BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI:
Wanajamii natumaini hamjambo.
Naomba mnisaidie ni dawa gani nzuri kwa ajili ya Mba. Nimejaribu kutumia dawa mbali mbali ikiwa ni pamoja...
Mwani (sea moss) ni mojawapo ya mimea inayoota baharini na inalimwa sana zanzibar na mafia.
Nimeona kutoka sehemu mbalimbali wauza dawa mbadala wakiusifia mwani kutibu magonjwa mengi na kuwa...
Hii ni alama inayoonesha mtu huyo ameathirika na virus vya ukimw na hutokea kipind virus vina zaid ya miaka miwil kitaalamu tezi hiz huvimba kama ishara ya kukusanya virus na kuwarundika sehwm...
UFUTA au kitaalamu Sesamum indicum, hustawi na hulimwa zaidi mikoa ya Kusini mwa Tanzania ya Lindi, Mtwara na sehemu ya mkoa wa Ruvuma, Tunduru.
Hata hivyo, tafiti mbalimbali za ndani na nje ya...
Habari Wana JF, Naomba Ushauri
Niende moja kwa moja kwenye hitaji langu.
Mwezi wa saba nilipatwa na uvimbe ghafla upande wa kulia wa shavu chini ya sikio. Uvimbe ulikuwa mdogo na haukuwa na...
Kichwa cha habari kinajieleza aomba msaada mnielekeze dawa ya magoti kuna wakati yanakua yanauma japo kwa mbali rakini nachukulia ni tatizo kwasababu zamani sikua na shida hiyo, sitaki kuhangaika...
Nimefika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala Jijini Dar esa salaam.
Baadhi ya wagonjwa wanalalamikia ucheleweshaji wa huduma mbalimbali zitolewazo hospitalini hapo.
Tusikilize baadhi ya wagonjwa...
Hii ni changamoto ya afya ya akili watu huita Kichaa (Mental health challenge)
Mania ni changamoto ya afya ya akili ambayo mhusika huwa na dalili nyingi zikiwemo kuvaa mavazi ya kumelemeta ...
Tendo la ndoa linafaida kubwa kiafya kwa mwanaume na mwanamke.
Leo nitazungumzia zaidi faida za kiafya anazopata mwanamke pale anapofikishwa kileleni wakati wa tendo.
Iko hivi; wakati mwanamke...
Habari wakuu ....
Naomba kujua matibabu rahisi kwa mtu ambaye anaumwa ugonjwa wa gono , mtu ambaye tayari ume wake umeshaanza kutoa maji maji ( Usaa ) kabisa, ni dawa gani nzuri na za uhakika...
Habari wanajukwaa,
Nina mama yangu ameanza kupata tatizo la macho tangu juzi, tulimpeleka hospital wakasema macho yameanza kuweka mtoto na anapresha ya macho.
Hivyo tumeshauriwa tumnunulie...
Wakuu, Habarini
Naombeni msaada kwenye tuta.
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya macho na kutoona kuona vizuri hususani kwenye mwanga mkali.nimefanya Eye diagnostic na kuwa recommended kuvaa...
Kaka vipi hali pole na majukumu.
Samahani kuna hii issue inanitesa sana ni wiki ya pili sasa na sijuwi nifanyaje.
Iko hivi kuna binti niko naye kwenye mahusiano mwezi wa 7 sasa japo kila mtu...
Sasa iliyonitokea leo nahisi kuna shida mahali wakuu miaka 27 nakojoa kitandani daah tena ya leo kali nimeshituka usingizi daaah kujitazama kwenye godoro mkojo umetapakaa kwenye godoro na kwenye...
Kama nilivyoeleza hapo juu.
Ni kwanini watu wengi sana wanapoenda hospitali kutibiwa na kisha kuambiwa warudi kuhakiki vipimo iwapo wamepona hua hawarudi?
Hupewa muda pengine baada ya wiki moja...
habari zenu
wadau nasumbuliwa na tumbo upande wa chini kushoto(kwa kulibonyeza ila kawaida haliumi),pia hata nikibonyeza kwa juu napata maumivu au nikifanya mazoezi ya kukimbia hua napata hii...
Kusafisha Figo lililokuwa ni chafu ili liweze kufanya kazi vizuri.
Chukuwa embe moja kubwa kata Vipande vidogo, kisha kata Vipande vidogo Tufaha la kijani aka Apple.
Kisha Kata limao vipande...
Katika kipindi hiki Cha msimu wa matunda ya maembe, ninakukumbusha kutumia kikamilifu ili yaendelee kuboresha afya yako.
Katakata(chop) Kisha weka kwenye kikombe Cha chai. Halisababishi kupanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.