Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wakuu, Nina changamoto kubwa ambayo inanitesa naombeni msaada wa mawazo. Kimsingi nina shida ya kiuno kufa ganzi au kukamaa kwa muda hususani ninapo enda haja au kukaa kwa muda mrefu...
0 Reactions
9 Replies
602 Views
Kama umechunguza hili utaungana na mm kua walemavu wengi wa akili huwa na maumbile ya kiume kubwa oversize tofauti na wastani Je ni sababu gani ya kibaologia inayochangia hawa watu kuwa na neema...
23 Reactions
119 Replies
6K Views
Mwanzoni Kijana anapobalehe anapiga punyeto acapella yaani hata akiwa anaoga bafuni anajichua akiwa amesimama na anaridhika.Ila siku zinapozidi kwenda Kijana anapata smartphone na muda wote yuko...
9 Reactions
82 Replies
6K Views
Naomba mtu anayejua au anamfahamu daktari wa saikolojia MUHIMBILI , aniunganishe nae au anipe mawasiliano yake. Kuna mtot wa dada yangu anajisikia vibayani mda sasa.
0 Reactions
1 Replies
115 Views
Nashindwa kuelewa kila mwanaume nliyekutana nae huwa anashindwa kusex na mimi huku wakidai uke wangu umebana sana wakinambia huenda nna tatizo. Na wengine huwa wanakimbia kimya kimya wakidhani wao...
3 Reactions
56 Replies
8K Views
1. Jitahidi utumie supu ya dagaa chuku chuku kumbuka isiwekwe chumvi na mafuta (x5 kwa week). 2. Punguza vinywaji vyenye sukari kwa wingi au vyakula vyenye sukari nyingi badala yake tumia maji...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Chanzo ni nini? After 10 minutes nalazimika kuweka mate ili kuepusha friction?
5 Reactions
134 Replies
2K Views
Habari ndg naomba msaada mgongo unaniuma san naomba msaada anae fahamu dawa au tatizo..
6 Reactions
30 Replies
811 Views
Kuchanganya dawa za hospitali na ungaunga wa mbao ndio mbinu wanayotumia wataalam wa mitishamba kuwahadaa wagonjwa. Ukiumwa nenda hospitali achana na dawa zisizo thibitishwa, usiseme sijakwambia...
3 Reactions
15 Replies
512 Views
Habari za jion wana JF, Nimekua nikitumia dawa za kupunguza mapigo ya moyo kwa muda wa miezi 6 sasa ,mwanzoni niliandikiwa dawa aina ya BISOPROLOL nikatumia kwa muda wa mwezi mmoja tu nikaacha...
15 Reactions
137 Replies
11K Views
Asilimia 5.8 ya watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi (waviu) na wanaotumia dawa, wanakabiliwa na tatizo la usugu wa vimelea dhidi ya dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo, utafiti mpya...
1 Reactions
3 Replies
561 Views
PUNYETO ni janga la vijana wengi na pengine hadi watu wakubwa kabisa. PUNYETO inaweza ikakutesa mwili, akili, roho na nafsi. Hata mimi nilikua huko, ila nimeweza kuacha na kuwa huru. Japo...
8 Reactions
111 Replies
17K Views
Mara nyingi mifuko laini na miepesi ya nailoni au Rambo kama inavyojulikana na wengi Tanzania iliwahi kutumiwa na baadhi ya wananchi katika kufungashia chakula na hasa vyakula vya haraka kama...
2 Reactions
5 Replies
305 Views
Samahani me uume WANGU una rangi nyeupe na nyeusi ila penye nyeup panauma ni kama una ngozi nyepes sana naomba mwenye kujua shida nn anijuze 🙏🙏
9 Reactions
69 Replies
2K Views
Maelezo ya picha,Utafiti umebaini ulaji wa tambi na wali kwa wingi husababisha ukomo wa hedhi mapema Vyakula vyenye wanga kwa wingi husababisha wanawake kukoma hedhi mapema, utafiti umeeleza...
1 Reactions
2 Replies
466 Views
Habari wakuu, Naomba msaada wa mgonjwa alienda kupima ecg akaambiwa ana short pr interval naomba kujua matibabu yake na kama inatibika na kua katika hali ya kawaida. Shukrani
1 Reactions
2 Replies
305 Views
Naomba niwashirikishe kilichonipata ili angalau walio na tatizo kama lililonipata waweze kujua pakuanzia. Miezi ya hivi karibuni nnapatwa na hali flani ya kukosa pumzi na Kupumua kwa shida, hali...
14 Reactions
25 Replies
9K Views
Siku moja tukiwa tunaongea na wagonjwa katika mijadala ya kawaida kuhusu kudhibiti kisukari na presha, mgonjwa mmoja aliuliza swali la muhimu sana. Dr. Mimi nashangaa, ninamuiga mume wangu aina...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wakuu, poleni kwa majukumu. Huyu mtoto alianza kuchemka(joto kupanda sana) Jumamosi usiku wa Septemba 7. Jumapili tulimpeleka Zahanati akapimwa Malaria, hamna. Dokta akasema itakuwa ni...
1 Reactions
49 Replies
2K Views
Back
Top Bottom