Habari za asubuhi wana JF,
Leo nimependelea kushare nanyi baadhi ya tiba za nyumbani za matatizo ya mfumo wa umeng'enyaji chakula ambazo zinaweza kutumika kama huduma ya kwanza au tiba ya kuponya...
Kwa wenye uzoefu na malezi/uzazi...
Kila mzazi hutamani shape nzuri ya kichwa kwa watoto wake.
1. Je, ni kweli kuwa 'UTOSI' kufunga mapema sana husababisha komwe (forehead kuwa kubwa)?
2. Je...
Naomba mnisaidie wadau,
Mwaka jana nilipatwa na tatizo la shinikizo la juu la damu lakini wauguzi walinishauri na kuniambia ni tatizo la kupita hamna haja ya kutumia dawa za presa lakini kwa sasa...
Picha kwa hisani ya Google
Mapacha hutokea pale ambapo yai linaporutubishwa hugawanyika mara mbili au zaidi kutoa mtoto zaidi ya mmoja au pale ambapo yai zaidi ya moja hurutubishwa na mbegu za...
Wakuu katika hali ya kushangaa! Mwanamke karudi na Azuma za siku tatu na anti pain kama matibabu ya PID??
Sasa nilichoshangaa kweli PID itibiwe na Azuma ya siku tatu. Nielewavyo mimi PID ni...
Habari za wakati huu wakuu. Mimi ni mjamzito wa wiki 24 nimekuja kwenu ili niweze kupata majibu ya maswali yangu.
Tatizo langu ni kwamba nimepoteza kabisa hamu ya tendo la ndoa mwanzoni nilikuwa...
Habari wana JF.
Poleni na majukumu, naomba msaada kuhusu ugonjwa wa PID. Mimi nina mpenzi wangu wiki iliyopita tulikutana kimwili.
Kawaida tu, lakini kuna nyakati siku mbili baadaye nikaona...
Kwa wale ambao wakiumwa Kichwa tu wanameza dawa, akijisikia kuchoka tu kameza dawa hii ni hatari.
Tafiti zinaonesha Kutumia Antibiotics nyingi hupelekea kuua Bakteria walinzi wa mwili na...
Habar wakuu nauliza nilifanya vipimo vya utendaji kazi Figo tar16/8/24 mloganzila majibu yalikuja mkojo protein negative bun normal, creatinine norlmal, ila Jana uskiu nimekula sana ubwabwa kuamka...
Kumekuwa na vumi tofauti tofauti kuhusiana na vyakula na mimea inayoongeza Nguvu za kiume hasa karne hii ambapo tafiti zinaonyesha Vijana wengi Jogoo zao haziwiki 😂.
Leo tumalize utata, weka...
Naombeni msaada/ushauri wa kitaalam mwenye kujua sababu za kuumwa chuchu za matiti ni zipi mzunguko wa hedhi umepita teyar wala sina mimba ila maumivu nayaskia
Habari Wana JF husika na maelezo hapo juu nilikua ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana ila kwa bahati nzuri nikakutana na mmasai mmoja Arusha akanisaidia hizi dawa zilikua tatu ila alinipa...
Nina mtoto mdogo wa miaka 3½ ambaye siku ya Jana alikuwa analalamika wakti wa kujisaidia haja kubwa lakin baada ya masaa kadhaa alijisaidia kumbe alikuwa anapata maumivi ndani ya haja kubwa...
Wataalam habari zenu.
Kuna mtoto anashida ya kutembea, mara ya kwanza alikuwa hawezi kukaa, alikuwa analala tu. Tukamtafutia baby seater.
Sasa anakata, Sasa ni wakati wa kumtafutia baby walker...
1: Je mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba? Maana nilisikia kwamba huwa kila siku zinatengenezwa.
2: Je zinazo tengenezwa leo haziwezi kutungisha...
Habari wakuu nimekuja kwenu kutaka mawazo bint yangu wa Umri miezi 6.5 hatambai ukimuweka hata kujaribu kumove hamna... anakua kama anataka kujivuta hawezi kabisa kumove Wala kutambaa. Nimekuja...
Habari wakuu,
Nimekua nikisumbuliwa na maumivu ya upande wakushoto ktk bega na nyuma ya bega usawa wa moyo nimefanya ecg na echo nimebiwa echo Iko sawa. Ila ecg inaonyesha shida kidgo nkaambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.