ili kurejesha uimara wa misuli ya uume wako na kuifanya iwe komavu chukua kanuni hii, tafuta asali mbichi ya nyuki wa dogo, tafuta unga wa mvunje haltiti.
Tafuta mafuta ya zaituni, tafuta...
Habari wana-JF. Obsessive compulsive disorder ni ugonjwa unaonisumbua kwa miaka mingi. Kama ilivyo kwa wengi ni ngumu kujijua kuwa wana matatizo ya akili. Niliishi miaka mingi nikijiona wa tofauti...
Ni mwezi wa nne sasa toka ajifungue baada ya kama wiki moja miguu ikaanza kumuuma, jitihada za kumpeleka hospital zikafanyika akapimwa nakuandikiwa dozi,katumia zaidi ya mara moja kapatiwa dawa...
Nahisi maumivu UPANDE wa KULIA wa KIFUA na mbavu kiujumla UPANDE wote wa kulia wa KIFUA ,mbavu na mgongo na KIFUA vinauma ila maumivu yapo sehemu ya nyumba ya ubavu na chini fua
nikijaribu kuvuta...
Suala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yaani mwili unakuwa uso...
WAKUU nachukia na nashindwa kukubaliana na UKWELI na hali halisi.
Nilijigundua nina uwezo flani tangu nilipokuwa o level.
Kifupi ni kwamba ninauwezo wa kuskia kinachoendelea napokuwa...
Huenda ulipoamka asubuhi ulisafisha kunywa chako vyema kabisa.
Mpaka kufikia nyakati za jioni, labda kwasababu ya vyakula mbalimbali ulivyokula hapo katikatika, je, unawezaje kujua kwamba sasa...
Picha kama inavyoonekana hapo chini nimehangaika navyo sana,kuna kipindi vilipotea kama miaka 3 nyuma na sikumbuki tena nilitumia nini sababu pia nilihangaika sana lakini saivi naona vimerudi kwa...
Jana tukiwa tunazika kunduchi nkaonyeshwa makaburi ya waliokufa na COVID
Ni huzuni sana ukiacha matajiri yaani weengi ni wanaume bila kujali dini zao
Tutuubu wanaume
Katika vipimo vya sperm ukikutwa na Hali hii je unaweza nusurikaje .
Assume idadi ya some ni chini ya milioni 40 lakini si chini ya 20m
pH kati ya 7?5 na kuendelea pia
Mbegu nyepesi na mwendo...
Mkurugenzi huyo Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo amesema Watu wenye uzito mkubwa wanapaswa kuchukua hatua za haraka kupunguza miili kabla hawajaingia...
Wakuu mimi ni kijana(19 years now) nina tatizo la kutosikia vizuri na body balance(nimesoma science kidogo naelewa masikio ndio yanayo control body balance) hili tatizo limenianza mda sana tangu...
Mambo zaidi ya 10 anayopaswa kuepuka Mjamzito yoyote yule
Unapogundua kuwa una mimba, unapaswa kuwa mwangalifu na kuepuka mambo mengi ambayo yanaweza kusababisha mimba kutoka, au tu yakakukudhuru...
Miezi 7- 9 ya ujauzito huwa kwa kiasi kikubwa salama bila ya kuwa na dhoruba zozote. Mpaka sasa tumbo limeshakuwa kubwa na umeshasikia mtoto akicheza tumboni.
Ndani ya miezi 7-9 ya ujauzito mtoto...
Hiyo hali imeshakuwa kero sasa!
Mara nyingi, nikishakula tu, najisikia uchovu kiasi cha kutamani kulala, hata kama ni Mchana. Haijalishi kama nimekula chakula kidogo tu, nitajisikia tu kulala...
Habari za wakati
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada mwanangu ana mwaka mmoja amegundulika ana sickle cell kinachoniuma ni nyakati za usiku anapata maumivu makali na kupelekea kulia sana...
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na...
Nimewahi kukutana na kuishi na watu wenye harufu kali, harufu ambayo hata nguo zao zikifuliwa kwa sabuni ya kipande inaendelea kubaki kwenye nguo zao, lakini leo nimepanda boda aisee, yule boda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.