? Maziwa si dawa au dawa ya sumu, wala hailindi tumbo kutokana na kemikali au sumu iliyomezwa.
Ila yanasaidia tu...
Habari za mida wana jf,
Ipo hivi Kuna mwanamke nimekutana nae kwenye siku za hatari, alianza kuona siku zake jumatano tarehe kumi na moja, akamaliza jumanne tarehe kumi na Saba...
Habari wataalam,
Ni dawa gani au hatua zipi zichukuliwe kukabiliana na Uric Acid iliyozidi mwilini? Vipimo vya hospital vimeonesha kuwa kuna uric acid nyingi kwenye damu kufikia mpaka 750...
Habarini wakuu!
Wakuu naombeni ushauri wenu juu ya hili linalonikuta ndugu yenu. Najua kutakuwa na kejeli na dhihaka lakini yote nitashukuru. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ambae...
Nimeona hii article sehemu nikaona niwashirikishe wenzangu ili kama mna jamaa zenu wenye matatizo haya ili kuyakabili. Kutoka harufu ukeni kunaumiza sana.
Kama kuna njia nyingine watu mnajua basi...
Habari ndugu wanajamii forum! Mimi nina mke wangu anasumbuliwa na tatzo la kuishiwa nguvu mara kwa mara,kuna wakati anakosa nguvu na kulegea kabisa hadi mtu unaogopa,tumeshaenda hospital na kupima...
Wakuu nilipata homa nikapima nikakutwa na tyfoid, nilivoanza kupona mara homa ikajirudi tena, je inaweza kuwa na mke wangu ana ugonjwa huo pia? Na kunisababisha kurudi Kwa homa ya tyfoid kama...
Nimeenda mara kadhaa kwenye haya matawi mawili ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga & Mloganzila), chanjo ya Tetanus haipo kwa zaidi ya mwaka sasa.
Mara ya kwanza nilienda Upanga kama miezi 8...
Ukubwa wa uume unategemea vitu kama kiwango cha mhemuko, muda, hali ya hewa na unashiriki tendo la ndoa mara ngapi.
Si wanawake pekee ambao huwa bize kuona wanakuwa na maumbile mazuri na kwamba...
Hàbar marafiki nipatwa na tatizo hapa Lina nikera Sana Yani kwenye Kana kamwimba kamenasa hakaumi Ila kananikera tu naombeni msaada jinsi ya kakatoa maana nishaingiza vidore ili nitapaki bado...
Magonjwa manne mapya ya zinaa yanawatoa jasho wataalamu
Chanzo cha picha,iStock
9 Februari 2019
Imeboreshwa 28 Disemba 2020
Magonjwa mapya huibuka kila uchao, na magonjwa yaambukizwayo kwa ngono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.