Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Human Papillomavirus (HPV) ni virusi ambavyo vinaenea kwa urahisi kupitia uhusiano wa kimwili. Ni moja ya maambukizi ya zinaa yenye ushawishi mkubwa katika afya ya uzazi...
4 Reactions
0 Replies
332 Views
JF Doctor, naomba unifafanulie ni jinsi gani chips inamwathiri mwanaume na madhara hayo ni yapi na solution yake ni ipi?
0 Reactions
110 Replies
47K Views
wakuu naombeni msaada dalili natiba ya tambazi
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Wana JF napenda kutoa ushuhuda, nimekua nikitumia dawa za nguvu za kiume kwa mwaka mmoja, saivi nina moezi miwili toka niache. Madhara niloyopata nahisi moyo kuuma, kichwa kinaumaa kila siku...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Ndugu wa humu ndani na watu wa jamvi hili, Mimi ni msichana ambae ni mweupe wa asili tangu kuzaliwa lakini kitu ambacho kinanikera ni kwamba nina weusi mkubwa katikati ya mapaja pamoja na mabaka...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
FIBROIDS NI NINI? Ni vimbe ambazo hutokea katika sehemu za uzazi wa mwanamke. Ni vimbe zinazotokea katika kizazi (uterus). Vimbe hizi hazimaanishi kuwa ni kansa. Zinatengenezwa na kambakamba...
1 Reactions
524 Replies
127K Views
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hili hasa usiku nalazimika kuamka mara kwa mara kwenda nje kutema mate. Wadau tatizo hili linaondokaje.
0 Reactions
1 Replies
13K Views
STAFELI (SOURSOP) ni tunda lenye kupambana na kansa https://x.com/BarbaraOneillAU/status/1841569942144995516
1 Reactions
3 Replies
259 Views
Mnyonyo ni mbegu zinazotokana na mti wa Mbarika. Sasa mwenye kujua zaidi atuhabarishe, manake hizi mbegu mi nasikia ni zaidi ya dawa!! Kwa niliyoyasikia hasa toka kwa wazee wa zamani ni haya...
4 Reactions
27 Replies
111K Views
Kichwa cha habari kimetosha,nahitaji maoni mhusika niko nae mbali kwahyo habari za clinic sizijui
3 Reactions
17 Replies
597 Views
Mama ni mtu mzima kidogo anaeleka miaka 65. Ana shida mishipa ya miguuni inauma sana na kutokezea kwa juu. Hospital kaenda kaaimbiwa ana shida ya mishipa kuvimba (varicose veins). Matibabu yake...
1 Reactions
19 Replies
472 Views
Msongo wa Mawazo (Stress) Ni hali ya shinikizo la kiakili au kihisia linalotokana na mahitaji yanayofikiriwa. Kila siku tunakabiliwa na hali nyingi ngumu ambazo unaweza kuona kama “vitisho” kwa...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Maelezo ya picha, Maharage Inaweza kuonekana kuwa hakuna ubaya katika kula aina fulani ya vyakula. Lakini, kuna wakati, kutojali kunaweza kusababisha matatizo mengi ya kiafya. Wakati mwingine...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam kwenu, naomba msaada wa kujua dawa ya maumivu ya meno kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitano. Nimtoto wajirani yangu amekuwa halali na amevimba shavu kabisa. Jino ni la upande wa chini mwisho.
5 Reactions
21 Replies
682 Views
Wasalaam Sana wajumbe. Kumekuwa na dhana iliyojengeka miongoni mwa wanajamii kuhusu ugonjwa wa Urinary Track Infection UTI ambao unawakumba watu wengi nyakati hizi bila kujali umri wala mazingira...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakuu mnisamehe bure mwandiko wangu sio mzuri sana, mwenye Lengo la kunisadia anisaidie tu kama Kanielewa. Ni hivi wakuu? Eti wapi Chimbuko La dawa za asili yaani ni sehemu gani mkoa gani au ni...
8 Reactions
141 Replies
36K Views
Wana JF, Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma...
15 Reactions
3K Replies
473K Views
Habari za asubuhi ninaomba msaada kwa mwenye kujua tiba mbadala ya NYAMA ZA PUA nje ya kufanyiwa operation ninasumbuliwa na tatizo hili zaidi ya miaka 15 sasa hadi imefikia nimetatiwa mnoo naishi...
2 Reactions
13 Replies
8K Views
Habarini wanajamvi Nimekuja hapa kuomba msaada naumwa ugonjwa wa korodani erosion ila sina hakika kama ndo huo maana nimetumia dawa lakin naona bado ni vilevile huu mwezi wa sita natumia...
4 Reactions
21 Replies
852 Views
Moja kwa moja kwenye mada, Naomba kuuliza Ni dawa gani ama njia zipi anaweza kutumia mtu (miaka 20's) mwenye Kigugumizi kikali.
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Back
Top Bottom