Habarini ndugu zangu.
nna mchumba wangu anatatizo la kutosikia vizuri,hali hii imemtokea tu ivi karibuni zamani hakuwa na tatizo hili hata kidogo,
shida ilianza pale alipoenda field pale idara...
Leo nimeenda kutibiwa Selian hospital Arusha, kilicho nishangaza ni kwamba kwanza ni kama NHIF hawana dawa za kutosha pale, nimeambiwa Paracetamol na Bluefen kati ya dawa za maumivu et nikanunue...
Habari JF, leo tutajifunza kidogo kuhusu hili tatizo la watoto kusaga meno .
Bruxism ni neno la kitabibu lenye maana kusaga meno au kufunga taya .Mara nyingi tatizo hili huwapata watoto wakiwa...
Habarini Wana JF
Kama mada inavyosema kwa siku ya Jana nilikua nipo kwenye shoo na mtoto mzuri Sasa katika purukushani za yeye kukwepesha mzigo nikajikuta nimeigongeza pembeni Yani njee ya tundu...
A.alaykum wakuu, ninaomba msaada wenu jamani kwani ninapitia magumu sana, niende moja kwa moja kwenye mada
.
Kama mwezi mmoja umepita kuna siku nilienda haja kubwa, wakati najikamua nikapata...
Vidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa yanotusumbua sana miongoni mwetu na hii siyo Tanzania tu ni dunia nzima. Naleta huu uzi kwa maana wanasema sharing problem is half way of solving it.
Hivyo...
Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini.
Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke...
Wadau,
Nimeisoma kwa umakini mkubwa sana thread ya mdau mmoja aliyekata shauri na kuamua kwenda kupima HIV!
Kiukweli kabisa toka katika uvungu wa moyo wangu nampongeza sana na Mwenyezi Mungu...
Leo December 1 2024 ni siku ya UKIMWI duniani.
Mpaka sasa kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO) kuna zaidi ya watu milioni 39.9 duniani kote wanaoishi na virusi vya UKIMWI (VVU).
Ni muhimu...
Sijui siku hizi nimekuwaje wakuu.
Yaani ngono hainipi ule utamu niliokuwa naupata zamani kwanzia 2023 kurudi nyuma yaani kwanzia mwezi wa 10 hadi huu wa 11 nimesex mara 22 lakini niliyoifurahia...
Mimi sio daktari ila nasikia ni kianzilishi kikubwa sana cha magonjwa ya moyo.
Vijana wenzangu ukifikia hali ya kupiga nyeto mpaka mara tano kwa siku basi ujue kwamba una hali mbaya sana.
Kama...
Nilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja.
Ni...
wadau habari zenu,dah kiukweli nimewamiss sana ukizingatia loong tim almost six months sijawa active due to the reason nilikua maternity sasa nimerudi rasmi,mzizi mkavu,rosweeter,precious,mwali...
Wakuu, lips zimeungua watu wanasema ni pombe kali lakini nimeacha bado hali iko hivi.
Najiuliza mbona kama pombe kali wengi wanakunywa na hawaungui ivi
Ukiona nyanya ikiwa hivi usipende kula mbichi au kutumia kabisa ,Kuna wakati inakuwa imezuliwa na Nyoka,Popo au aina ya wadudu fulani
Follow magical power
Habari za majukumu wakuu!
Ndugu yenu na changamoto Hapa,
Kwa mara ya kwanza jan nimegundua mtoto wangu wa kiume wa miaka minne hana korodani yani pale kwenye mfuko wake hapana kitu, nmevurugwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.