Kisonono (gonorrhea) ni nini?
Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukuwa na kuzaliana kwa haraka katika sehemu...
Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake wote wawe watoto wachanga, wasichana, mabinti, wanawake, akina mama; saratani ya...
Ndugu zangu,
Naomba kufahamishwa huu ni ugonjwa gani nimekuwa nikipata maumivu makali sana baina ya ubavu wa mwisho na mfupa wa nyonga upande wa kushoto yapata miaka 3.
Sasa, maumivu haya huwa...
Habari za usiku huu,
Nina jino upende wajuu kushoto limetoboka lina miaka 5 sasa lakini haliumi mpaka ukilitumia kutafunia ndio linaleta maumivu ya muda baadae kidogo yanaacha ni nikaamua kuwa...
QISTI
Faida za Qisti huwezi kuzizungumzia kwa mara moja zikajulikana na kueleweka zote kwa mara moja, qisti ina faida nyingi sana ambazo ukikaa na kuzisoma utatamani uipate sasa hivi na kuanza...
Wanajukwaa mambo.Leo tupeane mawazo kidogo kuhusu hili swala ambalo limekuwa likileta sintofahamu,migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa/mahusiano.Hii imeeathiri wengi hata jirani yangu yalimkutaga...
The Three Power Laws of Health: Sleep, Exercise, and Diet
The journey to enhanced well-being doesn't need to be overwhelming. By focusing on three core pillars—sleep, exercise, and diet—you can...
UGONJWA wa maumivu ya viungo huitwa kwa jina lingine yabisikavu. Jina la Kingereza la ugonjwa huo, ‘arthritis, linatokana na maneno ya Kigiriki yanayomaanisha viungo vilivyovimba. Mbali na...
Kwa muda mrefu sasa nimejalibu kunywa maji mengi kiasi Cha Lita 3 kwa siku ili kupata matokeo mazuri lakini mkojo Bado mi wa orange,mkojo utakua mweupe kwa siku hiyo japo sio sana lakini kesho...
Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu.
Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine.
Hakikisha kupata...
Hivi maji ya kupimia Ukimwi Kama yameandikwa expired 26/4/2024 ukatumia kupima mwezi huu 11 kipimo kikasoma negative kitakuwa kipo sahihi
Mara ya mwisho kucheck health status ni mwezi wa 4 mwaka...
Ukiwa unaumwa jaribu kuwa unatunza kumbukumbu zako .
Na unaangalia aina gani ya Dawa huwa unatumia , mazoezi n.k .
Binafsi huwa naumwa Sana kichwa .
Dawa ambayo huwa natumia nakunywa Tangawizi...
Wadau, heri ya mwezi mpya huu, nina swali ambalo linahitaji msaada wenu.
Kwa nini kuna baadhi ya watu midomo inatoa harufu mbaya!?
Hata Kama akipiga mswaki baada ya muda harufu hiyo hurudi...
Wakuu habari zenu!
Nimechoka sana; nimekuwa nikiugua homa na kikohozi tangu Alhamisi, hivyo sikuweza kupita kwenye vijiwe vyangu. Leo na jana nimepata simu nyingi kuulizia kama nitafika kazini...
Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me.
Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne.
Watoto wangu...
Kikubwa hapa nataka kujua hasa Kitaalamu je, kuna ama Dawa yoyote ile ya Hospitalini au ya Kiutamaduni (Mitishamba) au Mafunzo yoyote yale Mtu anaweza Kutumia au Kuyatumia ili ayatumie na yaweze...
Ndugu poleni na mjukumu ya kutwa nzima.
Wapendwa hii sasa imenizidi nguvu siku ya tatu sasa sijafanya kazi yoyote. Mwanangu na umri wa mwaka na miezi 4 kuikweli huyu mtoto sijajua shida nini...
Uume wangu huwa unapinda nikisimamisha yaan unakuwa kama unakata kata kona je hata style zingine kwenye mechi nashindwa kufanya je ni tatizo na kama ni tatizo msaada kwa watu wanaofahamu hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.