Wakuu habari zenu.
Nilikua quora website, kuna mtu aliuliza swali anataka kujua kama hiv ina dalili zototw za kupata tiba kamili.
Aliuliza kua amesikia fununu kwa ndugu yake yuko kitengo maalum...
Je, unajua kwamba vyakula tunavyokula vinaweza kuchangia moja kwa moja katika muonekano wa ngozi zetu?
Vyakula vya asili vina virutubisho muhimu vinavyosaidia mwili kupambana na magonjwa na pia...
Wife maziwa yanamuuuma hata vile vichuchu ndo usiseme hata ikiguswa na nguo. Shida itakua nn kwa wakongwe au kina dada.
Status:
Hajawai kuzaa
Hajawahi shika mimba
Hanyonyeshi
Hajawai kua na hilo...
Wakuu habari za majukumu nina ombwa kujuzwa kama kuna mafuta au dawa yoyote inayoweza kujaza nywele kichwani.
Mimi ni kajana wa miaka 24+ ila naona kuanzia mwezi uliopita kama nywele za mbele...
Wakuu habari zenu.
Najua kuna madr humu, nahitaji ushauri wenu, cas sijui ethics au pricedures za wataalamu wa afya nisije shauri vibaya.
kuna kijana tunafahamiana ni HIV+, japo tofauti na ndugu...
Amani iwe nanyi...
Nimetamani kuuliza jambo hili kwa muda kidogo, ni kuhusu hizi dawa ambazo wansema zinasaidia katika masuala mazima ya uzazi ikiwemo kutibu magonjwa kama vile PID, FUNGUS,. UTI...
Naomba kuzijua dalili na tiba za ugonjwa wa gauti.
Habari zenu wana jamvi,
Nina mgonjwa anayesumbuliwa na miguu, sehemu za magoti zinavimba na kupelekea miguu kuuma sana. Nadhani ni Gout...
Napata wakati mgumu kuelewa kwa nini baadhi ya watu na vyombo vya habari vinasema TOTO AFYA KADI imeboreshwa au kurudishwa.
Inaonekana wengi hawajui nini kimetokea, labda acha niwakumbushe kidogo...
Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha baba yangu anasumbuliwa na huo uvimbe, umekua ukimdhoofisha afya yake, tumejaribu mara kadhaa kumpeleka hospital lakini matibabu anayopewa yameshindwa...
Habari Wana jukwaa! Kuna Binti anapitia changamoto ya mwili wote kuhisi maumivu ya kuwaka moto muda wote, miguu kuuma, mikono kushika ganzi na mabega kuumia lakini pia na meno yanamuuma ivyo vyote...
Wakuu, naomba kuuliza: Je, kuna madhara yoyote yanayoweza kutokea unapokula mfululizo karanga mbichi, mbegu za maboga, muhogo mbichi, na vyakula vinavyosadikika kuimarisha mfumo wa uzazi wa...
Wadau, yupo ndugu yangu ambaye anasumbuka kwa muda sasa na amejaribu vipimo sehemu nyingi. Ilianza kidogo kidogo sasa inamsababishia shida, hawezi kulala vizuri. Kichwani anasema anahisi kama kuna...
Kwa tafsiri isiyo rasmi toka kwangu.
Faida wanazopata wanaume ambao hawajafanyiwa tohara
Benefits enjoyed by males who are intact (not circumcised)
1. Full penis length and circumference. The...
Habari za asubuh nimejaribu kutengeneza juice ya kabichi kwa ajili ya vidonda vya tumbo,sasa baada ya kusaga naona ni nzito niongeze maji au nakunywa ivyo ivyo,msaada tafadhali
Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi
Baada ya kusikia hizi stori kwa muda, nikaamua kuingia mitaani kufuatilia kinachoendelea hasa maeneo mbalimbali...
Aliyekwisha tumia dawa za kichina au hizo za kiarabu kutibu matatizo ya tumbo ,maumivu ya miguu nakadhalika ninaomba anishauri!
Zipi zinafanya kazi vizuri na kwa uhakika,za kichina au za kiarabu...
Nchi 20 zenye idadi ndogo ya vifo vya kina mama wakati wakujifungua Africa (2020), pia inaitwa maternal mortality rate (MMR) ni njia nyingine ya kupima maendeleo ya nchi.
Namba baada ya jina la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.