Kutumia kondomu kwa usahihi ni muhimu kwa ajili ya kinga dhidi ya magonjwa ya
1. Kagua kifurushi: Hakikisha kifurushi cha kondomu hakijapasuka au kuharibika. Angalia pia tarehe ya mwisho wa...
Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie
Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula...
Kipimo cha hesabu kamili ya damu (Full Blood Count) ambacho pia huitwa kipimo kamili cha damu (Complete Blood Count) au kipimo kinachotoa taswira kamili ya hali ya damu (Full Blood Picture) Ni...
Habari za Leo Wakuu, naombeni msaada, nina kijana wangu wa kiume umri miaka 5, anasumbuliwa na tonsils, tulienda hospitali wakampatia dawa za kunywa antibiotics na nyingine Bufen.
Pamoja Nakuwa...
1. Weka malengo unayoweza kufikia ndani ya muda mfupi
Badala ya kuorodhesha majukumu mengi, fikiria kuweka malengo madogo. Kuweka na kutimiza malengo haya kunaweza kukupa hali ya udhibiti na...
Kuna mwanamke mmoja nipo nae kwenye mahusiano na huwa tutakutana kimwili mara mbili au mara tatu kwa mwezi.
Mara nyingi tukikutana huwa hatutumii kinga sababu wote tulienda kupima kipimo...
Habari wanajamvi, mwaka jana 2023 mwezi wa 3 nilianza kupata dalili ambazo sikuzielewa km vile; Kuvimba miguu, tumbo kuuma nk.
Ikabidi niende Amana hospital ambapo nilipima vipimo kadhaa ie...
Habarini wadau.
Naomba kufahamu utaratibu wa matibabu ya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.
Kuna mtu aliniambia kwamba watoto wenye umri huo wanatibiwa bure kabisa hulipi chochote,je...
Habari zenu,
Nimekuwa na changamoto toka j3 ya Nyerere day mchana nilikuwa nimekaa sehemu mara nikaona jicho la kushoto linatoa machozi sasa nashangaa hadi leo j5 bado linatoa machozi...
Masaada wakuu
Mtoto n mchanga WA week 1
Na anaswet shingoni ukimpanguza
Anakua kama anababuka
Naomba kujua poda nzuri Kwa
Mtoto
Na ametokwa na vipele
Ambavyo vnakaa kama uzaraha
Ila ukivitumbua...
How Vital Are Your Organs?
Could you live without a small and large intestine, stomach, liver, spleen, and pancreas?
By Howard LeWine, M.D., Harvard Health Publications
Q: I just read about a...
Salam!
Wataalam na Madokta wa jukwaa hili, kuna jamaa mmoja kwa msisitizo kabisa alikuwa anasimulia kuwa Wanaume wanaofanya mapenzi kama njia ya kuzuia mimba kwa kufanya mapenzi na kukojoa nje ni...
Wale jamaa wanaojichukulia sheria mkononi, wanaopenda kucheza Pool. wanaopiga punyeto. kuna dawa eti inazuia mtu asifanye hilo jambo. maswali yangu
1. Punyeto ni ugonjwa gani?
2. Nini...
Wana jf naomba mnipe faida na hasara za mirungi aka gomba
MADHARA YA KIAFYA;
1. Mtumiaji wa mirungi yupo
katika hatari ya kupata
vidonda vya tumbo.
- Kupungukiwa msukumo wa
kufanya tendo la ndoa...
Karibu 300% ya nyoka wote duniani wana sumu, na 50% ya visa vya nyoka wanaowauma binadamu huwa hawaachi sumu ndani ya mwili wakati wa wanapomuuma binadamu. Kwa hivyo ni karibu visa 15 kati ya 100...
Wakuu hapa nilipo nina wasiwasi sana sijui nimeoatwa na nini.
Ila kwa siku tatu nimekuwa nikienda chooni natoa kinyesi chenye damu.
Nilidhani labda tatizo litaisha ila leo siku ya tatu naona...
Mada pendwa kwa wanaume!
Hebu tujikumbushe yale yote tuliyowahi kusikia, kuona, kusoma au hata kuexperience kuwa yanachangia katika nguvu za kiume kuongezeka au kupungua. Nitataja randomly baadhi...
Habari wakuu
Niliwahi kupost uzi tofaut tofaut kuhusu huu ugonjwa ambao kwa mujib wa wanaJF ni PE na nimetumia dawa na ushauri tofauti tofauti kutoka kwa JF experties
Nini cha kuongezea hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.