Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hello Wana Great Thinker, naombeni mwenye link ya group la wenye Kisukari aniunge please , Anitumie link au number , shukrani sana wapendwa ,
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Usizidharau ishara hizi 8 za mwanzo za kisukari Kisukari kinaweza kujijenga pole pole katika mwili wako wakati mwingine bila hata wewe kufahamu nini kinaendelea. Ni mhimu kwamba unapata elimu...
8 Reactions
9 Replies
7K Views
Shida ilinianzia jana jioni nikatanguliza choo cha kawaida baadae ikaanza choo chenye makamasi yenye damu shida Itakuwa Nini au ndio Dalili za kuvuta hizi wiki hii nimekuwa nikisumbuliwa sana na...
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Wazaramo habari zenu. Sisi wa bara Tulivyokuja huku pwani ya Dar-es-salaam ndio tukajua hii mboga inaitwa dagaa mchele. Sawa tunajua kwenye utafutaji kigetogeto lazima ushawahi kula sana Dagaa...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
JINSI YA KUEPUKA KUNUKA MDOMO Kuwa na harufu mbaya mdomoni ni kitendo kinachoweza kuathiri maisha ya mtu kimahusiano si kwa mpenzi tu bali marafiki na jamii kwa ujumla. Pia kuwa na harufu mbaya...
14 Reactions
695 Replies
269K Views
Kwa heshima na taadhima napenda kuelezea utaratibu muhimu wa kujieleza kwa daktari ili kurahisisha upatikanaji wa tiba kwa usahihi. UTANGULIZI Ni ukweli usiopingika kuwa wengi wetu hatujui ni...
34 Reactions
115 Replies
41K Views
Habari: Jf doctors na wadau wengine.. ningependa kuuliza kuhusu mabadiliko ya mwili wangu,Kama kuna mmoja wenu anafahamu. Tangu juzi kila asubuhi na mchana mida Fulani, yananitoka maji maji meupe...
7 Reactions
108 Replies
69K Views
..
1 Reactions
40 Replies
19K Views
Gafla najikagua Jana najikuta kama kiupelele hivi kanauma kushuka zaid pembeni kama kunamstari nimechanika kama kidonda wakuu nauliza hii nikitu gani
4 Reactions
52 Replies
2K Views
Katika ukuaji wangu sikuwa naugua ugonjwa wa tonsils mara kwa mara ilikuwa inatokea kwa nadra sana. Miaka mitano nyuma nilikuwa kikazi ukanda wa nyanda za juu kusini kikazi ndio ugonjwa wa tonsils...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Nahitaji kujua dawa ya asili ya vidonda kooni kwani tonsil nilishatoa ila vidonda bado vipo. Kuta za koo zimerika hivo napata maumivu, nimeenda hospital lakini hawaeleweki tiba zao. Au hata ya...
2 Reactions
13 Replies
518 Views
Habari zenu wakuu?? Nimeona nianzishe Uzi huu ili kupeana up dates kuhusu vyakula/dawa asiri na matibabu yake Kwani nina amini hata kabla ya hospital's kulikuwa na matibabu ya asiri lakini yame...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Hili suala nimekuwa nikilisikia kwa muda mrefu kuwa matumizi ya mionzi kama vile X-Rays kwenye uchunguzi wa kitabibu ina madhara ki afya, uhalisia wake upoje?
1 Reactions
3 Replies
275 Views
Anayejua dawa ya fungus anisaidie tafadhali
2 Reactions
27 Replies
808 Views
Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra). JUMANNE NA Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa, Nina mzazi wangu mwenye umri wa 57 y.o anasumbuliwa sana na tatizo la misuli ya miguu kuuma yaan inakaza na kuachia kwa muda mrefu na hali hii humtokea mara nyingi jioni...
1 Reactions
5 Replies
707 Views
Wakuu poleni na majukumu..msaada wa kumuangamiza huyu "Candidas Auris" amekuwa akimsumbua mke wangu yapata miaka mitatu sasa tangu ajifungue kwa kisu...anatibiwa anaonekana kupona lakini baadaye...
0 Reactions
7 Replies
326 Views
Habari za hapa ndugu zangu. Mimi nina changamoto moja, mke wangu anasumbuliwa na mafua yasiyopona na koo linawasha tangu mwezi wa sita, nifanye nini kumsaidia? Naomba ushauri kwa anaye fahamu...
0 Reactions
3 Replies
437 Views
NAMNA YA KUKOKOTOA SIKU YA KUPATA UJAUZITO NA MZUNGUKO WA HEDHI KWA URAHISI | HOW TO CAN YOU KNOW YOUR MENSTRUAL CIRCLE AND A DAY TO CONCEIVE? Inaletwa kwenu na Kelvin Nyagawa Kupitia somo hili...
4 Reactions
6 Replies
4K Views
Tulipoteza mtoto wa miezi 8 iliopita, mke wangu wakati ananyonyesha alikuwa hapati hedhi (najuwa ni kawaida ) ila hivsasa hanyonyeshi miez 8 sasa ila hedhi imegoma kutokea kabisa. Imesemwa kuwa...
5 Reactions
12 Replies
524 Views
Back
Top Bottom