Pole na majukumu natumai wote ni wazima wa afya na akili pia Kuna rafiki yangu ana mke wake ana siku nyingi hajawanae karibu alikuwa nje kikazi amerudi mwezi wa nane tareh 20 akakutana na mwenza...
Nguvu za Kiume ni Nini?
Nguvu za kiume, au uwezo wa mwanaume kudumisha na kufanikisha tendo la ndoa kwa ufanisi, inajumuisha mambo kadhaa kama vile hamu ya ngono (libido), uwezo wa kusimamisha...
Uchafu utokao kooni ulio kama vimawe vidogodogo (tonsil Stones) husababishwa hasa na mabaki ya chakula, seli zulizokufa na uchafu mwingine, unaposhikiliwa katika
tishu hizo ( Tonsil)
Mabaki hayo...
Nimetoka hospital jion hii wameniambia sina gono bcz ningekua nalo ningekojoa uchafu wameniambia nisubri siku saba dawa zifanye kazi.
Kwasasa nina maumivu kwenye sehem ya juu ya mjubelege yaani...
Kuna dada alijifungua mtoto miezi mitano iliyopita sasa ameshikwa na ugonjwa wa kupungukiwa damu sana kila akienda hospitali anaingiziwa damu lakini siku hiyo hiyo inaisha tena na madaktari...
Je, Uke Wako Unatoa Harufu Mbaya? Hii Ndio Jinsi ya Kumaliza Tatizo Lako
Wanaume wengi kila kukicha huwa wanalalamika kuwa inaboa na inakera kupeana Raha na Utamu na Mwanamke ambae sehemu zake...
Niliambiwa nina damu 17, nikaambiwa nipunguze sikujibu chochote daktari akajiongeza sijaafiki ila akanitajia dalili kadhaa kuwa nikiziona basi niende wakanipunguzie si nimegoma kwa hiari...
Habari wadau,
Suala hili linaumiza kichwa. Kwa mujibu wa shirika la afya wanasema mwanamke akitimiza mwaka bila kuzaa na anashiriki tendo, basi huyo ni tasa. Sasa ni zaidi ya nusu mwaka mtoto...
Nikisikia jambo zito au stori inayohusu gonjwa baya mtu kapata au nikisikia taarifa yeyote ya oparesheni kubwa mtu anafanyiwa ninaemjua huwa mguu wa kushoto unaishiwa nguvu (yani unalegea kabisaa...
Nina rafiki yangu amejaliwa watoto wawili nje ya ndoa !! Kufika kwene ndoa bila bila wakat na mke ana mtoto wa pembeni.
Tupeni ABC!Mliopata matatzo ya utasa au ugumba ukubwani tatizo lilikua...
Sikuhizi imekuwa kawaida sana watu kula ndizi, wali, ugali huku mboga ikiwa ni maharage, nyama, mchuzi, n.k. bila kutumia mboga za majani aina ya chakula maarufu chenye nyuzi kama figili...
Baadhi ya watu wameniuliza kama zile dawa zilinisaidia, kiukweli baada ya matumizi sahihi ya PEP kwa mwezi mzima, nilipima punde tu baada ya kumaliza dawa ilikua mwezi wa 3 mwaka huu..nkawa NEG...
Habari,
Nina mtoto wa mwaka 1.9 ambaye mama yake tuliachana ila kwa sasa anasema mtoto sio wangu.
Nimesitisha huduma zote na nataka kufanya mpango wa kudai gharama zangu za kumlea mpaka kufika...
Kama title ya thread ilivyo hapo juu.
Naomba kwa anayefahamu dawa ya fangasi kando kando ya pumbu (korodani) zinakolalia (mapajani) zinasumbua sana sana Kwakweli.
Anaye fahamu dawa naomba...
Nauliza hivi maana ake ni rare sana mtu akakushauri au mtaalam akakushauri uende hospital hii.
Wala sidhan kama ugonjwa ukiwa shinda wana kureffer hapa. Hii inazidi kunipa maswali mengi.
Ingawa...
Nina mwaka sijapima ila leo nimeamua kupima natumia kipimo hiki cha mate vipimo vya kutoboana na sindano kwangu sivipendi.
Je, wewe mara ya mwisho kupima lini kama ujapima pima?
Habari za asubuh wakuu, kama kichwa cha habari kina vyojieleza hapo juu.mimi ni BABA wa mtoto mmoja wa kike wa mwaka mmoja, mtoto amekuwa na tatizo la kunesa kichwa anapoangalia kitu kwa mara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.