Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari za leo ndugu zangu wapendwa? Ni matumaini kuwa mpo safi kabisa. nimekuja hapa kwenye hili jukwaa nikiwa nina shida moja inayonitatiza. Jana nilikuwa nampa chakula mwanangu (ana miezi 7...
2 Reactions
32 Replies
95K Views
Hello wanaJF. Mimi na mke wangu tumetafuta mtoto Kwa mwaka mzima sasa bila mafanikio. Juzi nikaenda hospitali na kufanya vipimo vifuatavyo ... 1. Sperm/Semen Analysis: 2. Testosterone: 3...
3 Reactions
45 Replies
8K Views
Wakuu poleni na majukumu, naomba kwa mwenye kujua chanzo au tiba ya kuvimba kwa miguu wakati wa Safari. Mke wangu anasumbuliwa na tatizo hilo kila anaposafiri, akikaa kwenye gari zaidi ya masaa 6...
2 Reactions
10 Replies
605 Views
Wadau Habari zenu Mama yangu anasumbuliwa na kansa ya kizazi imefika stage 4 hivi hii stage kuna wagonjwa wamewahi survival
6 Reactions
59 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakubwa... Ni jambo la kawaida kabisa kwa wanawake wajawazito kujisikia haja ya kujisaidia choo mara kwa mara. Hii ni kutokana na mabadiliko kadhaa yanayotokea mwilini wakati wa...
3 Reactions
4 Replies
601 Views
Jhhjj
1 Reactions
13 Replies
505 Views
Nywele kukatika ni tatizo linalowakumba wanawake wengi, na linaweza kuathiri kujiamini na muonekano wa jumla. Tatizo hili linaweza kusababishwa na mambo mengi, ikiwemo matumizi yasiyo sahihi ya...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Wapendwa naombeni mnisaidie katika hili, huyu mtoto ashanichosha ana miezi minne tu ila hataki kabisa kunyonya, alianza kama miezi miwili hivi ikabidi wa tatu nianze kumpa maziwa ya fomula ila...
3 Reactions
59 Replies
45K Views
"Habari viongozi, polen na majukumu, samahani naomba msaadq wadau mwenye kujua dawa......nasumbuliwa sana na tatizo la tumbo kujaa gas kwa muda sasa, dawa za hospitali zimeshindikana na nimepima...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dhana kwamba "wanaume hawalii" ni mtindo wa kijamii ambao unaweza kuwa na athari mbaya kwa afya ya kihisia na ustawi wa wanaume. Wazo hili linadumisha dhana kwamba wanaume lazima wazuie hisia zao...
0 Reactions
6 Replies
379 Views
salamu, Naomba kuwashirikisha tukio moja nililolishuhudia nikiwa safarini (kwenye bas) Wote tunafahamu kuna watu wakipanda gari huaptwa na hali ya kutapika sana! Hii huwalazimu wengine kutokula...
2 Reactions
47 Replies
23K Views
SARATANI NI NINI Miili yetu ina chembechembe hai nyingi ambazo huzaliana, hukua, na kufa kwa mpangalio maalum. Chembechembe hizi zinapobadilika na kuanza kuzaliana na kukua katika utaratibu ambao...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
Mrija wa mkojo (urethra) ni kiungo muhimu kinachotoa mkojo nje ya mwili kutoka kwenye kibofu. Mrija huu unaposinyaa au kuziba hufanya utokaji wa mkojo kuwa wa mashaka na maumivu makubwa. Kusinyaa/...
2 Reactions
4 Replies
15K Views
Habari wana Jf poleni na majukumu ya kazi. Naomba niende kwenye Maada yangu direct. Kwa kitambo Sasa nmekuwa muhanga wa Ugonjwa huu ninao uona ni wa Ajabu kwangu.., Mwanzo wa mwaka huu nilipata...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Naomba kuuliza wananzengo je, ni kweli kumvalisha diapers/pampers mtoto wa kiume kwa muda mrefu kunaweza kumletea shida ya nguvu za kiume hapo baadaye.
1 Reactions
8 Replies
754 Views
Wadau nahitaji mrejesho ili nione kama kuna uhakika wa kupona nikainunue maana nimetumia dawa nyingi bila kupona, nimetapeliwa sana bila mafanikio. Msaada jamani.
4 Reactions
49 Replies
10K Views
FAIDA ZIPATIKANAZO KWA KULA MAGANDA YA NDIZI MBIVU Watu Hula Maganda ya Ndizi. Wewe Unazijua Faida Zake? How healthy are bananas? Bananas are rich in Vitamin B6 and a good source of fiber...
5 Reactions
14 Replies
4K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU BAKTERIA HUYU Habari wanajamvi!!! Naomba kujua tiba ya Helicobacter pylori( H-pylori) ni ipi? Na je huu ugonjwa unatibika ? Je wapo watu walioumwa...
1 Reactions
246 Replies
102K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu. Nimekuja kwenu nikiomba ushauri juu ya kadhia hii inayonikumba mimi mdogo wenu; Takriban miaka 2 sasa nimekuwa nikitaabika sana na harufu mbaya ya mdomo mithili...
8 Reactions
73 Replies
5K Views
AINA ZA NGOZI. Kuna aina nne za ngozi ya binadamu: 1.Ngozi ya kawaida (normal skin) Hii ni ngozi ambayo ina mafuta na unyevu wa kawaida kwa ajili ya ustawi mzuri wa ngozi,hivyo huwa ni ngozi...
3 Reactions
142 Replies
47K Views
Back
Top Bottom