Salaam wanajamvi, natumaini mko salama na kwa wale mliokatika mfungo, Mungu akawaongezee palipo pungua.
Wakuu mwenzenu yamenifika, kidole changu cha kati mkono wa kulia kimevimba hatari. Kinauma...
Teknolojia katika field ya afya ni msingi katika muktadha wa afya ya kiumbe chochote kilicho hai hasa binadamu tutakaye mzungumzia zaidi.
HIV ni janga duniani lakini inapaswa tufahamu teknolojia...
Dunia tulio nayo imepitia vipindi vigumu na majanga mbalimbali tokea enzi za vita ya dunia huko na mpaka tulipofika, ila kwa miaka ya karibuni kuna magonjwa mawili makubwa yalitikisa ulimwengu...
Habarini wakuu naomben msaada kabla sijaenda kusemwa na daktar kibofu kinaniuma, napata mkojo mchafu na maumivu pia wakat wa haja ndogo, natoa kinyes kigumu sana na ninasikia Homa kwa mbali.
Hizi...
Heshima yenu wakuu, Nafaham kuwa PREP ni vidonge anavokunywa mtu ili vimlinde kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi, mf, unataka ukakutane na mtu ambae haumuamini, inafanya kazi kama condom...
Mimi ni mtu ambaye ninatumia computer for hours basi kutokana na kuumwa kwa kichwa, macho kuwasha (not all tge time but mara nyingi huisi macho kukaza)
Nilipima nikaonekana nipo fresh(mimi naona...
Habari wakuu mim ni baba wa watoto wawili, huyu mototo wangu waukiume Umri miaka 8 sasa, wakat akiwa na Umri wa miaka4 mkilala ukiamka ukienda kuamasha akokojoe usiku ama akiamka asubuhi uume...
Wakuu habari zenu?
Nina miaka 35 sasa ila nasumbuliwa na changamoto ya ugonjwa wa presha kuwa juu. Nina miezi minne sasa tangu tatizo lianze.
Kwa yeyote anaejua matibabu au dawa nzuri ya...
Nipo kwenye ndoa miaka 2 hadi sasa sijawahi kushika ujauzito.
Nimepima vipimo vyote mie na mume wangu hatuna tatizo. Naenda mwezini kama kawaida. Sijawahi kutoa mimba wala kutumia njia yoyote...
Wakuu hali yangu ya kiafya ni mbaya hadi nimeshindwa kwenda kazini leo, kikubwa korodani zangu zinauma sana pamoja na sehemu ya kichwa cha mjubelege hapa nimekunywa dawa tangu asubuhi at least...
Habari za muda huu wanajukwaa, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 nina upungufu wa nguvu za kiume sababu ya kupiga punyeto.
Nilianza kupiga punyeto toka 2013 mpaka sasa ila nimeacha punyeto ni...
Ndugu zangu naumwa fangasi kwa muda sasa ila pia sehemu ya kichwa cha uume kumekuwa kama na Ile ngozi iliyopo kwenye korodani.
Sasa selewiii tiba ni nini.
Habari Dr
Kuna kijana sehemu ya kichwa cha uume wake una rangi kama ngozi ya mzugu ni ya siku nyingi ila hasikii maumivu ya aina yoyote.
Je, tatizo ni nini kwa mwanaume kuwa na kichwa cha uume...
Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia.
Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa,
Hapa chini nimeambatanisha dawa...
VVU na UKIMWI ni changamoto kubwa ya kiafya duniani, lakini kwa elimu sahihi, upatikanaji wa huduma za afya, na matumizi sahihi ya dawa, maambukizi yanaweza kudhibitiwa na maisha ya walioathirika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.