Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Full blood picture ni kipimo gani? Je, nikipima kipimo cha Full blood picture kila ugonjwa mwilini mwangu utaonekana? Full blood picture au Full blood count kimekuwa ni kipimo kinachosikika sana...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimetumia dawa ya heligo kit lakini wap aisee yaani hapa sina hali. Sijawahi umwa huu ugonjwa ni mara ya kwanza. Sinywi pombe wala soda. Nisaidieni wakuu. Sent from my SM-G955U using JamiiForums...
0 Reactions
25 Replies
490 Views
Kwa mujibu wa taasisi ya Moyo ya Marekani (AHA) binadamu yeyote ana kiwango maalumu cha Sukari anachopaswa kutumia kwa siku kulingana na umri wake. Watoto wenye Miaka 0 hadi 2 hawatakiwi kutumia...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Nawasalimu wataalam na wasio pia Mimi ni kijana wa miaka 30. Sio handsome kitendo kilichopelekea kua sitakwi na wanwake kitaani so nikawa najilipua mwenyewe toka nilivyobalehe mpaka leo...
12 Reactions
107 Replies
23K Views
📢📢Wananzengo mpo📢📢 Uzazi wa mpango wa asili ✨Kukwepesha Msome mtu wako, anapokaribia kufika kileleni... Msadie amwage nje ... Utamjua kwa joto lake la mwili, kukakamaa na yeye kufunga macho au...
6 Reactions
42 Replies
7K Views
msaada tafadhari usingizi nimekuwa nikipata kwa masaa machache mno tofauti na awali.
0 Reactions
3 Replies
257 Views
Wakuu nisaidieni hivi hapo mimba itakuwepo au haipo?
4 Reactions
37 Replies
835 Views
Watu wengi mtu anapokosea kufanya jambo, tunalaumu. Wachache hujiuliza amekutwa na nini. Jambo tusilofahamu ni kwamba, kila moja achukuliwe kwa upekee alionao. Haina maana tumpongeze mtu anaevunja...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Habari! Poleni kwa majukumu ya kutwa nzima. Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta tiba ya mafua kwa mtoto mchanga. Mtoto ana umri wa miezi miwili. Anasumbuliwa na mafua toka kuzaliwa. Amepata...
0 Reactions
2 Replies
840 Views
Basi jana nikamsikiliza Dr. Ndodi, mwenye hospitali yake Itumbi Hoteli, kupitia Channel 5. Akafundisha mengi na kumalizia na yafuatayo: 1. Kwa kawaida protein/wanga ya/wa ziada husababisha...
0 Reactions
185 Replies
37K Views
Wakuu natumai huku kunamadokta naumwa na kichwa pembeni kwenye misuli ya macho hasa ninapotumia computer, simu na n.k Yani kichwa kinauma sana ila kuona naona fresh tu niliwahi pima nikaonekana...
0 Reactions
8 Replies
371 Views
Unene uliopitiliza unaongezeka kwa kasi sana miongoni mwa watu wengi kwa sasa. Hali hii huwaweka watu ktk hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa mfano magonjwa ya moyo, mfumo wa upumuaji pamoja...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Ni muda sasa takriban wiki mbili nina maumivu sehemu ya haja kubwa. Siwezi kukaa na ninatembea kwa shida sana. Vilevile ninapata shida sana wakati wa kutoa haja kubwa hadi naogopa. Natoa...
8 Reactions
75 Replies
4K Views
Habarini za muda huu Najua jamii forum ni forum yenye watu wa nyanja mbali mbali sasa nimekuja hapa kuomba msaada wa namna gan ntasajir dawa yangu ya kutibu bawasir ili nianze kuifanyia PA na...
3 Reactions
31 Replies
847 Views
Wanawake wengi hupata kichefuchefu na kutapika katika trimesta ya kwanza (miezi 3) ya ujauzito ambayo mara nyingi huitwa kigegezi cha asubuhi. Hutokea sana asubuhi mwanamke anapotoka kitandani...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna vitu vitatu: Ubongo, Mishipa ya fahamu na Uti wa mgongo. Vitu hivi vinafanya kazi bega kwa bega na kwa kutegemeana sana, Kitu kimoja kati ya hivo kikipata shida basi mfumo mzima unavurugika...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za hapa. Mwaka jana nilipata tatizo la Autoimmune disease ambapo kinga za mwili zina over react na kushambulia mishipa midogo ya fahamu(nerves). Kitaalam unaitwa Chronic inflammatory...
7 Reactions
83 Replies
3K Views
Kama daktari anayeangazia afya ya akili, mimi ni Daktari Rafiki, na katika video hii, natoa elimu kwa jamii juu ya jinsi ya kushinda mawazo ya kujiua na kulinda afya yako ya kiakili. Nitakupa...
1 Reactions
0 Replies
176 Views
With these very serious concerns about the MPOX virus put forward,should any reasonable person opt for theMonkeypox Vaccine? Sep. 18, 2024 3:20 On August 30th, the FDA approved the ACAM2000...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Wakuu naomben ushauri wa Madaktari, Nimefanya tendo na binti mmoja lakini baada ya tendo misuli ya uume inaniuma sijajua shida nini. NB: Nilizingatia Kinga this time.
2 Reactions
3 Replies
271 Views
Back
Top Bottom