Habari za mida Wana jamii, Mimi ni kijana Nina umri wa miaka 29 miezi mitatu iliopita nilijigundua kua Nina uvimbe kwenye korodani kutokana na maumivu ya hapa na pale ndo kujichunguza nikagundua...
SHUKRANI NI MBEGU YA FURAHA
Tunaishi kwenye dunia yenye wingi wa vitu vizuri ambapo kwa wingi huo hutufanya tuendelee kutamani zaidi na zaidi kitu ambacho ni rahisi kusahau vile tunavyomiliki...
Salamu Wana jukwaa...
Nimekuwa nikisumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa vidonda vya tumbo... Kwa hakika vinanitesa sana.
Kuna raia mmoja ameniambia niende kwa WAKOREA, Wana dawa za uhakika japo...
Yani hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno ,vinapoanza panaanza kuwasha kwanza halafu vikishatokezea kama vipele ila vinakuwa kama mtu kaungua na moto hv yaani ukiminya...
16 Signs That May Indicate HIV
Within a month or two of HIV entering the body, 40% to 90% of people experience flulike symptoms known as acute retroviral syndrome (ARS). Here are 16 signs...
Kumekuwa na maneno kuwa mtu aliyevunjika labda mbavu, mguu au nyonga akipelekwa hospitali labda akaongezewa kiungo cha chuma kumsaidia kundelea kutembea kama alivyokuwa, ni kweli akifariki dunia...
Neno Crown sio geni Sana , nahisi umelisikia. Ni aina ya meno bandia ambayo hutengezezwa maabara ili kuzibia jino / mapengo kwenye meno halisi yaliyotoboka au kutoka/ kuvunjika ili imusaidie mtu...
Wakuu naombeni msaada nikikojoa au mkojo wa mwisho unauma halafu nikiminya uume kuna vitu vinatoka vina kama rangi ya njano.
Kuna kitu nilifanya ijumaa
Habari zenu waungwana,
Jamani eh! Nina tatizo naomba someni uzi wangu mpaka mwisho na mnisaidie naomba mnisaidie tafadhali.
Nilikuja hapa kuomba ushauri miezi kadhaa nyuma kwa tatizo langu la...
Habari wakuu,
Nina changamoto yapata mwezi sasa ulimi wangu umechubuka ulianza upande mmoja na umeenea kiasi mpk kwa mbele kabisa, nilienda hospital nikapewa cipro ya kumeza na Quadrajel ya...
Wataalam
Nimekuwa nikijiuliza hivi imeshindikana kweli kufanya surgery ya kuondoa mafuta toka kwenye tumbo? Mi naona jinsi yalivyojirundika sehemu moja tumboni kama mnavyotuaminisha kupitia...
Siku tano baada ya dawa ya Uriphytol inayoelezwa kukinga na kutibu tatizo la kutanuka kwa tezi dume kuanza kuuzwa rasmi, dawa hiyo imeadimika katika maduka ya dawa mkoani Dodoma ilikoanza kuuzwa...
Miezi kadhaa iliyopita nilikubwa na misukosuko mingi sana kimaisha na magonjwa mbalimbali makubwa kuninyemelea ikiwamo high blood presha.
Nikiwa kijana kabisa mwenye ndoto za maisha yangu...
Habari wakuu,
Leo tena nawaletea ujuzi mwingine ni mdogo sana,lakini kwa vile inawasumbua sana watu
Ugonjwa wa bawasiri maarufu ndonda kwa sasa naona imekuwa changamoto sana kwa watu wengi sana...
Habari ya majukumu! Nisiwe mchoyo wa fadhila Kwani Mungu ametupa Bure, kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo, na una uhakika ndio vyenyewe kweli, kwa maana si kila ugonjwa tumbo ni vidonda vya...
Nilikuwa naongea na watoto (wanafunzi) kama 100 hivi. Basi katikati ya maongezi ikanijia chafya, nikaziba mdomo tu nilijua kuwa sina tatizo lolote na ni chafya ya kawaida tu kama zile zingine...
Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya...
Naomba kufahamu mwenye uzoefu na jambo hili maana kuna mtoto wa sister wangu mtoto wake wa kike ana miaka 8 ameanza kutoka damu ukeni mama yake ananiambia sijamuelewa tunahisi ni hedhi hapa...
Mdogo wangu alindondoka (kwa bahati mbaya) kwenye mti,ikaonekana ameumia bega, tukaenda hospital kubwa hapa mkoani,madaktari wakasema lazma wafanye x rays na leo tunatazamia afanyiwe,je kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.