Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari za usiku wanajf, Bibi yangu miaka 87 anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe. Pia vitu vimetokea zamani anasema vimetokea jana. Atumie dawa gani
3 Reactions
21 Replies
855 Views
Habari ya Jumapili wakuu, Mimi ni kijana wa umri wa miaka24 kwa sasa bado nipo chuo naendelea na masomo. Tatizo langu kubwa linalofanya nisiyafurahie maisha yangu ni tatizo la kuwa na...
15 Reactions
110 Replies
4K Views
Kama unapitia changamoto ya ugonjwa kukurudia Mara Kwa mara au kutopona . Mfano marelia , Typhoid, UTI n.k Ikiwa umetumia vidonge Ila haujafanikiwa kupata matokeo chanya Kwa haraka ebu jaribu...
11 Reactions
32 Replies
635 Views
Katika ulimwengu wa sasa, ambapo tunakutana na watu wengi na kushiriki mazingira mbalimbali, tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono imekuwa sehemu ya mazoea yetu ya kila siku. Ingawa kushikana...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Habari za hapa wakuu Nina mdogo wangu ana umri wa miaka 16 ni mwembamba na mrefu sana anasoma bording shule flani mjini lakini Mwezi uliopita alikuja home akasma anasikia miguu kwemye unyayo...
1 Reactions
17 Replies
8K Views
Napenda kuwashukuru wote mlionisaidia kwenye changamoto yangu niliopitia nilienda hospitali nikapata tiba nilisafishwa uchafu wote na sasa naendelea vizuri haswa mazoezi nafanya vizuriii humu kuna...
1 Reactions
8 Replies
438 Views
Habari zenu, Nina mtoto wa kike ambaye kesho, tarehe 13/06/24, anafikisha miaka 11 kamili (Happy birthday in advance my daughter). Mtoto alizaliwa vizuri ingawa alikunywa maji machafu baada ya...
22 Reactions
64 Replies
3K Views
ni asilimia 1 tu ya wanaume walio na access ya kuangalia porno kila siku ama kila saa bila kujichua.ulidanganywa ulipoambiwa picha za ngono ni kwa ajili ya kujifunza style za tendo la ndoa. Porno...
5 Reactions
11 Replies
536 Views
Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli. Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayo
11 Reactions
68 Replies
1K Views
Wakuu habari za asubuhi kwetu sote, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu juu ya uwepo wa dawa ya Kuchua Maumivu ya SALIMIA kama bado ipo na upatikanaji wake kwenye Maduka ya Dawa...
2 Reactions
20 Replies
896 Views
Habari Wakuu Moja kwa moja kwenye mada kuu, Inawezekana na wewe ni mmoja wa wale raia ambao kama walevi hivi unapiga hatua tano mbele unarudi saba, Unasema naacha kabisa kupiga hii kitu inaitwa...
0 Reactions
4 Replies
199 Views
Wakuu hii shida inanitesa sana. Hali hii hutokea kila baada ya dakika kama 15 au 20 na hasa nikiwa nafanya kazi yoyote au nikowa natembea tu. Hali hii pia huambatana na kama kizunguzungu ikiwa...
1 Reactions
17 Replies
496 Views
Habari, Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi. Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama...
12 Reactions
78 Replies
2K Views
Hi GT! My wife is pregnancy (5months) her clinic card shows she has blood group 0 and rh +ve and PMCT1 Update! Nilileta hii mada kipindi hicho na kiukweli ili kupima upepo nipate majibu ya...
4 Reactions
112 Replies
96K Views
Tumeelewashana kuhusu madhara ya soda...humu na mimi kwa kiasi kikubwa nimepunguza kunywa soda na nataka kuelekea kuacha kabisa.. sasa kuna hili la maji ya chupa.....je yana madhara? yana...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Nimekumbwa na tatizo la kujihisi nimeshiba baada ya kula chakula. Nikinywa chai asubuhi utafika usiku bika kuhisi njaa wala kutamani chakula. Sisikii maumivu yoyote na napata choo kama kawaida...
2 Reactions
5 Replies
385 Views
Hawa mademu wa telegram au mabwana zenu mtaani wasiwa tengenezee uhalali wa kufanya sex kavu kavu kisa tu mtapima vvu siku hio moja. Sawa kaswende inatabika, ila utagharamika, unaweza muathiri na...
3 Reactions
21 Replies
659 Views
Kichwa kinajiekeza. Ndugu zangu wiki mbili zilizopita nilijiona kitu cha tofauti kwenye kichwa cha uume wangu kwanza ulianza kama mwasho sana basi nikawa najikuna sana kadri nikijikuna nasikia...
0 Reactions
49 Replies
16K Views
Habari za Jumapili wadau wote wa JF. Hili jambo limekuwa likinitatiza kwa muda mrefu- Kwamba mtoto anapozaliwa ni lazima alie na asipolia automatically basi, jitihada zitafanyika ili alazimishwe...
3 Reactions
8 Replies
848 Views
Back
Top Bottom